P-Funk naye aishukia Clouds FM

P-Funk naye aishukia Clouds FM

Hizo lawama nyingi ni za akina nani ? Wana JF ama ? Kati ya wasikilizaji milioni moja wakilalamika watu elfu moja sioni ubaya.Wachina wanasema iwapo utaona mmekaa zaidi ya watu kumi mnaongea na wote mnakubaliana kwa kila jambo basi hapo kuna jambo halipo sawa.

Hebu sasa mtoe ushauri wa redio mbadala, Kwani kusema kweli wasanii ni wengi sana hapa bongo na wote wanaiangalia clouds, na nina uhakika clouds haina uwezo wa kuwafikia wote. Toeni ushauri wa redio mbadala ya kukimbilia tuachane na hawa "wanyonyaji" Tulalamike na kutoa ufumbuzi jamani watanzania wenzangu.

EA Radio,Radio 1,RFA.........,
Honestly mie clouds wananiboa,afu wanajifanya wao ndo wanasapot industry
kuliko mtu yoyote mwingine TZ hii
 
capture_07.png

Kwa Mujibu wa Dj.CHOKA P-funk naye Ametoa DUKUDUKU lake la Moyoni kuhusuu kifo cha ALBERT MANGWEA!

WANAJAMVI MNA MAONI GANI??

Kwani nyimbo ni za Mangwea au za P-funk?
 
Copyright ndo swala la msingi analosimamia P.Funk,

Nampongeza sana P.Funk na Bongo Records kwa ujumla kwa kuonyesha kuwa wanaweza kuwa dira ya kumsulubu mnyonyaji wa kazi za sanaa ya tz tena hili limeionyesha ukomavu kwani ni legally na ninahakika Kusaga na ruge wanaumia sana juu ya hili.

Kudos P.Funk,
Kudos Ludigo.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Kama ana Copyright ya nyimbo za Mangwea,kwanini asiwaandikie tu barua ya kukataa kupigwa kwa hizo nyimbo?.Badala yake anawatuma watu wawaambie Clouds.
 
Prof Ludigo nae kasema hataki kusikia nyimbo alizomtengenezea Mangwea(R.I.P) zikipigwa na Clouds hasa Mikasi

Kifo chao ndo kimefika hawa wanyonyaji

sio za ngwair tu,awapige marufuku wasaniii wote anaowatengenezea nyimbo sasa hivi wakiwa hai kuzipeleka clouds media afu tuangalie itakula kwa nani kati yake na hao clouds!!!!au yeye hadi ufe ndio anakuwa na uchungu na na wewe?
 
Mbona ngoma za ngweair zilizotengenezwa bongo records bado zinagongwa clouds. Nmesikia kimya kimya muda si mrefu.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

nimeisikia mikasi mida ya kumi kasoro
 
sio za ngwair tu,awapige marufuku wasaniii wote anaowatengenezea nyimbo sasa hivi wakiwa hai kuzipeleka clouds media afu tuangalie itakula kwa nani kati yake na hao clouds!!!!au yeye hadi ufe ndio anakuwa na uchungu na na wewe?

Hata hivyo P-funk na clouds haziivi kitambo na wafu hawana uwezo wa kumuweka P mjini!,na sidhani kama kuna watu wanarecord kwa P na nyimbo zao zinapigwa wafu(sina hakika)

Wafu wataomba POO safari hii.
 
jamani ebu angalia hyo picha ya pfunk, mkono wake wa kushoto kashika nini?? cjawahi kumuona kusaga ama ruge akiwa amepga pcha anakula unga au anavuta bangi, sasa kati ya pfunk na ruge/kusaga nani aliye mfanya marehemu ale unga???? kama hakuwa na mafanikio, uko south alifuata nini??? maisha yapo kwa wasanii sema wanashndwa kujipanga 2. but R.I.P ALBERT MANGWEA:screwy:😕:thumbup:😕
 
Ngumu sana kuelewa hadi upate watu wa muziki wakuambie tumefikaje hapa!
Nalifahamu game tangu wakati linaanza na hadi hapa lilipofikia!! Tangu enzi za akina 2 Proud a.k.a Mr II wanafanya fujo pale old Kilimanjaro Hotel kupinga matokeo ya mshindi wa Rap!! Tangu enzi watu tunatembea na tapes za beats za unyamwezini, na ukioetea redio mahali mnaweka tape mnaanza kushusha mistari!!! Hawa wote wanaolalamika sasa ni wanafiki tu coz' kwa nyakati tofauti tofauti walikuwa ni wanufaikaji wakubwa kupitia Clouds hao hao huku wengine waki-hustle pamoja na kwamba walikuwa na vipaji! Hatukuwasikia miaka yote hiyo!! Leo hii nyang'au limewarudia wenywe wanaanza kulalamika.....inaelekea wakati umefika kwa wafu kuzikana wao kwa wao!! Bongo flavor ni full fitina....na fitina kubwa zaidi zinatoka kwa wasanii wenyewe kwa wenyewe huku wakati mwingine fitina zikifanywa kwa kiasi kikubwa na wanaojiita mameneja!!
 
Very true,lakini wanapoamua kusimama sasa ni vizuri wote wajitafakari ili industry iende kule kunakotakiwa.Wenzetu Kenya na hata Uganda waliojifunza Hip hop juzi wanaanza kutambulika kimataifa sisi tunahujumiana.

Yaani ni sawa na kukata tawi ulilokalia.Industry imevurugika sana imebaki bora liende walau upate chochote usikasirishe walioshika mpini.
 
You're RIGHT lakini tatizo ni kwamba(especially JIDE) hawasimamii music industry bali wanasimamia maslahi binafsi! Ni bahati mzuri sana Jide amepata public sympathy na kuonekana kana kwamba anapigania industry mzima kumbe ni maslahi binafsi! Kwa namna moja au nyingine, tukichukulia mathalani suala la Jide, naweza kukubaliana na madai ya Ruge kwamba ugomvi wao unatokana na ile kudhani kwamba Clouds wana mkono wao pale Skylight Band!! BInafsi, hata kama wana mkono wao, sioni tatizo....ndo biashara!!
 
Huyu mnafiki leo ameibuka baada ya kusikia ngwea amekufa.naona anatafuta sifa sasa baada ya kuuwa vipaji vya wasanii wengi huku akiwafundisha na kupuliza majani ambapo kwenye studio yake ilikuwa kama makao makuu ya bhangi dsm
P funk aliliuwa kundi la daz nunda akitaka kila msanii atoe album yake ili apate dili huku daz baba na ferooz kuwaweka karibu sababu walikuwa watumia majani
P funk aliliuwa kundi la chamber squard kisa kupatana na ngwea kwenye kutumia majani
Huyu huyu alimshawishi jay kuachana na hbc ili yeye apate dili la kurecord nyimbo

Soggy na bizman w anamjua kwani pamoja na kufanya kazi naye kwa muda waliambulia nyimbo zao kufutwa

no YOUR ARGUEMENT BASED ON ILLUSION AND NOT REALITY.
 
Kusaga soon jengo ataanza kufugia kuku lile

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Afugie tu kuku maana watu wengi washajua adui yao ni nani. Waliobaki ni waoga tu

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
waacheni walalamike wenyewe wasanii, kwanini mashabiki ndo mwayaongea hayo?? ina maana ninyi ndo mnajua sana ama???? matusi makubwa mnatukana kwny social networks mbalimbali, ina maana jide ndo aliyewaambia mtukane ama nini??? amkeni vjana, ninyi mnatukana wenzenu wana enjoy maisha, wakati huo muda unaotumia kutukana ungekuwa ushafanya mambo mengi tu

Bila mashabiki hakuna clouds fm wala bongo fleva
 
Back
Top Bottom