Paka wa Muhimbili

Paka wa Muhimbili

Umemfananisha... wa kwako ni huyu

Oldest-Cat-Living---Tiffany-Two--Guinness-World-Records_tcm25-371031.jpg
Hizi picha unazitoa wapi?duu
 
Kama unadhani wale ni paka wanyama unaowafahamu tafakari mara mbili....wengi pale ni binadamu kwenye umbo la mnyama
Wale paka wana vituko mwanzo mwisho ....kitimoto ni haramu kwa paka! Pilipili pia! Chachandu ndo kabisaaa lakini pale wapo ambao ukiwapa makombo kama ukiweka chini hawali kama hayana viungo hawali ..hata ukiwapa kwa masimango hawali wanakuangalia na kijicho pembe...hawa si paka wape ndimu uone mziki wake.....
ukiwapa ndimu wanafanya nin
 
Hivi mshana Jr kawaida paka ukimfukiza anakimbia
Wapo wale Ambao ukimfukuza wala hajigusi ndio kwanza anafura nakutaka kukurukia hawa nao ni paka halisi ????
 
Hivi mshana Jr kawaida paka ukimfukiza anakimbia
Wapo wale Ambao ukimfukuza wala hajigusi ndio kwanza anafura nakutaka kukurukia hawa nao ni paka halisi ????
Kati ya hao wanaovimba kuna ambao si halisi lakini wengine ni kiburi tuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom