sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,408
- 19,038
- Thread starter
- #21
Hongera kwa kuwa na roho hio ya kupensa nyau nyau 🐱🐱😂😂Wife alipewa paka na brother wangu huyu paka alikuwa mzuri kweli nilikubali kumchukuwa ila sikutaka awe anaingia ndani ya nyumba kwasababu ya harufu(mavi na mikojo). Huyu paka nilikuwa namnunulia vile vyakula vyao kwenye packets zao. Anapenda sana kuingia mwilini na kucheza kila wakati nilimpenda akitaka kunya au kukojoa anatoka nje au anakwenda kwenye poti yake ya mchanga chumbani kwake. Kuna siku nilitoka na wife tulimuacha
So mkuu ni vizuri kumtupa jalalani na sio kumzika??