Sadock Kabuko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2013
- 1,167
- 1,078
wa Muhimbili hawaliMbona kuna siku pale mombasa ukonga nilikuwa nakula kitimoto ya kukaanga na ndizi zangu za kukaanga na soda pepsi baridi pembeni nilimpa paka kipande cha kitimoto akakipenda sana tena alikimbia nacho kwenye kona akawa anakula ili asisumbuliwe, wanakula kiti moto!


uko pekeyako?