Uchaguzi 2020 Padre wa Kanisa Katoliki aliyeomba Ubunge huko Kagera kupitia CCM asimamishwa rasmi kuendelea na wito

Tumor marker

Member
Jul 22, 2018
50
125
Kwahiyo huyo ruwaichi anakaimu?
ukardinali ni cheo ambacho mtu anabaki nacho mpaka akiingia kaburini, hata akistaafu anabaki nacho na anaheshimiwa hivyo japo akishafika miaka 80 hawezi kushiriki kwenye mchakato wa kumchagua papa.
kwa Tz Kardinali ni pengo tu,
kama ilivyo kwa uganda kardinali ni wamala
na kenya kardinali ni njue.
 

Congo

JF-Expert Member
Mar 13, 2008
1,670
2,000
Mbona unaleta mambo ya miaka ambayo wengi humu walikuwa hawajazaliwa? Askofu amenukuu kanisa na canon law inayozuia mtiwa mafuta wa Bwana kushika nafasi ya kisiasa. Ina maana huo msitari kwenye barua hukuuona?
Wewe kutozaliwa sio suala hapa. Walao nimekuelemisha kuwa walikuwepo wanofanya kazi nje ya upadri na wanaendelea na upadri wao. Suala.ni.ruhusa tu. Nimekumbusha tu kama ruhusa ipo kutoka kwa mkuu wake agombea tu
 

instanbul

JF-Expert Member
Jun 26, 2016
7,677
2,000
Mimi ni mkatoliki,hilo unalo dai siyo sahihi.Ruwaich ni Askofu mkuu wa jimbo la Dsm na Pengo anabaki kuwa Kardinali wa Tz hadi pale baba Mtakatifu atakapomtangaza kardinali mwingine mpya wa Tanzania
Anaweza hasimtangaze mwingine pia tukabaki hivyo hivyo bila kardinali
 

Bishweko

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
2,941
2,000
Mbona barua inasema aliacha kazi kwa hiari yake mwenyewe. Habari ya kufukuzwa inakuja vipi. Mara nyingine muache kujitoa ufahamu nyie nyumbu. Hiyo kimsingi ni barua ya taarifa na kuthibitisha jamaa kuacha kazi. Pia kila mty anao uhuru wa kuishi atakavyo. Hata kadinali anaweza kuamua kubadilisha mwelekeo wa maisha yake.
Kweli ila sasa wenzio walio upande mwingine umewaita nyumbu huku ukijua kua kila mtu anao Uhuru ili
 

Tumor marker

Member
Jul 22, 2018
50
125
Wewe kutozaliwa sio suala hapa. Walao nimekuelemisha kuwa walikuwepo wanofanya kazi nje ya upadri na wanaendelea na upadri wao. Suala.ni.ruhusa tu. Nimekumbusha tu kama ruhusa ipo kutoka kwa mkuu wake agombea tu
kuanzia miaka ya 80 papa yohane paulo 2 aliweka sheria kuzuia waklero kushiriki kwenye mambo ya kisiasa.Hivyo hairuhusiwi kabsa mkuu. Rejea tukio ambalo papa alimwonya hadharani padre mmoja huko nicaragua miaka hiyo.
 

katitu

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
1,069
2,000
Kumbe hata wewe ni nyumbu pia kumbe hata huelewi essence ya ya Jambo lenyewe.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom