Overconfidence kwa msichana itakufanya usiolewe

Nimejaribu kusoma hoja zako, kwa Msingi (premise) unazojenga na unachokifahamu na unachojaribu kukilenga hapa sioni nikiweza kukidhi haja yako mentally mkuu Shy land. Kama alivyosema 1st AID kuna tofauti ya kujua na kuelewa maandiko. Kwa heshima kubwa niliyonayo kwako na wanajf wote na unyenyekevu mkubwa uniruhusu tu niishie hapa.

Many thanks.

Tized je? biblia inasemaje kuhusu ni mtu wa aina gani anayetakiwa kuoa/kuolewa, ni kwa nini mtume paul hakuoa., je? watu wote tukifaata mafundisho ya mtume paul wewe ungezaliwa?
 
Yaani wewe...huna hata hoja. Paulo alitoa option mbili mtu achague anachoweza (anachopenda) . Ndio maana alikuwa anafundisha na mafundisho ya ndoa pia.....hakukataza kuoa hata kidogo.
 
Last edited by a moderator:

Mtu ameuliza swali Unasema hana hoja, hoja ipi ambayo unaitaka wakati hutaki kujibu swali nililokuuliza?? any way tufanye nimekuelewa naomba kaka bila kuolewa.
 
Wanaposemaga ufahamu wako mdogo huwa nashindwa kuwaelewa kumbe ndo hivi. Habari ya kuolewa/kukaa bila kuolewa huo ni uamuzi wangu wala si kwa sababu Shy land kasema. Af unajuaje pengine nimeolewa je?
 
Last edited by a moderator:
Nimejaribu kusoma hoja zako, kwa Msingi (premise) unazojenga na unachokifahamu na unachojaribu kukilenga hapa sioni nikiweza kukidhi haja yako mentally mkuu Shy land. Kama alivyosema 1st AID kuna tofauti ya kujua na kuelewa maandiko. Kwa heshima kubwa niliyonayo kwako na wanajf wote na unyenyekevu mkubwa uniruhusu tu niishie hapa.

Many thanks.

Mkuu asante kwa ufafanuzi, Shy land ni kama anashindwa ku dribble thread yake anaingia na kutoka, ameniduwaza aliposema Paulo alikuwa hani.thi!!!?? ndio maana hakuoa!

Sijui atasemeja kwa Yesu hata naogopa kukisoma atakachokuja nacho. Amekuwa haelewi asimamie wapi aongee kipi na amjibu nani nini!. Hoja ilikuwa overconfidence kwa wadada inavyo athiri fikira za waoaji na hasara inayoweza tokea kwao? lakini ghafla kitambaa cha ngarawa kikajaa upepo wa kidini nae akasombwa kwenye kina kirefu, sijui atatokaje!.
 
Wanaposemaga ufahamu wako mdogo huwa nashindwa kuwaelewa kumbe ndo hivi. Habari ya kuolewa/kukaa bila kuolewa huo ni uamuzi wangu wala si kwa sababu Shy land kasema. Af unajuaje pengine nimeolewa je?

mjinga huamini kila neno, bali mwenye busara huchukuza sana.

unaelewa vizuri maana ya neno ufahamu, usiandike kitu ambacho hukijui, mimi ninaweza kuwa na ufahamu wa namna ya kumfundisha ng'ombe lakn wewe yaweza ukawa hauna ufahamu huo.

kajipange wewe mdada naona umeishiwa, bona bwana Tized tuliangana vizuri tu.

hata hivyo nimekubali mahubiri yako kwamba watu wafaate maagizo ya paul na siyo ya mungu.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu asante kwa ufafanuzi, Shy land ni kama anashindwa ku dribble thread yake anaingia na kutoka, ameniduwaza aliposema Paulo alikuwa hani.thi!!!?? ndio maana hakuoa!

Sijui atasemeja kwa Yesu hata naogopa kukisoma atakachokuja nacho. Amekuwa haelewi asimamie wapi aongee kipi na amjibu nani nini!. Hoja ilikuwa overconfidence kwa wadada inavyo athiri fikira za waoaji na hasara inayoweza tokea kwao? lakini ghafla kitambaa cha ngarawa kikajaa upepo wa kidini nae akasombwa kwenye kina kirefu, sijui atatokaje!.

Mkuu, Khantwe ndio aliyosabisha yote haya sikutegemea kama tutatoka kwenye maana na lengo la thread. nakuanza kuchambua biblia
 
Last edited by a moderator:
Nashangaa wanaomponda Shy land na la saba lake wakati humu watu wamepotea njia hadi kubadili mada tofauti kabisa.
Yani umeona heading ipo hivyo ukaingia, ndani unakuta maudhui tofauti nawe unaunga msafara.
 
Mkuu, Khantwe ndio aliyosabisha yote haya sikutegemea kama tutatoka kwenye maana na lengo la thread. nakuanza kuchambua biblia

Aliyeanzisha masuala ya Mungu ni wewe maana wewe ndo ulileta kauli kwamba 'kutokuoa/kutoolewa ni laana mbele za Mungu' Mimi ni mkristo popote pale nitasimama kutetea neno ninapoona kwamba linapotoshwa.....sitanyamaza nikimuona mtu anageuza maandiko kwa maslahi yake.
 
Last edited by a moderator:
ok ikiwa Khantwe ndio ameuza ramani ya thread basi unaowajibu wa kumrudisha kila mchangiaje kwenye msitari, kuna mtu pamoja na kwamba huwa tunaikidi tofauti lakini anaweza sana kubaki kwenye [MENTION]Lara1[/MENTION] hata kama ni shaba ataipaka mafuta na kuisugua mpaka udhani ni dhahabu, mwangalie Tized, mwangalie wakishua, Nyani Ngabu, n.k wanabaki sana kwenye msitari.

Ichukue kama changamoto...
Mkuu, Khantwe ndio aliyosabisha yote haya sikutegemea kama tutatoka kwenye maana na lengo la thread. nakuanza kuchambua biblia
 
Last edited by a moderator:
mjinga huamini kila neno, bali mwenye busara huchukuza sana.

unaelewa vizuri maana ya neno ufahamu, usiandike kitu ambacho hukijui, mimi ninaweza kuwa na ufahamu wa namna ya kumfundisha ng'ombe lakn wewe yaweza ukawa hauna ufahamu huo.

kajipange wewe mdada naona umeishiwa, bona bwana Tized tuliangana vizuri tu.

hata hivyo nimekubali mahubiri yako kwamba watu wafaate maagizo ya paul na siyo ya mungu.

Hahahaaaaa....daaah u have a long way to go kama ndo hivi. Hivi katika biblia ni neno lipi unaloliamini kuwa limetoka kwa Mungu?? Maana kwa ufahamu wangu mimi najua biblia imeandikwa na watu kama mimi na wewe ila waliandika kwa kuongozwa na Mungu. Umeambiwa kila neno lililoko kwenye bible lina pumzi ya Mungu tena limehakikishwa..! Unanichekesha sana unaposema eti yale yalikuwa ni mafundisho ya Paulo na sio ya Mungu....unamaanisha Paulo alikuwa anafundisha watu uasi?? Na bado Mungu aliendelea kumtumia pamoja na kufundisha maagizo yaliyo kinyume na Yeye??? Sijajua imani yako kwenye neno la Mungu iko vipi....nisiongee sana ngoja niishie hapa tu nilale. Gud night
 
Last edited by a moderator:
ok ikiwa khantwe ndio ameuza ramani ya thread basi unaowajibu wa kumrudisha kila mchangiaje kwenye msitari, kuna mtu pamoja na kwamba huwa tunaikidi tofauti lakini anaweza sana kubaki kwenye anacho simamia [MENTION]Lara1[/MENTION] hata kama ni shaba ataipaka mafuta na kuisugua mpaka udhani ni dhahabu, mwangalie Tized, mwangalie wakishua wanabaki sana kwenye msitari.

Ichukue kama changamoto...

Mkuu sijauza mimi ramani ya thread yeye ndo alianza kuleta habari za laana eti usipoolewa ni laana mbele za Mungu....katika hili sikuweza kunyamaza na siwezi kunyamaza kuona mtu anapotosha neno mbele ya kadamnasi
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaa....daaah u have a long way to go kama ndo hivi. Hivi katika biblia ni neno lipi unaloliamini kuwa limetoka kwa Mungu?? Maana kwa ufahamu wangu mimi najua biblia imeandikwa na watu kama mimi na wewe ila waliandika kwa kuongozwa na Mungu. Umeambiwa kila neno lililoko kwenye bible lina pumzi ya Mungu tena limehakikishwa..! Unanichekesha sana unaposema eti yale yalikuwa ni mafundisho ya Paulo na sio ya Mungu....unamaanisha Paulo alikuwa anafundisha watu uasi?? Na bado Mungu aliendelea kumtumia pamoja na kufundisha maagizo yaliyo kinyume na Yeye??? Sijajua imani yako kwenye neno la Mungu iko vipi....nisiongee sana ngoja niishie hapa tu nilale. Gud night

Mkuu Khantwe naomba ukipata mda uazishe thread, inayohusu kuoa/kuolewa,

maana kama mungu alituambia tukazae, tena kwa ndoa, na akesema kila mtu atawacha wazazi wake na ataambatana na mme/mke na kuwa mwili mmoja,

usiache kunialika. kuna uwezekano wewe kanisa lako ni rc. Asante sana.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Khantwe naomba ukipata mda uaziche thread, inayohusu kuoa/kuolewa, usiache kunialika. kuna uwezekano wewe kanisa lako ni rc. Asante sana.

Anzisha wewe mwenye mashaka mimi sina hata chembe ya shaka kuhusu hili suala la kuoa na kuolewa....sanasana mimi naongezea maarifa maana mimi siku zote ni mwanafunzi wa neno la Mungu. Kuhusu kanisa mimi similiki kanisa na wala similikiwi na kanisa ndugu...mimi ni mfuasi wa Kristo. Kwa ufafanuzi zaidi mimi sio wa dhehebu hilo ulilotaja
 
Hilo ni ndogo sana kwangu, nakuomba aza kujidaa kuazia sasa hivi, kufikia kesho ninaamini utakuwa umenakili mafundisho ya kutosha kutoka kwa mtume paul.

nakuomba ukajikite zaidi kusoma na uje na hoja za kujenga siyo mtu amekuuliza swali na unashidwa kulijibu nakuanza kuponda eti kwamba hauna hoja.
 
Hahahahaa mbona unajihami?? Sijiandai chochote maana sio pepa hii atii....na zaidi sana naweza hata nisishiriki kwenye hiyo thread yako maana hata hapa sijaona cha maana cha kuja kufuata huko kwingine. Ndio najibu hoja kwa hoja...kama sijaona hoja nawekaje hoja yangu sasa....mtu unaandika hadi vifungu hewa unataka kujibiwa kwa hoja u cant be serious
 
Before you look at thefacts surrounding God's existence, ask yourself, If God does exist, would Iwant to know him?

Kiranga if you real want to know God if he is there, God says, "You will seek me and find me; when you seek me with all your heart, I will be found by you. So the chance still open,it's up to you to decide.

To justify talking about god, you have to prove he exists at all.

Which you haven't.

Do not put the horse before the cart
 
Hahahahaa mbona unajihami?? Sijiandai chochote maana sio pepa hii atii....na zaidi sana naweza hata nisishiriki kwenye hiyo thread yako maana hata hapa sijaona cha maana cha kuja kufuata huko kwingine. Ndio najibu hoja kwa hoja...kama sijaona hoja nawekaje hoja yangu sasa....mtu unaandika hadi vifungu hewa unataka kujibiwa kwa hoja u cant be serious

We Mbona unapambana sn na shemeji yako? Au kua mama mchungaji imekua kosa?
 
Hahahaa mchungaji huyu ndugu yako ananichekesha sana mimi aisee.....eti anakataa mafundisho ya paulo kwa kudai eti hayatoki kwa Mungu na hapo hapo analeta vifungu kutoka Timotheo....ana akili sawasawa huyu??
 
Back
Top Bottom