PAMBANIENI UHURU; Ameandika Baba Askofu Steven Munga

PAMBANIENI UHURU; Ameandika Baba Askofu Steven Munga

Aende akaoe kwanza,,agano jipya hali zungumzii sheri wala namna ya kutawa,,na haina uhusiano na siasa yeye anataka kusema nini kuhusu uhuru??
Kanisa katoliki walikuwa ni maagent wa wakoloni kama missionary.walikuwa wanaruhusu viongozi wa ukoloni kunyonga babu zetu,kuwafunga na kuwafanyisha kazi kwa malipo madogo wao walikuwa wapi kuandika huu utumbo.
 
Uhuru si zawadi tunayopewa na watawala bali ni haki ya asili ya kila mtu kwa sababu tuliumbwa nayo. NI HAKI YA ASILI!!!

Kiuhalisia tawala za kidunia mara nyingi hulenga katika kupora uhuru huo ili wawatawale watu kama wapendavyo. Lakini hivyo si sawa. Hata Mungu alipowaumba Adamu na Hawa aliwapa uhuru wa kutosha wa kufanya maamuzi na uchaguzi (Mwanzo mlango wa 1 na wa 2).

Ni ubaya na uovu pale tu uhuru huo unapotumika vibaya kwa lengo la kuingilia, kukandamiza na kuhatarisha uhuru na maisha ya wengine. Hii ndio sababu zipo katiba na sheria za nchi huru pamoja na maazimio ya kimataifa vinavyotungwa ili kulinda uhuru huo.

Uhuru wetu ni haki na kipawa cha asili tulichopewa na muumba wetu.
Ni wajibu wako kupambana na yeyote anayejaribu kukunyang'anya uhuru wako ambao ni haki yako ya asili.
Baba askofu ungamisha dhambi achana na siasa na kama unataka mapambano njoo wewe uje upambane na sio kujifanya kocha wakati uko pembeni pia kumbuka unaheshimiwa kwa uaskofu na usitumie heshima hiyo vibaya kwa kuchochea watu wapambane ww ukiwa kando. Kama dini imekushinda toka huko uje huku mtaani ili upambane vizuri tukuone. Ukiheshimiwa na wewe iiheshimu.
 
Back
Top Bottom