mafinyofinyo
JF-Expert Member
- Nov 29, 2012
- 4,404
- 3,276
So JK kasaidia mwenye kiuno chembamba macho kungu na tattoo mapajani (RAY C)na kuacha kijana wa kitaa!
Hahahahah! Mkuu Jk si mzee wa totozzzz.
So JK kasaidia mwenye kiuno chembamba macho kungu na tattoo mapajani (RAY C)na kuacha kijana wa kitaa!
'kwani mbona kwa tetesi hata mercedes benz,top in down na wengine wengi tu mbona wanakula unga na wana rekodi ambazo zimetengenezwa na majani ya chai mbona zinachezwa kwenye mawingu kwa asiseme zote zisipigwe akasisitiza za MIMI tu ndo zisipigwe au anasubiri na wao mpaka wafe ndo aseme hataki rekodi zao zipigwe...............in other way he has a right to do so by authority coz he iz the owner kwa mana dogo alikuwa label pale hivyo kazi zote ziko chini yake sio,ana mamlaka ila aseme zote za wasanii wake wala unga atakuwa ameweka usawa kiasi flani sio.............habari yako FANANI WA H.B.C naskia na wewe upo JF bwana,au'
Huyo aliyepokea tuu nae huo Ujumbe Mi kanishangaza...... Mawazo ya Wavuta benge Mtu kakaa katandika bange zake anakurupuka Kutafuta njia za kutaka tumzungumzie tuu Anaropoka! Mnafiki tuu cku zote alikuwa wapi? Na Kwa nini asikataze nyimbo zote ana Chagua za Albert tuu? Mkubwa mzimaaa anatafuta njia tuu tumzungumzie.
why always clouds?
Ukistaajabu ya MUSA utayaona ya PFUNK, Asitafute umaaruf kwenye Misiba, Kama Ngwear alivuta mibangi na Madawa kwa sababu ya Frustration kwa Clouds, yeye nani amemfrustrate kuwa Muumini mzuri kwenye tasnia hiyo ya Vilevi! Dah. P Funk nae anapigania haki za Wasanii? Kama tukimpa Bastola ili auwe wezi wakubwa wa kazi za wasanii , akiwa Muadilifu anapaswa kujipiga bomba kwanza yeye mwenyewe!
Clouds Fm kama ni waungwana wakutane na wadau mbalimbali wajadili kwa nini wao wamekuwa kwenye lawama nyingi.Naamini Kusaga atatumia busara maana mchango wake pia ni mkubwa sana si vizuri sifa yake ikaharibiwa na mambo yanayozungumkika kuwasaidia hawa vijana na muziki kwa ujumla hasa kwa nafasi yake kama Mdau mkubwa kabisa wa muziki.
kitu muhimu hapa ni kujua NANI ANA HATI/HAKI MILIKI YA NYIMBO ZA NGWEAR.......kuproduce nyimbo ya mtu sio kuwa na haki miliki hasa kwa watu wa bongo flava....wengi wanaproduce wanalipwa hela zao then msanii anaenda kuuza kazi yake kwa wahindi/distributor peke yake.....producer kashalipwa chake imeisha....je P Funk ana haki miliki ya nyimbo za ngwear??? kama hana hawezi kuwaambia clouds fm wasipige hizo nyimbo....mwenye mamlaka hayo ni mmiliki wa haki za nyimbo za ngwear.....
Kwani majani Ana siri gani?![]()
Kwa Mujibu wa Dj.CHOKA P-funk naye Ametoa DUKUDUKU lake la Moyoni kuhusuu kifo cha ALBERT MANGWEA!
WANAJAMVI MNA MAONI GANI??
watu wanakula unga kwa starehe zao, mpaka wanausifia kwenye mziki. na sidhani kama hapo mwanzo wasanii wote wa bongo records alipkuwa anafanya nao kazi toka mwanzo walikuwa hawali unga.
siku hizi naona vifo ni promo kwa wengine na media zinaangalia upepo wa watu kuna ambao wakifa hata hakuna anaye ongelea sana lakini wengine wakifa promo kwa kwenda mbele
hujui kitu katika masuala ya haki miliki PRODUCER NDIO MMLIKI WA BEAT WHILE ARTIST ANAKUA ANAKOPESHA BEAT HACHA UMBURURA.