[h=3]"SITAKI KUSIKIA NYIMBO ZA NGWEA ZIKIPIGWA CLOUDS FM.\..WAO NDO WALIOMFANYA AANZE KUVUTA BANGI ILI KUONDOA MAWAZO"...P FUNK[/h]
Muda mfupi uliopita djchoka amepokea simu kutoka kwa Producer mkongwe hapa bongo anayejulikana kwa jina la P ---- Majani na kumuuomba aipokee msg hii hapa chini na kuwaomba watanzania walijue hili na baadae atatoa barua rasmi.
Inaonekana hii redio hawana public interest, punde tu watakuwa kama TBC-redio na Tv. Miaka 5 ni mingi sana kwao kupoteza wasikilizaji na kurudi down to the grasses.
Clouds inaonekana kuwa ni watu wasiojali saana matakwa ya wasikilizaji wao, wangekuwa na akili nzuru, wamiliki wake wangetenga ubinafsi wao na uendeshaji wa redio yao. Wakumbuke kuwa wasikilizaji ndio first and most important clients- ndio wamiliki wenye hisa nyingi kwa maana ya kuwa wasikilizaji wanapokuwa wengi ndipo matangazo ya biashara yanakuwa mengi.
Clouds FM wachunge sana Magic FM is a threat to them.