KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 20,143
- 40,909
Shatapu! wewe ni msichana, au na wewe unataka kuolewa!
Mkuu inaweza kuwa ni wale wasichana unaowazungumzia....kwa hiyo inawezekana ule msemo wa jiwe gizani ukawa umetimia......
Shatapu! wewe ni msichana, au na wewe unataka kuolewa!
do you think I will respond your question while you rejected mine! Kama sio kusubili utangoja.
Nikiwa naongelea chumvi ukaleta story za cement huwa nahesabu ni kiuoga fulani, inabaki kupiga porojo as we did.
I have precedence.
My signatute is from the bible, how the fvck does that figure?
Before I became a Christian, I was arrogant than you, selfish and manipulative. I had done things to intentionally turn people away from their Christian faith as u did.
But after my conversion, I felt humbled by God's power to change me.
I wanted people to see Jesus in my life, not me or my accomplishments, do you think you have precedence than God!? Ok ipo siku utatupa ushuhuda. Kwa sasa wewe mjanja.
Nakubaliana nawe Shy land.
Wanaume wanaamini wao ni watawala, hivyo akikuta mtu ni kichwa zaidi yake anakosa kujiamini.
Wanaume wengi wanaogopa changamoto kutoka kwa wanawake hivyo wanataka mwanamke ambae wataweza kumtawala/ kumuendesha na ndio maana wanaume (WENGI SIO WOTE) Ni waoga kuoa mke anaemzidi elimu, kipato, umri au huko kujiamini.
ukipenda kuongea na watu, kwa kweli utapata mengi sana na utaongeza maarifa.
huu ni ukweli nilioufanyia mahojiano na wanaume mbali mbali ambao hawajaoa,
wanadai ya kwamba msichana anayejiamini sana kupita kiasi ana safasi ndogo sana ya kuolewa. kwa sababu wanaume waliowengi hujisikia wanyoge sana kwenye ndoa, wanawake wanapokuwa wao ni kama watawala katika familia na wenye maamuzi(tena wanawake kama hao wanakiburi sana, kutokana na kujiamini kwao.)
wanaume walioa wanawake wanaojiamini kupita kiasi,, wanadharaulika sana mbele ya jamii.
wasichana kazi kwenu mnaotaka kuolewa.
Bwana MO11 upo
Shyland, sampuli yako ilikuwa ya wanaume waoga na wasiojiamini. Wanaume wa namna hiyo hawafanikiwi kimaisha.
Mwanamke anayejiamini ndio mke mwema mwenyewe, hazina na trust ya mumewe huwa kwake.
Vv
Shatapu! wewe ni msichana, au na wewe unataka kuolewa!
KUWAACHA WAZAZI NA KUAMBATANA WAWILI KAMA MME NA MKE
(1, wakoritho 7:36] je unapokata kuoa au kuolewa unataka uendelee kuishi kwa nani?
UHUMI WA KUOA AU KUOLEWA
(mhubiri 4:9-12]
je? unafikiri kuna umuhumu gani wa kuoa au kuolewa? kama hakuna ni kwa nini?
KILA MWANAMKE AWE NA MME WAKE MWENYEWE
(1 wakoritho 17:21] soma kwa faida yako.
WATU MAALUM WASIOA/KUTOELEWA
(Mithali 25;14) kwa nini towasi paul akuoa.
overconfidence c ni kujiamin kupita kias, au mimi cjakuelewa? kama ni hivyo huyo mwanamke ni mzuri sana, kumbuka mwanamke ni msaidizi, kuwa na msaidizi mwenye hali hiyo ndo mzuri, kwa ss watu wa shamba namkabidhi ng'ombe anashika plau, maana huyo hataogopa hata kama ng'ombe ni wakorofi, cjui umenipata hapo shy land
Mkuu Shy land hakuna agizo la Mungu lisilo na ahadi....kwa hiyo hapo amesema usipowaacha utafanyaje?[/qoute]
nimekuliza swali na wewe unaniliza swali, lini tutafika wisho,
wapi nilipoandika usipoa au kuolewa utakuwa na adhabu ya milele? kutokuoa au kutokuolewa ni kupinga maagizo ya mungu na kufuata maagizo ya mtume paul ambaye alikuwa hana nguvu za kiume.Adhabu ya milele itakuhusu???
.hapa unaanza kupata ufahamu kumbe ubishi tu unaokusumbuaNi kweli kuoa/kuolewa ni muhimu kwa maisha haya ya kibinadamu
lakini si kweli kwamba mtu anapata thawabu au kibali mbele za Mungu kwa kuolewa.....kuoa/kuolewa and vice-versa has nothing to do with someone's spiritual life. Ukikataa uovu unapata kibali mbele za Mungu bila kujali marital .Af unaweka vifungu vya uongo kwa faida ya nani? Kwenye hiyo mithali hakuna kitu kinachofanana na hiki tunachozungumza....kwenye biblia yangu sijaona 1wakorinto 17.
Hivi mtu anaposema overconfidence unamuelewa, au na wewe umepost tu, bila kuelewa kinachogolewa.
unaelewa kiswahili, au haujui kusoma nimesema wana nafasi dogo,
Umesome wapi wewe, hata maana ya neno jamii huijui.
jamii kila aina ya raia wapo, wakiwemo vichaa kama wewe.
Tuachane na habari za mungu maana huwanga nakufatilia hoja zako, nikagundua una kitu fulani ambacho unahitaji kufunguliwa.
yaani wewe sijui huwanga unafikirije kuhusu uwepo wa watu hapa dunian na viumbe hai, sijui.
au history, biology n.k ilikuharibu kisaikolojia. mimi sijui.
lakn tukirudi kwenye mada kuolewa au kuoa ni lazma katika tamaduni nyingi hapa duniani.
kama wewe unataka kupga desturi hizi, kama unavyopiga uwepo wa mungu ni sawa.
Mkuu Shy land hakuna agizo la Mungu lisilo na ahadi....kwa hiyo hapo amesema usipowaacha utafanyaje?[/qoute]
nimekuliza swali na wewe unaniliza swali, lini tutafika wisho,
wapi nilipoandika usipoa au kuolewa utakuwa na adhabu ya milele? kutokuoa au kutokuolewa ni kupinga maagizo ya mungu na kufuata maagizo ya mtume paul ambaye alikuwa hana nguvu za kiume.
. hapa unaanza kupata ufahamu kumbe ubishi tu unaokusumbua
Sasa mtu aliyelaaniwa na aliyekataa maagizo ya Mungu hatma yake ni nini??? Jehanamu ya milele bila shaka ndo mshahara wake.
Ufahamu gani nliopata hapo ulioniongezea wewe hapo??