Paka wa Muhimbili

Paka wa Muhimbili

Mbona kuna siku pale mombasa ukonga nilikuwa nakula kitimoto ya kukaanga na ndizi zangu za kukaanga na soda pepsi baridi pembeni nilimpa paka kipande cha kitimoto akakipenda sana tena alikimbia nacho kwenye kona akawa anakula ili asisumbuliwe, wanakula kiti moto!
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
MNH Pale Kuna Paka Wengi Sana Kweli Huchagua Chakula Kuna Jamaa Alimpa Chakula Akagoma Kula Alipopewa Nyama Ya Samaki Akala
 
Kama unadhani wale ni paka wanyama unaowafahamu tafakari mara mbili....wengi pale ni binadamu kwenye umbo la mnyama
Wale paka wana vituko mwanzo mwisho ....kitimoto ni haramu kwa paka! Pilipili pia! Chachandu ndo kabisaaa lakini pale wapo ambao ukiwapa makombo kama ukiweka chini hawali kama hayana viungo hawali ..hata ukiwapa kwa masimango hawali wanakuangalia na kijicho pembe...hawa si paka wape ndimu uone mziki wake.....
Noma noma mkuu
 
Kuna siku nimewahi mstua mmoja akanidindishia kiajabu sana.wale paka noma sana.
.
 
si ni walivyozoeshwa,sie paka wetu kazoeshwa nyama mbichi ukimpa iliyopikwa hali
Hyo mbaya mi namchangia mbich na yakuiva kuna siku alikamata kifaranga cha kuku nikakuta manyoya tu hatar.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom