Pale mume anaposema hatajenga nyumba

Sister inabidi ukomae sana na nimesema hivyo kwasababu najua wanawake wengi huwa wanapoteza muda wao mwingi kuwategemea wanaume.

Na kwa kupitia hilo inaonekana wanawake ndio wanapatwa na matatizo mengi kwa mfano kutelekezewa familia nk. Na ndio maana nikipiga hesabu pesa yangu nyingi imetumika kuwasaidia wanawake zaidi kuliko wanaume.
Na huwa ninajitahidi kuwapa ushauri mzito.

Afrika ukiuzungumia umaskini mtu wakwanza kuonekana ni mwanamke je nyinyi wanawake hilo swala mnalichukiliaje?
Ahsante kwa kusaidia wanawake unafikiri hakuna wanawake wanasaidia wanaume na ndevu zao?
 
Ahsante kwa kusaidia wanawake unafikiri hakuna wanawake wanasaidia wanaume na ndevu zao?
Ni kweli kuna wakati mwingine lazima mtu usaidiwe na haijalishi ni nani atakaye kusaidia ila sio mara zote.
kwa mtu uliye kamilika sio lazima upige hesababu kwamba ukipatwa na shida utegemee mtu flani ndio atakaye kusaidia kwasababu huwezi jua wakati wewe unashida yeye huyo mtu atakuwa na hali gani.
 
Na hakuna mtu aliyekamilika hapo umeongopa watu wote tunategemeana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom