P.Kagame na Rwanda mimi sidanganyiki, sijui wengine!

P.Kagame na Rwanda mimi sidanganyiki, sijui wengine!

Kila kukicha tunaletewa habari moto moto jinsi gani Unyarwanda inavyopiga hatua kwenda mbele kimaendeleo, mara sijui wanaassemble magari, sasa nasikia wanatengeneza smart phones, yote heri na hongera zao.

Mimi langu ni moja, Rwanda ina watu zaidi ya milioni 11 na mpaka leo hii ina uwezo wa kuzalisha umeme wa Megawatts 100 (100 MW) tu, hivyo viwanda wanapawa na nini, generator, au?

Mimi sidanganyiki, labda hao wengine, 100 MW hakuna kitu utafanya, ...
Rwanda nje ya Kigali hakuna kitu utaonyeshwa
Ukifuatilia miji ya rwanda unaishia kucheka
Hali mbaya
Hii kisifa yao niyakipuuzi kabisa
 
Ni jibu pia!
Hilo tusi la 'gentamaisini a.k.a dawa ya fungus' maana yake hana hoja!
100MW÷11,000,000 =0.000090909MW per mtu.
Sasa hapo bado hujatoa 5MW kwa ajili ya Kagame na familia yake, 5MW kwa ajili ya kiwanda cha kuasembo 'smart phones'!
Kwa kweli Rwanda inapiga hatua kubwa sana kimaendeleo ya viwanda.
🤣🤣🤣
 
Kila kukicha tunaletewa habari moto moto jinsi gani Unyarwanda inavyopiga hatua kwenda mbele kimaendeleo, mara sijui wanaassemble magari, sasa nasikia wanatengeneza smart phones, yote heri na hongera zao.

Mimi langu ni moja, Rwanda ina watu zaidi ya milioni 11 na mpaka leo hii ina uwezo wa kuzalisha umeme wa Megawatts 100 (100 MW) tu, hivyo viwanda wanapawa na nini, generator, au?

Mimi sidanganyiki, labda hao wengine, 100 MW hakuna kitu utafanya, ...
Wewe kakuambia nani kuwa wana megawati 100 tu
Unafahamu kuwa Rwanda inajenga Sgr mpaka Tinde?
 
Huyu jamaa anafanya maigizo tu, ili kujipa uhalali wa kuwa life president, na ndio jiwe anacopy huko eti hakuna mwingine atakayeweza kufanya haya, utafili wao hawafi.
 
Ndio vizuri kukaa na kujidanganya
Hivyo
Rwanda Tofauti na Kigali wapi kuna maendeleo
Mjibu hoja vizuri
Leo Hii Mpanda inapelekewa Umeme wa 100MW
Wakati nchi nzima ya Rwanda ina 100MW
Anzia haop acha mijisifa isio na Uhalisia
Rwanda ni kama mkoa wa Iringa tu. Hata kuifananisha na Mwanza ni kuukosea heahima mkoa wa Mwanza
 
Mna akili kubwa za namna Gani ?heheheheh

Ngojeni wahutu wapatw upenyo tena hahahahah

Kawaulize hao Wahutu wako hapa Juzi kati Waliwauwa ' Kikatili ' kabisa Wanyarwanda Mji ulio Mpakani ila ' Revenge ' yetu Kwao haikuwa ya Kitoto kwani tulichowafanya katika ' Oparesheni ' ndogo tu na ya muda mchache imeacha Majonzi makubwa huko Kwao Burundi na wanashindwa hata Kulalamika UN na Kwingineko kwakuwa kila Mtu ameshajua kuwa Wao hasa kupitia Serikali yao ndiyo wamekuwa ' Wachokozi ' Kwetu. Na siyo tu Burundi bali hata Wanajeshi wa nchi yako unayotoka Mkuu ( ambayo kwa bahati mbaya siijui ) nao wakitaka Kupata Kipigo cha ' Kishalubela ' kutoka kwa Wanyarwanda chini ya Jeshi letu Imara na ' lililobarikiwa ' Kivita, Kimbinu na Kimkakati la RDF tunawakaribisha kisha tutakachowafanya mtajuta hata kwanini ' mlituchokoza ' Wanyarwanda ( Watutsi ) Sisi.
 
Akili za kuuwana kisa ukabisa..

Ni akili matako hizo !?

Na kwa taarifa tu sasa Mataifa yote yaliyouana ( kuwa Vitani ) muda mwingi Watu wake ndiyo wanaongoza kwa kuwa na IQ Kubwa kuliko wale ambao muda wote wao wapo tu na Utulivu huku wakijinasibu kuwa ni Baba na Mama wa Amani wakati kumbe Kiuhalisia Wananchi wao ni ' Goi Goi / Dhaifu ' tupu na pengine ndiyo maana pamoja na kupata Uhuru Siku nyingi lakini bado Wananchi wake ni Masikini huku Elimu yao ikiwa ni mbovu mbovu tupu.
 
Huna IQ ya Kuijadili na wala Kuielewa Rwanda vyema ila sana sana ninachoweza kukuambia tu ni kwamba muda si mrefu Rwanda hii hii ya Rais ' Mpambanaji ' na ' Makini ' Paul Kagame unayoidharau inakwenda Kuizidi nchi yako Kimaendeleo katika Nyanja nyingi japo tayari kwa upande wa Akili ( Upeo ) kuanzia Wewe hadi Wananchi wako wote wa nchi uitokayo ( ambayo kwa bahati mbaya siijui ) hamjaweza hata kuwafikia kwa 25%.
thats ma men 'jenta'
 
Ndio vizuri kukaa na kujidanganya
Hivyo
Rwanda Tofauti na Kigali wapi kuna maendeleo
Mjibu hoja vizuri
Leo Hii Mpanda inapelekewa Umeme wa 100MW
Wakati nchi nzima ya Rwanda ina 100MW
Anzia haop acha mijisifa isio na Uhalisia

Cha Kushangaza hivi sasa ndiyo mnahangaika Kuijenga nchi yenu wakati mlipata Uhuru Kitambo tu lakini Rwanda chini ya Jemedari Paul Kagame a.k.a Genius ndani ya muda mfupi tu Rwanda inafanya makubwa hadi hata Mataifa Makubwa yanaishangaa na kuipongeza mno huku tayari hata WB ( Benki ya Dunia ) imeshairabiria makubwa Kiuchumi nchi ya Rwanda ndani ya muda mfupi ujao.
 
Huna IQ ya Kuijadili na wala Kuielewa Rwanda vyema ila sana sana ninachoweza kukuambia tu ni kwamba muda si mrefu Rwanda hii hii ya Rais ' Mpambanaji ' na ' Makini ' Paul Kagame unayoidharau inakwenda Kuizidi nchi yako Kimaendeleo katika Nyanja nyingi japo tayari kwa upande wa Akili ( Upeo ) kuanzia Wewe hadi Wananchi wako wote wa nchi uitokayo ( ambayo kwa bahati mbaya siijui ) hamjaweza hata kuwafikia kwa 25%.
Kwa waliozidiwa IQ na mimi nimo Kaka?.wanatumia vipimo gani labda,mana Rwanda ata mkoa wa mbeya mkubwa
 
Kwa waliozidiwa IQ na mimi nimo Kaka?.wanatumia vipimo gani labda,mana Rwanda ata mkoa wa mbeya mkubwa

Israel inaingia mara ngapi kwa Marekani? Je, kati ya Marekani na Israel nani ni Mbabe hasa Kivita na nani anamtegemea zaidi Mwenzake? Nasubiri jibu langu haraka sana Mkuu ili nijue nianze Kukudharau au nianze Kukuheshimu kuwa nawe umebahatika kuwa na Akili kubwa kama walizonazo Raia wa Rwanda na hasa hasa wa Kabila ' lililobarikiwa ' nae Maulana / Mola la Tutsi ( Watutsi )
 
Unajifanya unajua kuhusu Unyarwanda lkn hakuna ujuacho.

Rwanda kuna Kabila moja tu, Wanyarwanda, Watusi/Wahutu siyo Kabila na wala hakuna lugha ya Kitusi/ Kihutu, bali Rwanda kuna Lugha moja- Kinyarwanda.
 
Huna IQ ya Kuijadili na wala Kuielewa Rwanda vyema ila sana sana ninachoweza kukuambia tu ni kwamba muda si mrefu Rwanda hii hii ya Rais ' Mpambanaji ' na ' Makini ' Paul Kagame unayoidharau inakwenda Kuizidi nchi yako Kimaendeleo katika Nyanja nyingi japo tayari kwa upande wa Akili ( Upeo ) kuanzia Wewe hadi Wananchi wako wote wa nchi uitokayo ( ambayo kwa bahati mbaya siijui ) hamjaweza hata kuwafikia kwa 25%.
Bwaaaaahhhh inaelekea slim akitangaza kukuoa utachekelea sana
 
Back
Top Bottom