P.Kagame na Rwanda mimi sidanganyiki, sijui wengine!

P.Kagame na Rwanda mimi sidanganyiki, sijui wengine!

NINA HAKIKA WEWE NI MTUSI MFIA NA MFUASI WA kagame UNA CHUKI NA WA TZ NA NCHI YETU HIVYO THREADS UNAZOANZISHA HUMU JF KUHUSU TZ TUTAKUA HATUCHANGII MBAGUZI SANA ILA NYUZI ZA KWENU HUKO TUTAKUPA USHAURI
N.B UBAGUZI WENU NA KUJIONA BOTA UTAWARUDISHA 1994
Ukute na usalama wa taifa wanasoma nyuzi zake za chuki .. Tiss ingebidi mbwa Kama hawa ndio iwasake na kuwafikisha mahakaman kwa uchochezi
 
Huna IQ ya Kuijadili na wala Kuielewa Rwanda vyema ila sana sana ninachoweza kukuambia tu ni kwamba muda si mrefu Rwanda hii hii ya Rais ' Mpambanaji ' na ' Makini ' Paul Kagame unayoidharau inakwenda Kuizidi nchi yako Kimaendeleo katika Nyanja nyingi japo tayari kwa upande wa Akili ( Upeo ) kuanzia Wewe hadi Wananchi wako wote wa nchi uitokayo ( ambayo kwa bahati mbaya siijui ) hamjaweza hata kuwafikia kwa 25%.
Hii ID uliipumzisha mkuu,naikaribisha tena.
 
Afike Rwanda kwanza aone ilivyo. Hata miundo mbinu ya kule ingekuwa kwetu tungekuwa tunapiga kelelel. Barabara, mpangilio wa miji yao na kila kitu. Rwanda ni kitu tofauti kweli. Nimeishi kule miaka miwili ila kila kukicha unakuta barabara zimejengwa usiku. Wajapan ndo walipewa tenda siyo sisi tunang'ang'ania wachina.

Sawa, elezea wanawezaje kuishi ni 100 MW zaidi ya watu milioni 11 na kuwa na maendeleo yote hayo mnayoyasema?
 
Nothing there in rwanda zaidi ya kujimwambafai,na kujipigia promo za kufa mtu mpaka huko U.K, Ni nchi ambayo haina lolote zaidi ya kujipamba USONI KWA LIPI STIKI NA SHADOW NA TABASAMU FEKI LA NGUVU ILI IONEKANE IKO VIZURI,KUMBE NI NYOKO KABISA.

Hopeless!
 
Maisha mema ila msije Kujidanganya Udogo wa Kijiografia ndiyo Ushindi wenu Kwetu. Tutawapigeni kama Kuku vile na hamtoamini. Naomba kujua Mkuu Wewe unatoke nchi gani kati ya Kenya, Tanzania, Uganda, Burundi na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo?
Hamna kipya kabisa huyo Kagame mwenyewe alikua anajitutumua kwa Kikwete huku akijua kabisa kikinuka atachezea kipigo cha mbwa koko tu..Kikwete akamuonyesha Trela kwanza kule Congo kwenye maslahi yake..halafu akawa anamsikilizia angeendelea tu kuimba taarab angeona kitu ambacho kingemkuta tungekuwa tumeshawaoa mademu wa Rwanda muda huu
 
Yule achana naye anafanya Dubailazation.Soon utasikia wabongo wanazamia kule.

Rwanda soon tu inakuwa Free Economic Zone and Trade hub kubwa Africa.

-Anasubiria tumfikishie Standard gauge Railway[SGR]
-Anajenga Airport mpya kubwa the size of Bole International airport ya Ethiopia.Hili kucompete na Mashirika makubwa ya Africa na Middle East.Next year anaanza safari kwenda JFK[NY]
-Ana attract capital investment kubwa kwa kutoa offer nzuri na nyingi kwa wawekezaji.
-Kagame wants to build Rwanda kuwa technological center ya ukanda wetu.Juzi nimeona wanataka kutengeneza aviation school ya kisasa na wamefungua kiwanda cha smartphone.

All in all tobo lake kubwa ni DRC.Ikiwa stable anafikiria kutokana na influence ya watutsi mashariki mwa kongo.Ata liteka soko na Rwanda logistic hub ya bidhaa kwenda huko.

He is very smart.
Tatizo ni landlocked country kwa East Africa nchi ambayo ipo karibu zaidi kuwa free economic zone ni Kenya
 
Yule achana naye anafanya Dubailazation.Soon utasikia wabongo wanazamia kule.

Rwanda soon tu inakuwa Free Economic Zone and Trade hub kubwa Africa.

-Anasubiria tumfikishie Standard gauge Railway[SGR]
-Anajenga Airport mpya kubwa the size of Bole International airport ya Ethiopia.Hili kucompete na Mashirika makubwa ya Africa na Middle East.Next year anaanza safari kwenda JFK[NY]
-Ana attract capital investment kubwa kwa kutoa offer nzuri na nyingi kwa wawekezaji.
-Kagame wants to build Rwanda kuwa technological center ya ukanda wetu.Juzi nimeona wanataka kutengeneza aviation school ya kisasa na wamefungua kiwanda cha smartphone.

All in all tobo lake kubwa ni DRC.Ikiwa stable anafikiria kutokana na influence ya watutsi mashariki mwa kongo.Ata liteka soko na Rwanda logistic hub ya bidhaa kwenda huko.

He is very smart.
Hiyo airport mpya haifikii ata ukubwa wa Terminal 3. Bugesera airport inategemewa ku handle 1.7 million passengers kwa mwaka wakati T3 yetu peke yake capacity yake ni 6 million passengers kwa mwaka sasa wewe unaposema itakua kama Bole una maana gani!! Na yenyewe mwaka wa nane unapita sasa toka mradi utaganzwe wajenzi wa kwanza wameshindwana na Kagame wametoka site, Kagame anajitahidi ila watu mpo less informed mnaongeza chumvi ili habari zionekane "zinasisimua" mnanu over rate Kagame.
 
Wanapenda mihemko tu
Kama uchumi wa Rwanda kama tunavyoaminishwa, Kigoma, Kagera, Tabora, Rukwa, Katavi, Mwanza nk kungekuwa kumefurika bidhaa za Rwanda. Lakini tunachokiona ni kinyume chake!

Lakini kama haitoshi kwa aina ya uchumi unaopigiwa kelele tusingekuwa tunawaona Wanyarwanda wakimiminika mipakani kwetu kuishi au kufanya vibarua.

Again thread inahusu Megawat 100 kwa Watu milioni 10
 
Hamna kipya kabisa huyo Kagame mwenyewe alikua anajitutumua kwa Kikwete huku akijua kabisa kikinuka atachezea kipigo cha mbwa koko tu..Kikwete akamuonyesha Trela kwanza kule Congo kwenye maslahi yake..halafu akawa anamsikilizia angeendelea tu kuimba taarab angeona kitu ambacho kingemkuta tungekuwa tumeshawaoa mademu wa Rwanda muda huu
Huu ni ukweli ambao hao akina gentmycine hawawezi hata kutolea ufafanuzu wa ku comment
 
Sawa, elezea wanawezaje kuishi ni 100 MW zaidi ya watu milioni 11 na kuwa na maendeleo yote hayo mnayoyasema?
Nenda kaone mwenyewe usingoje kuambiwa. Ni rahisi tu mabasi yapo. Kama siyo ya Rwanda chukua mpaka mpakani halafu utakuta daladala kibao mpakani. Nenda mwana kwenda kaone mwenyewe. Hata watu wakubwa serikalini wanajua hilo mpaka wamenyosha mikono kuhusu Rwanda.
 
Kila kukicha tunaletewa habari moto moto jinsi gani Unyarwanda inavyopiga hatua kwenda mbele kimaendeleo, mara sijui wanaassemble magari, sasa nasikia wanatengeneza smart phones, yote heri na hongera zao.

Mimi langu ni moja, Rwanda ina watu zaidi ya milioni 11 na mpaka leo hii ina uwezo wa kuzalisha umeme wa Megawatts 100 (100 MW) tu, hivyo viwanda wanapawa na nini, generator, au?

Mimi sidanganyiki, labda hao wengine, 100 MW hakuna kitu utafanya, ...

Sifa hizi anazopenda Kagame bana!

Mara magari,holla,wameenda Kenya!

Mara smartphone,akishirikiana na muhindi tapeli Thakkar!

Feki feki feki!

These dudes full of fakery!
 
Kawaulize hao Wahutu wako hapa Juzi kati Waliwauwa ' Kikatili ' kabisa Wanyarwanda Mji ulio Mpakani ila ' Revenge ' yetu Kwao haikuwa ya Kitoto kwani tulichowafanya katika ' Oparesheni ' ndogo tu na ya muda mchache imeacha Majonzi makubwa huko Kwao Burundi na wanashindwa hata Kulalamika UN na Kwingineko kwakuwa kila Mtu ameshajua kuwa Wao hasa kupitia Serikali yao ndiyo wamekuwa ' Wachokozi ' Kwetu. Na siyo tu Burundi bali hata Wanajeshi wa nchi yako unayotoka Mkuu ( ambayo kwa bahati mbaya siijui ) nao wakitaka Kupata Kipigo cha ' Kishalubela ' kutoka kwa Wanyarwanda chini ya Jeshi letu Imara na ' lililobarikiwa ' Kivita, Kimbinu na Kimkakati la RDF tunawakaribisha kisha tutakachowafanya mtajuta hata kwanini ' mlituchokoza ' Wanyarwanda ( Watutsi ) Sisi.
Na huo ndio ujinga mlio nao kuua uana kisa ukabila

Soon huko kutalipuka tena mtajazana makambi ya kagera
 
Kawaulize hao Wahutu wako hapa Juzi kati Waliwauwa ' Kikatili ' kabisa Wanyarwanda Mji ulio Mpakani ila ' Revenge ' yetu Kwao haikuwa ya Kitoto kwani tulichowafanya katika ' Oparesheni ' ndogo tu na ya muda mchache imeacha Majonzi makubwa huko Kwao Burundi na wanashindwa hata Kulalamika UN na Kwingineko kwakuwa kila Mtu ameshajua kuwa Wao hasa kupitia Serikali yao ndiyo wamekuwa ' Wachokozi ' Kwetu. Na siyo tu Burundi bali hata Wanajeshi wa nchi yako unayotoka Mkuu ( ambayo kwa bahati mbaya siijui ) nao wakitaka Kupata Kipigo cha ' Kishalubela ' kutoka kwa Wanyarwanda chini ya Jeshi letu Imara na ' lililobarikiwa ' Kivita, Kimbinu na Kimkakati la RDF tunawakaribisha kisha tutakachowafanya mtajuta hata kwanini ' mlituchokoza ' Wanyarwanda ( Watutsi ) Sisi.
Heheheh jeshi la rwanda lenyewe halina displine ndio maana tumewawekea majenerali kule kagera alitoka major Jen akaja brigedia mkizingua anasogeza batalions tu fasta anapiga kigalj wote mnaingia msituni

Kukiibuka mtifuano huko kwenu priority ya kwanza ni kuwatafuta dada zenu wa tutsi kama big jii
 
Back
Top Bottom