Overconfidence kwa msichana itakufanya usiolewe

Sawa kabisa...a confident man for a cinfident woman....a coward man for a coward woman

Tena watu hawajui tu... Confident women are the easiest to get... One reason, people are AFRAID of them. Play your cards right, uwe na akili [nasisitiza uwe na akili] utafurahi nao sana. They are my favourite, I hate women who when you say just they only ask "how high?"
 
kwa mwandiko wako nadhani fagio bado jipya, sie mafagio ya kale kamwe hatutunzwi ndani sie nje tu ndio petu... mwenye masikio na asikie...unataka radhi? kweli kabisa utaweza radhi yangu kwa umri wako?

Hata sijaelewa kitu hapa
 
Soma signature yangu. Ndio maana nakwambia umri wako wa kufikiri mambo mdogo unanitishia nikuombe radhi, siku utakayo Anza kuelewa mwandiko wangu utafurahia niandikacho'
Hata sijaelewa kitu hapa
 
Wewe kilema wa kufikiri., akili zako zimekufa tena zimeoza unafikiri kingereza chepesi kama hicho kimshide darasa la saba. vyooo!

sometimes n busara kukaa kimya kuliko kuzozana kwa kitu kidogo kama hiki!!! mpunguze ujuaji, hakuna mwenye hati miliki ya jf, , both of you knows not and knows not that you knows not
 
Mkuu 1st AID heshima kwako, Nashukuru kwa uchambuzi wako makini. Kwa wanaobagua maandiko wakisema haya kasema Mungu na haya kasema Paulo n.k Biblia inasema Maandiko yote yana Pumzi ya Mungu.
2 Timothy 3:16 All Scripture is God-breathed and is useful for teaching, rebuking, correcting and training in righteousness''

Last edited by a moderator:

Amen....
 
hapo mkuu umeeleweka
 
Tized je? biblia inasemaje kuhusu ni mtu wa aina gani anayetakiwa kuoa/kuolewa, ni kwa nini mtume paul hakuoa., je? watu wote tukifaata mafundisho ya mtume paul wewe ungezaliwa?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom