Paka wa Muhimbili

Paka wa Muhimbili

Dah![emoji144] [emoji144] [emoji144] pole sana[emoji779] [emoji781] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Chante[emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17] ila usinijie tu sahz mana ndo mida yenu ya kazi[emoji126] [emoji126] [emoji126]
 
Du ngumu kumeza.
paka.jpg
 
Wee Jamaa inaonekana Una mambo Mengi Uyajuayo Ila Huwa Unatoa Kiduchu Kiduchu Afu Ufafanuz Mdogo

Ebu Mwaga Iyo Elim Uliyo Nayo Nasi Tuelewa Kinachoendelea Katika Ulinwengu Huu
Anaandika andika tu vya kuokoteza hapa na pale na masimulizi ya vijiwe vya kahawa... Asikutishe wala nini!
 
Chante[emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17] ila usinijie tu sahz mana ndo mida yenu ya kazi[emoji126] [emoji126] [emoji126]
[emoji3] [emoji3] [emoji115] [emoji779] [emoji781] hata kukufariji? I mean kukutoa upweke?
 
Sasa hapo unaniangusha ina mana humwamini Yesu wako?
Sitaki kuzoea. Kwa sababu nawapa shida sana wachawi kwa upako nilio nao.

Ndio maana siwagusi kama hawana madhara kwangu na kwa jamii inayonizunguka
 
Mimi ningetamani kujua dawa ya kuwa Zuia wasikanyage tena pale kama sio paka au ya kuwageuza wawe watu kama kweli sio paka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom