just wondering why he never said so, when the man was still alive.......................................
waacheni walalamike wenyewe wasanii, kwanini mashabiki ndo mwayaongea hayo?? ina maana ninyi ndo mnajua sana ama???? matusi makubwa mnatukana kwny social networks mbalimbali, ina maana jide ndo aliyewaambia mtukane ama nini??? amkeni vjana, ninyi mnatukana wenzenu wana enjoy maisha, wakati huo muda unaotumia kutukana ungekuwa ushafanya mambo mengi tu
Mbona nyimbo zake zimepigwa sana na hata wimbo wake wa mwisho alitambulisha xxlKwasababu clouds fm wanajidai kumjali ngwea baada ya kifo while enzi za uhai wake walikua hawapigi nyimbo zake.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Hebu mtu anilazimishe kuamini kuwa Majani kweli ametamka hivi kwani kama ni ukweli mbona hii ni kuleta utani msibani. Hiyo picha ya majani na maelezo......labda kama makabila yao yana utani wa asili..
Nionavyo mimi MAJANI ndio kioo cha jamii ya wala unga, jina lake lenyewe (linamhukumu) anaipromote kwa sababu yeye anaona inampa faida, Sasa ni ajabu baba mzinzi na mlevi aishi kuhubiri kwa familia yake kuacha ulevi na uzinzi. Ukiwa mzinzi na mwanao akawa mzinzi alafu unatoka nje na kutafuta mchawi....hiki ni kituko.
Kwasababu clouds fm wanajidai kumjali ngwea baada ya kifo while enzi za uhai wake walikua hawapigi nyimbo zake.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
[h=3]"SITAKI KUSIKIA NYIMBO ZA NGWEA ZIKIPIGWA CLOUDS FM.\..WAO NDO WALIOMFANYA AANZE KUVUTA BANGI ILI KUONDOA MAWAZO"...P FUNK[/h]
Muda mfupi uliopita djchoka amepokea simu kutoka kwa Producer mkongwe hapa bongo anayejulikana kwa jina la P ---- Majani na kumuuomba aipokee msg hii hapa chini na kuwaomba watanzania walijue hili na baadae atatoa barua rasmi.