Paka wa Muhimbili

Paka wa Muhimbili

Mimi ningetamani kujua dawa ya kuwa Zuia wasikanyage tena pale kama sio paka au ya kuwageuza wawe watu kama kweli sio paka
Mambo ya kishirikina ni ngumu kufanya jambo kama hilo kwenye compound kubwa kama ile yenye watu wa kila aina
 
Kama unadhani wale ni paka wanyama unaowafahamu tafakari mara mbili....wengi pale ni binadamu kwenye umbo la mnyama
Wale paka wana vituko mwanzo mwisho ....kitimoto ni haramu kwa paka! Pilipili pia! Chachandu ndo kabisaaa lakini pale wapo ambao ukiwapa makombo kama ukiweka chini hawali kama hayana viungo hawali ..hata ukiwapa kwa masimango hawali wanakuangalia na kijicho pembe...hawa si paka wape ndimu uone mziki wake.....
Huyu nilikutana naye maeneo ya wodi ya Mwaisela. Hiyo siku ndo nilijua nina kipaji cha riadha...

Ntashiriki Marathon mwaka huu

images
 
Mbona kuna siku pale mombasa ukonga nilikuwa nakula kitimoto ya kukaanga na ndizi zangu za kukaanga na soda pepsi baridi pembeni nilimpa paka kipande cha kitimoto akakipenda sana tena alikimbia nacho kwenye kona akawa anakula ili asisumbuliwe, wanakula kiti moto!


Wewe na COCA mwaelekea kumoja! Ukonga na Muhimbili hujui kutofautisha kweli kazi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom