P-Funk naye aishukia Clouds FM

P-Funk naye aishukia Clouds FM

Sasa nani kati yetu anategemea maneno ya kusikia? Mimi au wewe unaefanya reference kwenye video? By the way, wapi nimesema Bongo Records ni kijiwe cha wala unga?halafu unajifanya unajua sana maneno machafu....sasa sikiliza, tafuta namba zingine za kuchezea; endelea!

Mkuu utanitafutia Ban tu,,,Wasalimie Ushenzini!!
 
hujui kitu katika masuala ya haki miliki PRODUCER NDIO MMLIKI WA BEAT WHILE ARTIST ANAKUA ANAKOPESHA BEAT HACHA UMBURURA.

Naam wakapokelewa vuzuri THT
 
Mkuu utanitafutia Ban tu,,,Wasalimie Ushenzini!!
We ndo ulikuwa unanitafutia ban coz' hakuna popote ambako nilitumia offensive language dhidi yako lakini wewe unaelekea mtaalamu sana wa hayo mambo na ndio maana nikakuambia endelea....wakati we unaogopa ban; binafsi ban inakuwa ni kama kumpiga teke chura.
 
Clouds Fm kama ni waungwana wakutane na wadau mbalimbali wajadili kwa nini wao wamekuwa kwenye lawama nyingi.Naamini Kusaga atatumia busara maana mchango wake pia ni mkubwa sana si vizuri sifa yake ikaharibiwa na mambo yanayozungumkika kuwasaidia hawa vijana na muziki kwa ujumla hasa kwa nafasi yake kama Mdau mkubwa kabisa wa muziki.

Wanajifanya wanakuza vipaji lakini kama single yako hujaitambulisha kwenye kile kipindi chao cha XXL haipigwi, nilisikiliza siku moja wanampiga biti Joslin kuhusu vigezo na masharti kuzingatiwa kwa kumwambia unatambulisha single kienyeji wao watajuaje kama una single na isipopigwa utajifanya kukimbilia facebook na kusema clouds inabana, kama kweli una promote muziki wa bongo flavour kwanini kuwe na condition nyingi na kama RTD wangekuwa na mizengwe sidhani kama hata wao clouds wangekuwa na nyimbo zile za bendi za enzi hizo kwani ili wapige wimbo mpaka u-introduce kwao
 
mkuu Sisi tunaongea mambo ambao hatujui majani kaanza kurekodi mwaka 1995 AKIWA 15 AGE BAADA YA KUHITIMU MASOMO UHOLANZI (SAE INSTITUTE OF ENGENEERING) na kama tunakumbuka kipindi hicho clouds haikuepo bali ilikuepo radio 1 ambao ndio waliochangia kwa kiasi kikubwa kukua kwa muziki wa bongo fleva JE KWANINI HAWA CLOUDS AMBAO NDIO WAMEANZA KIPINDI CHA 2000s Ndio wanyoshewe kidole na kama mnakumbuka haya masuala ya majani na ruge hayajaanza mda huu,ruge kwa ulafi wake alimmega sinta wa juma nature ndio hapo ugomvi ulipoanza trace songs like sitaki demu na kisa demu kwaiyo CLOUDS HAWAFAI.

Wao wamedandia meli alafu ndio wanajifanya vinala wakati kiukweli system yote Tz ya utangazaji kwenye Tv na radio kwa nchi yetu ni copy na ku-paste toka radio one, ITV 1 na ITV 2 kabla ya kubadilisha na kuwa Chanel 5, those years wao ndio walianzisha hii system ya kuajiri ma-DJ na kadhalika. Kama hawa jamaa wangekuwa wachoyo tusingefika hapa tulipo na vibao kama Chemsha bongo kabla haujapagawa vilikuwa vinapigwa huku, ndio polepole na vituo vingine vikaanza ku-adopt hii system na jamaa wakabadilisha system na kuwa busy na habari serious na muziki kidogo huku Chanel 5 wakaiacha kwa ajili ya vijana waserebuke bila vikwazo mbalimbali
 
duh ruge kumbe ilikuwa ndio chanzo,

Back
Top Bottom