Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,837
- Thread starter
- #21
Nchi yako inapenda kweli iwe na Raia wenye Akili kubwa kama za Wanyarwanda sema tu ndiyo hivyo tena haiwezekani.
Bado unazunguka tu, Mada inahusu uwezo wa Unyarwanda kutumia Umeme wa 100 MW tu, sasa inawezekana vipi? Hivyo viwanda tunavyoambiwa, vinatoa wapi huo umeme? Ndicho ninachotaka kusikia na wala siyo TZ yetu vs Unyarwanda!
