P.Kagame na Rwanda mimi sidanganyiki, sijui wengine!

Unajifanya unajua kuhusu Unyarwanda lkn hakuna ujuacho.

Rwanda kuna Kabila moja tu, Wanyarwanda, Watusi/Wahutu siyo Kabila na wala hakuna lugha ya Kitusi/ Kihutu, bali Rwanda kuna Lugha moja- Kinyarwanda.

Rudi upya ukarudie Kusoma vyema Historia ya nchi ya Rwanda na Makabila yake na acha Kunipotezea muda kwani bado IQ yako ya Kiwango cha ' Kiudhaifu ' mno kwa Wewe kuweza Kujibizana nami. Halafu unaonekana unapenda sana nawe uwe Mtutsi Mnyarwanda ila bahati mbaya haitowezekana hivyo bakia tu na hilo hilo Kabila lako kutoka katika nchi yako hiyo ambayo imetangulia Kupata Uhuru kuliko Rwanda lakini bado ipo ipo tu huku Wananchi wake wakiwa hawajui hata kile wakifanyacho kiasi kwamba hadi Siku zingine wanatuomba Sisi Wanyarwanda tuwasaidie Kufikiri kwa ajili yao na Kuwaongoza pia hasa katika maeneo yao muhimi muhimu na mengineyo yaliyo ' Nyeti ' kabisa.
 
Wewe siyo Mnyarwanda, Mnyarwanda hawezi kuongea hivyo, hayo ni mambo sensitive sana kwa Wanyarwanda wote, na hawawezi kuyaongelea juu juu hivyo kama ufanyavyo wewe.

Sema uko obsessed na Wanyarwanda lkn wewe siyo Mnyarwanda!
 
Na kwa taarifa tu sasa Mataifa yote yaliyouana ( kuwa Vitani ) muda mwingi Watu wake ndiyo wanaongoza kwa kuwa na IQ Kubwa kuliko wale ambao muda wote wao wapo tu na Utulivu huku wakijinasibu kuwa ni Baba na Mama wa Amani wakati kumbe Kiuhalisia Wananchi wao ni ' Goi Goi / Dhaifu ' tupu na pengine ndiyo maana pamoja na kupata Uhuru Siku nyingi lakini bado Wananchi wake ni Masikini huku Elimu yao ikiwa ni mbovu mbovu tupu.

Wananchi wake ni maskini ila wanawasaidia wapumbavu wanaouwana wao kwa wao huko mipakani and vice versa is not true...

Kingine kama hoja yako ingekuwa kweli basi Rwanda ingekuwa imeendelea kushinda Switzerland
 
Wewe kweli akili hauna sasa Israel ni nini Kwa marekani hizo ni porojo za mitaani
Israel inaingia mara ngapi kwa Marekani? Je, kati ya Marekani na Israel nani ni Mbabe hasa Kivita na nani anamtegemea zaidi Mwenzake? Nasubiri jibu langu haraka sana Mkuu ili nijue nianze Kukudharau au nianze Kukuheshimu kuwa nawe umebahatika kuwa na Akili kubwa kama walizonazo Raia wa Rwanda na hasa hasa wa Kabila ' lililobarikiwa ' nae Maulana / Mola la Tutsi ( Watutsi )
 
Rudi upya ukarudie Kusoma vyema Historia ya nchi ya Rwanda na Makabila yake na acha Kunipotezea muda kwani bado IQ yako ya Kiwango cha ' Kiudhaifu ' mno kwa Wewe kuweza Kujibizana nami. Halafu unaonekana unapenda sana nawe uwe Mtutsi Mnyarwanda ila bahati mbaya haitowezekana hivyo bakia tu na hilo hilo Kabila lako kutoka katika nchi yako hiyo ambayo imetangulia Kupata Uhuru kuliko Rwanda lakini bado ipo ipo tu huku Wananchi wake wakiwa hawajui hata kile wakifanyacho kiasi kwamba hadi Siku zingine wanatuomba Sisi Wanyarwanda tuwasaidie Kufikiri kwa ajili yao na Kuwaongoza pia hasa katika maeneo yao muhimi muhimu na mengineyo yaliyo ' Nyeti ' kabisa.
Hivi wewe kizibo hiyo nchi inayokujia moyoni mwako unashindwa kuitaja hapa unaishia kuimba taarabu za mafumbo kwa kusema imepata Uhuru kitambo lakini hamna kitu imefanya ni Tanzania au kuna nchi inakujia kichwani mwako na sio Tanzania..yaani unafikia hatua kuifananisha nchi ya Tanzania na eneo la kiutawala la Rwanda kweli?..ubongo wako utakuwa umechanganyika na nya sio siri wallah..hako ka Rwanda inaweza hata kufananishwa na Kinondoni kweli kwa nyanja zote au upo hapa kuchangamsha genge tu...
 
Hiyo Inga dam yenye uwezo wa kuzalisha 45000MW iliyoko kongo umesikia inazalisha nini Rwanda Akili bhana,

Kwanza Krismasi hii naenda kuilia Gisenyi.
 
Wewe siyo Mnyarwanda, Mnyarwanda hawezi kuongea hivyo, hayo ni mambo sensitive sana kwa Wanyarwanda wote, na hawawezi kuyaongelea juu juu hivyo kama ufanyavyo wewe.

Sema uko obsessed na Wanyarwanda lkn wewe siyo Mnyarwanda!

Leo maneno yote yatakutoka Mkuu. Wewe ni nani wa ama Kukataa au Kukubali kuwa Mimi GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE siyo Mrwanda tena wa Kabila la Kitutsi? Halafu imekuwaje hivi sasa unaanza kuwa Mpole hasa kwa Kauli zako za Kijeuri Kwangu ulizokuwa nazo awali? Sasa mbona hata hapo bado sijaongea Jambo lolote ' Sensitive ' ila nashangaa Wewe kwa hayo machache tu umeona kuwa yako hivyo? Bado nasisitiza kama kuna Nchi ambayo Wanyarwanda tukiambia tuingie nayo Vitani muda wowote ule na ' tunaipiga ' kutoka kila Kona na ' Kuichakaza ' vibaya kabisa tena ndani ya muda mfupi tu ni hiyo unayotoka ( japo sijaijua ni nchi gani mpaka sasa )
 
Wananchi wake ni maskini ila wanawasaidia wapumbavu wanaouwana wao kwa wao huko mipakani and vice versa is not true...

Kingine kama hoja yako ingekuwa kweli basi Rwanda ingekuwa imeendelea kushinda Switzerland

Umeandika ' Kipopoma / Kipuuzi ' sana. Mwenyezi Mungu akusamehe bure kwani nimegundua Wewe ni ' Mtupu ' mno Kichwani.
 
Wewe kweli akili hauna sasa Israel ni nini Kwa marekani hizo ni porojo za mitaani

Na nilijua tu kuwa usingekuwa na Jibu la Kunipa kwani tokea mwanzo nilishaujua ' Ubongo ' wako jinsi ulivyo ' dhaifu ' kwa ulichokiandika hapa umethibitisha hilo. Sasa nakuelimisha kuwa kama kuna nchi ambayo hii Marekani yako Wewe unayoigopa na Kuisifu haiiwezi na inaiogopa Kivita ni Israel. Na Marekani yako hii mpaka unaona inaonyesha ' Ubabe ' kwa Mataifa mbalimbali duniani jua ya kwamba karibia 75% ya Watu wanaoisadia Kijeshi pale PENTAGON hadi kule CIA na NSA ni ' Wayahudi ' Watupu. Kwa IQ yako ndogo uliyonayo ' Madini ' haya kamwe usingeweza kuwa nayo ila leo nakupa ili na Wewe basi kuanzia sasa uwe na Maarifa kwani Mimi Kumuelimisha ' Mpuuzi / Popoma ' ndiyo huwa furaha yangu Kubwa.
 
Hivi wewe kizibo hiyo nchi inayokujia moyoni mwako unashindwa kuitaja hapa unaishia kuimba taarabu za mafumbo kwa kusema imepata Uhuru kitambo lakini hamna kitu imefanya ni Tanzania au kuna nchi inakujia kichwani mwako na sio Tanzania..yaani unafikia hatua kuifananisha nchi ya Tanzania na eneo la kiutawala la Rwanda kweli?..ubongo wako utakuwa umechanganyika na nya sio siri wallah..hako ka Rwanda inaweza hata kufananishwa na Kinondoni kweli kwa nyanja zote au upo hapa kuchangamsha genge tu...

Unaweza kunionyesha ni wapi kokote pale katika Maelezo yangu nimeitaja Tanzania yako? Kumbe ni Tanzania pekee hapa Afrika Mashariki ndiyo ilipata Uhuru wake Kitambo na haziwezi pia labda kuwa nchi za Kenya, Uganda, Zambia, Malawi na Msumbiji? Ni kweli Rwanda ipo sawa sawa na Wilaya ya Kinondoni ila waambie ' Wafunga Buti ' wako ' waichokoze ' kisha uone kama hata Wewe hapo hukuwa Mali rasmi ya Taifa Teule Afrika la Rwanda.
 
😂😂😂 hizi ngonjera sijui mnazitoa wapi..anyway najua debe tupu huwaga lina sauti sana..aya bhana Gent
 
Huna IQ ya Kuijadili na wala Kuielewa Rwanda vyema ila sana sana ninachoweza kukuambia tu ni kwamba muda si mrefu Rwanda hii hii ya Rais ' Mpambanaji ' na ' Makini ' Paul Kagame unayoidharau inakwenda Kuizidi nchi yako Kimaendeleo katika Nyanja nyingi japo tayari kwa upande wa Akili ( Upeo ) kuanzia Wewe hadi Wananchi wako wote wa nchi uitokayo ( ambayo kwa bahati mbaya siijui ) hamjaweza hata kuwafikia kwa 25%.
pathetic sick little boy!!
 
😂😂😂 hizi ngonjera sijui mnazitoa wapi..anyway najua debe tupu huwaga lina sauti sana..aya bhana Gent

Maisha mema ila msije Kujidanganya Udogo wa Kijiografia ndiyo Ushindi wenu Kwetu. Tutawapigeni kama Kuku vile na hamtoamini. Naomba kujua Mkuu Wewe unatoke nchi gani kati ya Kenya, Tanzania, Uganda, Burundi na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo?
 
Yule achana naye anafanya Dubailazation.Soon utasikia wabongo wanazamia kule.

Rwanda soon tu inakuwa Free Economic Zone and Trade hub kubwa Africa.

-Anasubiria tumfikishie Standard gauge Railway[SGR]
-Anajenga Airport mpya kubwa the size of Bole International airport ya Ethiopia.Hili kucompete na Mashirika makubwa ya Africa na Middle East.Next year anaanza safari kwenda JFK[NY]
-Ana attract capital investment kubwa kwa kutoa offer nzuri na nyingi kwa wawekezaji.
-Kagame wants to build Rwanda kuwa technological center ya ukanda wetu.Juzi nimeona wanataka kutengeneza aviation school ya kisasa na wamefungua kiwanda cha smartphone.

All in all tobo lake kubwa ni DRC.Ikiwa stable anafikiria kutokana na influence ya watutsi mashariki mwa kongo.Ata liteka soko na Rwanda logistic hub ya bidhaa kwenda huko.

He is very smart.
 
Huna IQ ya Kuijadili na wala Kuielewa Rwanda vyema ila sana sana ninachoweza kukuambia tu ni kwamba muda si mrefu Rwanda hii hii ya Rais ' Mpambanaji ' na ' Makini ' Paul Kagame unayoidharau inakwenda Kuizidi nchi yako Kimaendeleo katika Nyanja nyingi japo tayari kwa upande wa Akili ( Upeo ) kuanzia Wewe hadi Wananchi wako wote wa nchi uitokayo ( ambayo kwa bahati mbaya siijui ) hamjaweza hata kuwafikia kwa 25%.
Afike Rwanda kwanza aone ilivyo. Hata miundo mbinu ya kule ingekuwa kwetu tungekuwa tunapiga kelelel. Barabara, mpangilio wa miji yao na kila kitu. Rwanda ni kitu tofauti kweli. Nimeishi kule miaka miwili ila kila kukicha unakuta barabara zimejengwa usiku. Wajapan ndo walipewa tenda siyo sisi tunang'ang'ania wachina.
 
Back
Top Bottom