Kama ni hivyo. Sawa. Sina ubishi maana nahitaji kuelemika pia.kuanzia miaka ya 80 papa yohane paulo 2 aliweka sheria kuzuia waklero kushiriki kwenye mambo ya kisiasa.Hivyo hairuhusiwi kabsa mkuu. Rejea tukio ambalo papa alimwonya hadharani padre mmoja huko nicaragua miaka hiyo.
Biblia inasema wazi huwezi kutumikia MABWANA wawili
Biblia inasema wazi huwezi kutumikia MABWANA wawili
Mathayo : Mlango 6MKuuu MWOMBE RADHI SIO BANA YULE N MWANAUME ATAKUWAAJE NA MABWANA TENA
We jamaa nenda kwa daktari wa Macho.Mkuu umesoma barua ipi?
Sijaona jina la Pengo hapo kwenye barua.
Rwaichi amekua kardinali lini?Hii barua ni ya uongo cardinal pengo Alisha staafu kwa Sasa cardinali ni Rwaichi Kama sijakosea
Kuwa TISS na kugombea ni vitu viwili tofauti.Unaweza kuta alikuwa TISS sasa ametafuta mlango wa kutokea.
Ruwaichi hajapewa ukadinali acha uongo. Ukadinali ni cheo anachotoa Papa.Hii barua ni ya uongo cardinal pengo Alisha staafu kwa Sasa cardinali ni Rwaichi Kama sijakosea
Uwege unauliza sio kuandika uonekane unajuaHii barua ni ya uongo cardinal pengo Alisha staafu kwa Sasa cardinali ni Rwaichi Kama sijakosea
Mkuu unatokea Ovada au umejiita tu hilo jina?Ruwaichi sio Cardinal ni askofu mkuu wa jimbo kuu la Dar es Salaam.
Pengo bado ni Cardinal ameng'atuka kwenye nafasi ya uaskofu. Amebaki kuwa Askofu mkuu mstaafu na Cardinal.
Ndugu yangu Mambo ya dini yaache...comment yako ni mbaya kabisa...usi-comment kwa Mambo usiyoyajua...upadre siyo kazi..Mbona barua inasema aliacha kazi kwa hiari yake mwenyewe. Habari ya kufukuzwa inakuja vipi. Mara nyingine muache kujitoa ufahamu nyie nyumbu. Hiyo kimsingi ni barua ya taarifa na kuthibitisha jamaa kuacha kazi. Pia kila mty anao uhuru wa kuishi atakavyo. Hata kadinali anaweza kuamua kubadilisha mwelekeo wa maisha yake.
Haipo hiyo sema tu Tz imetokea coincidence.Ukiwa askofu mkuu wa jimbo katoliki dar lazima uwe cardinal refer kwa cardinal aliyepita kabla ya pengo
Mkuu Pengo ndie kardinali bado,amestaafu uaskofu wa jimbo la dsmTanzania haina Kadinali bado. Ruwaichi ni Askofu mkuu. Pia bado Pengo hajaagwa kwa misa takatifu!
UnadanganyaBiblia inasema wazi huwezi kutumikia MABWANA wawili
Hapo ndio unajiuliza Mch. Msigwa anahudumu Kanisa gani hasa!!!Aisee sikujua kama pia wapo mapadre wa catholic, kanisa lenye heshima naye alitaka kwenda bungeni. Shame on you maccm!
Haya amefukuzwa aende vizuri huko CCM
View attachment 1523939