Uchaguzi 2020 Padre wa Kanisa Katoliki aliyeomba Ubunge huko Kagera kupitia CCM asimamishwa rasmi kuendelea na wito

kuanzia miaka ya 80 papa yohane paulo 2 aliweka sheria kuzuia waklero kushiriki kwenye mambo ya kisiasa.Hivyo hairuhusiwi kabsa mkuu. Rejea tukio ambalo papa alimwonya hadharani padre mmoja huko nicaragua miaka hiyo.
Kama ni hivyo. Sawa. Sina ubishi maana nahitaji kuelemika pia.
 
MKuuu MWOMBE RADHI SIO BANA YULE N MWANAUME ATAKUWAAJE NA MABWANA TENA
Mathayo : Mlango 6
24 Hakuna mtu awezaye kutumikia mabwana wawili; kwa maana atamchukia huyu, na kumpenda huyu; ama atashikamana na huyu, na kumdharau huyu. Hamwezi kumtumikia Mungu na mali.
 
Luka : Mlango 16
13 Hakuna mtumishi awezaye kutumikia mabwana wawili; kwa maana, ama atamchukia huyu na kumpenda huyu, ama atashikamana na huyu na kumdharau huyu. Hamwezi kumtumikia Mungu na mali.Sheria na Ufalme wa Mungu
 
Ruwaichi sio Cardinal ni askofu mkuu wa jimbo kuu la Dar es Salaam.
Pengo bado ni Cardinal ameng'atuka kwenye nafasi ya uaskofu. Amebaki kuwa Askofu mkuu mstaafu na Cardinal.
Mkuu unatokea Ovada au umejiita tu hilo jina?
 
Mbona barua inasema aliacha kazi kwa hiari yake mwenyewe. Habari ya kufukuzwa inakuja vipi. Mara nyingine muache kujitoa ufahamu nyie nyumbu. Hiyo kimsingi ni barua ya taarifa na kuthibitisha jamaa kuacha kazi. Pia kila mty anao uhuru wa kuishi atakavyo. Hata kadinali anaweza kuamua kubadilisha mwelekeo wa maisha yake.
Ndugu yangu Mambo ya dini yaache...comment yako ni mbaya kabisa...usi-comment kwa Mambo usiyoyajua...upadre siyo kazi..
 
Ukiwa askofu mkuu wa jimbo katoliki dar lazima uwe cardinal refer kwa cardinal aliyepita kabla ya pengo
Haipo hiyo sema tu Tz imetokea coincidence.
Na inawezekana asitokee cardinal baada ya Pengo katika Tz akachaguliwa from nchi nyingine.
So just jua sio kila nchi Ina Cardinal
 
Tanzania haina Kadinali bado. Ruwaichi ni Askofu mkuu. Pia bado Pengo hajaagwa kwa misa takatifu!
Mkuu Pengo ndie kardinali bado,amestaafu uaskofu wa jimbo la dsm

Vikao vya makadinali vikiwepo anahudhuria Pengo vatikan
 
37 Reactions
Reply
Back
Top Bottom