Pale mume anaposema hatajenga nyumba

ef897946489e9f6631bb4d65e7e1bb71.jpg

Hii ndiyo hali ya kagera? Yawezekana huyu Bibi baada ya kusikia kuwa serikali haitawajengea wahanga wa tetemeko nyumba, yeye kaamua kuanza kukarabati ya kwake.
 
Huyo bibi amefikia huo umri ndio amekumbuka kwamba kunakujenga nyumba. Inamaana miaka yote alikuwa anawaza nini? dah kweli hii dunia ya ajabu.
Mkuu usisahau kuna ujane, pengine hata tetemeko kama huko aliko lilipita au la
 
Huyo bibi amefikia huo umri ndio amekumbuka kwamba kunakujenga nyumba. Inamaana miaka yote alikuwa anawaza nini? dah kweli hii dunia ya ajabu.
Usimdharau usiemjua!! Kumbuka kama wewe umepata utotoni lkn wapo wanaokuzidi pia, na wengine mpk wanakufa hawana hata kibanda hivyo usijifanye kushangaa na kujifanya hujui.
 
Usimdharau usiemjua!! Kumbuka kama wewe umepata utotoni lkn wapo wanaokuzidi pia, na wengine mpk wanakufa hawana hata kibanda hivyo usijifanye kushangaa na kujifanya hujui.
Ww endelea kuzembea. hakika watoto wako watakuja kukuuliza maswali magaumu sana.
 
Unapotoa hukumu moja kwa moja kua huyo bibi alikua wapi miaka yote, inamaana unamjua maisha yake....
Kwa mfano ww ndio ungekuwa ndio huyo bibi na watoto wako wangekuuliza wakati wenzako wanatafuta pesa ww ulikuwa unafanya nini?
Ungemjibu nini?
 
Kwa mfano ww ndio ungekuwa ndio huyo bibi na watoto wako wangekuuliza wakati wenzako wanatafuta pesa ww ulikuwa unafanya nini?
Ungemjibu nini?
Mambo mengine bwana we kuwa nacho basi unataka wote wawe kama wewe mungu sio mjinga kututofautisha ana sababu zake za msingi kama we umejenga au umewahi kumbuka wengine wamechelewa na wengine hawana hatuwezi kuwa sawa hata siku moja.
 
Kiswahili kwako ni kigumu nimekwambia "kama" unajiona umepata usidharau usiemjua halafu sijui kwa nini napoteza muda kujibizana na wewe!!!!
Sister inabidi ukomae sana na nimesema hivyo kwasababu najua wanawake wengi huwa wanapoteza muda wao mwingi kuwategemea wanaume.

Na kwa kupitia hilo inaonekana wanawake ndio wanapatwa na matatizo mengi kwa mfano kutelekezewa familia nk. Na ndio maana nikipiga hesabu pesa yangu nyingi imetumika kuwasaidia wanawake zaidi kuliko wanaume.
Na huwa ninajitahidi kuwapa ushauri mzito.

Afrika ukiuzungumia umaskini mtu wakwanza kuonekana ni mwanamke je nyinyi wanawake hilo swala mnalichukiliaje?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom