Mkuu usisahau kuna ujane, pengine hata tetemeko kama huko aliko lilipita au laHuyo bibi amefikia huo umri ndio amekumbuka kwamba kunakujenga nyumba. Inamaana miaka yote alikuwa anawaza nini? dah kweli hii dunia ya ajabu.
Usimdharau usiemjua!! Kumbuka kama wewe umepata utotoni lkn wapo wanaokuzidi pia, na wengine mpk wanakufa hawana hata kibanda hivyo usijifanye kushangaa na kujifanya hujui.Huyo bibi amefikia huo umri ndio amekumbuka kwamba kunakujenga nyumba. Inamaana miaka yote alikuwa anawaza nini? dah kweli hii dunia ya ajabu.
Ww endelea kuzembea. hakika watoto wako watakuja kukuuliza maswali magaumu sana.Usimdharau usiemjua!! Kumbuka kama wewe umepata utotoni lkn wapo wanaokuzidi pia, na wengine mpk wanakufa hawana hata kibanda hivyo usijifanye kushangaa na kujifanya hujui.
Ndio maana nimekwambia usimdharau usiomjua,Ww endelea kuzembea. hakika watoto wako watakuja kukuuliza maswali magaumu sana.
Hivi siku hizi ukimuambia mtu ukweli inamaana ndio unakuwa umemdharau.Ndio maana nimekwambia usimdharau usiomjua,
Labda ikiwa hivyo sawa.Mkuu usisahau kuna ujane, pengine hata tetemeko kama huko aliko lilipita au la
Unapotoa hukumu moja kwa moja kua huyo bibi alikua wapi miaka yote, inamaana unamjua maisha yake....Hivi siku hizi ukimuambia mtu ukweli inamaana ndio unakuwa umemdharau.
Na unaponiambia niendelee kuzembea inamaana unanijua?Ww endelea kuzembea. hakika watoto wako watakuja kukuuliza maswali magaumu sana.
Kwa mfano ww ndio ungekuwa ndio huyo bibi na watoto wako wangekuuliza wakati wenzako wanatafuta pesa ww ulikuwa unafanya nini?Unapotoa hukumu moja kwa moja kua huyo bibi alikua wapi miaka yote, inamaana unamjua maisha yake....
Kwani ww ulipo sema mm nimejiona nimepata. Kwani mm unanifahamia wapi?Na unaponiambia niendelee kuzembea inamaana unanijua?
Mambo mengine bwana we kuwa nacho basi unataka wote wawe kama wewe mungu sio mjinga kututofautisha ana sababu zake za msingi kama we umejenga au umewahi kumbuka wengine wamechelewa na wengine hawana hatuwezi kuwa sawa hata siku moja.Kwa mfano ww ndio ungekuwa ndio huyo bibi na watoto wako wangekuuliza wakati wenzako wanatafuta pesa ww ulikuwa unafanya nini?
Ungemjibu nini?
Kiswahili kwako ni kigumu nimekwambia "kama" unajiona umepata usidharau usiemjua halafu sijui kwa nini napoteza muda kujibizana na wewe!!!!Kwani ww ulipo sema mm nimejiona nimepata. Kwani mm unanifahamia wapi?
Sister inabidi ukomae sana na nimesema hivyo kwasababu najua wanawake wengi huwa wanapoteza muda wao mwingi kuwategemea wanaume.Kiswahili kwako ni kigumu nimekwambia "kama" unajiona umepata usidharau usiemjua halafu sijui kwa nini napoteza muda kujibizana na wewe!!!!