Mume na mke kuwa room mates

Braza Kede

JF-Expert Member
Nov 1, 2012
1,681
3,329
Kwa uchunguzi wangu mdogo hii imeshakuwa shida kubwa kwa ndoa nyingi sasa.

Watu wangu kadhaa wa karibu wamenilalamikia. Wanaume ndo wamekuwa wahanga wakuu wa kugomewa penzi na wenza wao.

Unakuta mke na mume wanatoka nyumba moja lakini kumbe humo ndani hakuna kinachofanyika.

Inaanzaga mwanamke anakupa yote wkt bado hamjaoana lakini mkifunga ndoa tu anagoma kutoa penzi kwa visingizio vya hapa na pale mara hajisikii mara hayuko sawa.

Sasa namna hii michepuko itaisha kweli?

Wakuu nini kifanyike?
 
Kuna majirani wamezichapa leo balaa na kupelekana kituo cha polisi.Lakini ni watu walioonekana wanapendana vizuri sana.Sababu ni mwanamke kulala Nje bila taarifa
Yaaani out kabisa kabisa
Kuna majirani wamezichapa leo balaa na kupelekana kituo cha polisi.Lakini ni watu walioonekana wanapendana vizuri sana.Sababu ni mwanamke kulala Nje bila taarifa
Yaani nje kabisa kibisa au kwenye msiba ndugu. Watu wengine kweli wamepinda aisee.
 
Umenikumbusha mbali. Wakati namfukuzia wife na kipindi cha uchumba, nilimsave wife kama ROOMMATE. Hiyo ni miaka 8 iliyopita. Mpaka leo sasa mtoto wetu mkubwa yuko std 2, nimeendelea kumsave kama Roommate.
 
Kwa uchunguzi wangu mdogo hii imeshakuwa shida kubwa kwa ndoa nyingi sasa.

Watu wangu kadhaa wa karibu wamenilalamikia. Wanaume ndo wamekuwa wahanga wakuu wa kugomewa penzi na wenza wao.

Unakuta mke na mume wanatoka nyumba moja lakini kumbe humo ndani hakuna kinachofanyika.

Inaanzaga mwanamke anakupa yote wkt bado hamjaoana lakini mkifunga ndoa tu anagoma kutoa penzi kwa visingizio vya hapa na pale mara hajisikii mara hayuko sawa.

Sasa namna hii michepuko itaisha kweli?

Wakuu nini kifanyike?
je ikiwa vice versa inakuaje
mume hataki mke anataka ?
 
Kwa uchunguzi wangu mdogo hii imeshakuwa shida kubwa kwa ndoa nyingi sasa.

Watu wangu kadhaa wa karibu wamenilalamikia. Wanaume ndo wamekuwa wahanga wakuu wa kugomewa penzi na wenza wao.

Unakuta mke na mume wanatoka nyumba moja lakini kumbe humo ndani hakuna kinachofanyika.

Inaanzaga mwanamke anakupa yote wkt bado hamjaoana lakini mkifunga ndoa tu anagoma kutoa penzi kwa visingizio vya hapa na pale mara hajisikii mara hayuko sawa.

Sasa namna hii michepuko itaisha kweli?

Wakuu nini kifanyike?

Maana yeye peke yake ndo mwanamke?
 
Katika hali ngumu, ni muhimu kutafuta msaada wa wataalamu wa masuala ya ndoa na uhusiano. Washauri wa ndoa na wataalamu wa saikolojia wanaweza kusaidia katika kutoa mwongozo na ufahamu mpya katika suala hili.
 
Shida kubwa nyie vijana na wanaume wa sasa mmeshindwa kukaa kwenye zamu zenu kama "ALPHA MALE" ndio maana mnajiliza Liza. Suala la kunyimwa unyumba sio la kulipigia kelele wala kulisema mbele za watu.
 
Back
Top Bottom