Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 280,760
- 730,019
Kama unadhani wale ni paka wanyama unaowafahamu tafakari mara mbili....wengi pale ni binadamu kwenye umbo la mnyama
Wale paka wana vituko mwanzo mwisho ....kitimoto ni haramu kwa paka! Pilipili pia! Chachandu ndo kabisaaa lakini pale wapo ambao ukiwapa makombo kama ukiweka chini hawali kama hayana viungo hawali ..hata ukiwapa kwa masimango hawali wanakuangalia na kijicho pembe...hawa si paka wape ndimu uone mziki wake.....