Patience123
JF-Expert Member
- Mar 10, 2013
- 5,092
- 8,786
Hethina bhana,ni iji ndima janitesha hewani mtani.Niani uo? Hanini akufanye uadimike![]()
![]()
Hethina bhana,ni iji ndima janitesha hewani mtani.Niani uo? Hanini akufanye uadimike![]()
![]()
Kunasiku nilimfukuza mmoja alivimba Huyo na kunikoromea nikammwagia Maji ndio kwanza anazidi kutuna nashepu ya sura yake inazidi kunitisha nilitimua mbio nikaenda kumwita jirani yeye alikuwa mwanaume Alipo mfukuza maramoja tu alikimbia na hakuonekana eneo lile ila nilibaki na maswali kichwani kwanin amenidharau au kwavile nimwanamkeKati ya hao wanaovimba kuna ambao si halisi lakini wengine ni kiburi tuu
Samahani kwa kuuliza maswali mengi ila hawa viumbe huwa wananikera sanaKati ya hao wanaovimba kuna ambao si halisi lakini wengine ni kiburi tuu
Hilo halina ubishi hasa kwa wale tulio lazwa muhimbili kwa muda mrefu tumejionea mengi mno ya paka watu haoKama unadhani wale ni paka wanyama unaowafahamu tafakari mara mbili....wengi pale ni binadamu kwenye umbo la mnyama
Wale paka wana vituko mwanzo mwisho ....kitimoto ni haramu kwa paka! Pilipili pia! Chachandu ndo kabisaaa lakini pale wapo ambao ukiwapa makombo kama ukiweka chini hawali kama hayana viungo hawali ..hata ukiwapa kwa masimango hawali wanakuangalia na kijicho pembe...hawa si paka wape ndimu uone mziki wake.....
hata bara wapo mkuu.kuna eneo nimejenga kibanda OYSTERBAY YA DODOMA najuta wenyeji hupaita"NIGERIA"kwa mbwembwe za mipakaSamahani kwa kuuliza maswali mengi ila hawa viumbe huwa wananikera sana
Kuna wale paka wanaolia nyakati za usiku na huwa wanapangilia sauti kama wanapiga kinanda au unakuta mmoja analia kama mtoto mchanga na mwingine kama mwanaume mwenye sauti nzito hawa nao niwa sampuli gan ?????
Ni kwanin vituko vya paka hawa utavikuta tu maeneo ya pwani la kini bara huwez kukuta paka wanamna hii????
kumbe watanikoma tapanga ndimu kila mahali ktk mji wanguMchawi na ndimu ni vitu tofauti kabisa
Hahahaha eti APIA!Apia...!!!
Hahahaha eti APIA!
Hao paka hawajakutana na wachina
HahahahahaWapo....![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Ukiwapa ndimu wanakuajeKama unadhani wale ni paka wanyama unaowafahamu tafakari mara mbili....wengi pale ni binadamu kwenye umbo la mnyama
Wale paka wana vituko mwanzo mwisho ....kitimoto ni haramu kwa paka! Pilipili pia! Chachandu ndo kabisaaa lakini pale wapo ambao ukiwapa makombo kama ukiweka chini hawali kama hayana viungo hawali ..hata ukiwapa kwa masimango hawali wanakuangalia na kijicho pembe...hawa si paka wape ndimu uone mziki wake.....
Kuna paka alipewa uji usio na sukar hakunywa ulivyowekwa sugar kalamba wote
Sent from my GT-I9500 using JamiiForums mobile app
Wanapanda na lift kabisa?Unashangaa paka nenda bugando utakutana na mbwa ghorofa ya Tisa kwenye ngazi
Sent from my TECNO-L8Plus using JamiiForums mobile app