Osama bin Laden killed!

Osama bin Laden killed!

Status
Not open for further replies.
hakuna haja ya kupewa mwili wake-kama wao ndo walikuwa wanafanya nae michakato na walikuwa wanajua alipo na wameshaona USA wameshafika hapo na wenzao wameshauliwa na Osama hayupo unategemea waseme nini tena?
................. Al Qaeda walipewa mualiko wa Mazishi ? wanahaja gani ya wao kushabikia OSAMA kuwa kauawa ! .......... ni nani second in Command aliyetoa hilo Tamko ? mnalishwa tu stori kama mlivyo zoea, akili za kuambia changanya na zako !
 
So far mpaka sasa hivi hakuna aliyeleta ushahidi wa Osama alikufa 2001, 2004 and blah blah au yuko hai tunaishia kupost video za watu wanatoa mawazo yao tu. We need something to counter US gov, i.e. video za Osama akishikilia gazeti la jana.

Na mpaka sasa hakuna aliyetoa ushahidi kuwa Osama aliuliwa tarehe 1 mwezi Mei mwaka huu (2011).

We need some conclusive proof to bring the issue to finality. Don't you think?

Or you accept what the U.S. government is saying at face value?
 
ANGALIA shaka jinsi ilivyo jaa kwenye post yako. lolz. Wapi panasema kuwa Jina Issa Tafsir yake ni YESU? Lete ushaidi tuone. Issa wa Marehemu Muham-mad si YESU wa Biblia ambaye ni MUNGU. kolaani yenu iliyo jaa SHAKA, inasema kuwa JINA la Bin Adam haliwezi pewa tafsir, WEYE umetowa wapi tafsiri ya JINA LA YESU kuwa ISSA? ASTAKAFULAH. Kama si SHAKA ZA KORAN? Kama unabisha, basi niletee TAFSIR la JINA LA MAREHEMU MUHAM-MAD kwa KISWAHILI?

Usikimbie weye.

Yes! Siko peke yangu ninayemshangaa kumbe! Najua mmemvumilia sana na upupu wake.
 
mwislam gani anaona sheikh Osama mwizi..uislam ni dini iliyojengeka juu ya iman yamungu 1 tu aso na mshirika na wla hana mfanowe..labda unachanganya na dini zinazoamini juu ya wanyama na binadam wenzao kua ni mungu

Allah anasema HAKUNA MUNGU. Wewe umetowa wapi kuwa allah anasema kuna Mungu. Impeccable exibit: "I bear witness that there is no God but Allah and that Muhammad is His servant and messenger." Hiyo ayat ipo vivid clear that Allah anatoa ushaidi kwa kuapa kuwa HAKUNA MUNGU. Zaidi ya hapo, hakuna hata ayat moja kwenye KOLANI ya Marehemu Muham-mad inayo sema na au kudai kuwa Allah wenu akisema " Mimi allah ni Mungu na/au niamini mimi allah kwa kuwa mimi allah ni Mungu".

Leta ushaidi wa ayat tuone Allah wako akisema MIMI ALLAH NI MUNGU.
 
............. am not, for sure! ................. have you asked yourself that, between these two books, which book was brought by JESUS ? is that the BIBLE or INJIL (Gospel) ? how did the world acquire these Books ? think before you answer these Qns ........... ndo hivyo !:happy:

Wewe hujuwi chochote.

Hivi unajuwa maana ya neno INJILI? Hivi Injili ipo ndani ya BIBLIA au Biblia ndani ya INJILI? Wewe umeshindwa hata kujuwa INJILI ni nini kiasi cha kuitoa ndani ya BIBLIA. YAACK. Maislam bana, ni kaazi kweli kweli, wao ni kufuata MKUMBO TUU.

Nilikwambia acha kukimbia weye.
 
.................. Waislaam hatujawahi "KUABUDU MTU" wala MUNGU WETU hakuwahi kuja DUNIANI na kuhubiri masokoni ! MUNGU wetu hakuwahi kukamatwa na ASKARI wala KUDAI KODI !! futa usemi wako !

ANGALIA shaka jinsi ilivyo jaa kwenye post yako. lolz. Wapi panasema kuwa Jina Issa Tafsir yake ni YESU? Lete ushaidi tuone. Issa wa Marehemu Muham-mad si YESU wa Biblia ambaye ni MUNGU. kolaani yenu iliyo jaa SHAKA, inasema kuwa JINA la Bin Adam haliwezi pewa tafsir, WEYE umetowa wapi tafsiri ya JINA LA YESU kuwa ISSA? ASTAKAFULAH. Kama si SHAKA ZA KORAN? Kama unabisha, basi niletee TAFSIR la JINA LA MAREHEMU MUHAM-MAD kwa KISWAHILI?

Usikimbie weye.
 
.................. Waislaam hatujawahi "KUABUDU MTU" wala MUNGU WETU hakuwahi kuja DUNIANI na kuhubiri masokoni ! MUNGU wetu hakuwahi kukamatwa na ASKARI wala KUDAI KODI !! futa usemi wako !

Wapi ALLAH wenu anasema yeye ni Mungu. LETE AYA KUTOKA KOLANI ILIYO JAA SHAKA. Hivi unajuwa kwanini Allah wenu aliwaita nyime maislam wafuata mkumbo ma-KAFIR?
 
................. Al Qaeda walipewa mualiko wa Mazishi ? wanahaja gani ya wao kushabikia OSAMA kuwa kauawa ! .......... ni nani second in Command aliyetoa hilo Tamko ? mnalishwa tu stori kama mlivyo zoea, akili za kuambia changanya na zako !

Ha ha ha ha, povu la nini weye. Kama yule garbage OBL hajafa, mbona wajaa jazba na mipovu yakutoka? PILIPILI IPO SHAMBA, WEYE WAWASHWA NINI MJINIII, KHAAAA,
 
Ile clip ya "Osama" anajiangalia mwenyewe kwenye runinga, kuna mtu aliyebaini kuwa lighting inabadilika kwa ghafla, inapokuja tv screen inayoonesha picha ya Osama inakuwa dark,wakati chumba kinaonekana kabla kina muangaza wa kutosha.

Huyu Osama alijuaje kuwa wakati huo iko program ya yeye kuonekana kwenye runinga,tv wakati huo?

Halafu atafute mpambe wake amchukue video akijiangalia.
Mtu aliyepanga 911 hawezi kuwa na akili kama ambayo US wanajaribu kuichora hapa.

Hii ni katika US kutaka kuushawishi ulimwengu kuwa Osama ndio alipanga ile 911 baada ya kuwa challenged kivipi Osama anaweza kupanga mpango wa 911 bila ya kuishirikiana na CIA, Neo cons?

Why we accept easily US manipulation?

Uniambie kuna siku tutamuona mkulu akijiangalia katika tv akitoa maagizo ya uchakachuaji wa "kula"?
Come on guys!
 
moslehi.jpg


Waziri wa Usalama wa Taifa wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kuna taarifa za kuaminika zinazoonyesha kuwa kiongozi wa mtandao wa al Qaida, Osama bin Laden, alikufa zamani kwa maradhi hata kabla ya Marekani kudai kuwa imemkamata na kumuua kwa kumpiga risasi.

Hujjatul Islam Walmuslimin Haidar Moslehi amewaambia waandishi wa habari hapa mjini Tehran kuwa, kuna taarifa za kuaminika zinazonyesha kuwa Bin Laden alikufa zamani kwa ugonjwa.

Aidha amehoji madai ya Marekani kwamba wanajeshi wake ndio waliomuua Bin Laden baada ya kuvamia nyumba aliyokuwa amejificha huko Pakistan, Mei Mosi mwaka huu na kusema, kama kweli jeshi la Marekani ndilo lililomuua Bin Laden na kisha mwili wake kuutupa baharini, kitu gani kinawazuia kuwaonyesha walimwengu picha za mwili wa Bin Laden?

Amesema, wakati Iran ilipomtia mbaroni Abdul Malik Rigi, kiongozi wa genge la kigaidi la Jundullah lililokuwa likifanya vitendo vya kigaidi dhidi ya taifa la Iran, Tehran ilimuonyesha kwa walimwengu na hata mahojiano aliyofanyiwa pia yalirushwa hewani ili watu wote wayaone na kuyasikia, sasa kitu gani kinawazuia Wamarekani kuonyesha picha za mwili wa Bin Laden kuthibitisha madai yao?


Kwa hisani ya Redio Tehran, Iran
 
obama_situation_room.jpg


With all the strange inconsistencies the media has relayed reported since news of bin Laden’s death first broke, this latest flap is par for the course. This photo of the president and his team in the White House Situation Room was widely circulated along with several accounts of them watching the compound raid in real time, a claim the CIA is now refuting.
CIA Director Leon Panetta said the commander in chief never witnessed the actual killing of Osama bin Laden and that’s partly because the high tech cams worn by Seal Team 6 blacked out during parts of the 40 minute operation:
Once those teams went into the compound I can tell you that there was a time period of almost 20 or 25 minutes where we really didn’t know just exactly what was going on. And there were some very tense moments as we were waiting for information.
We had some observation of the approach there, but we did not have direct flow of information as to the actual conduct of the operation itself as they were going through the compound.


SOURCE: CIA Says Obama Didn't Watch Osama Snuff Live - ANIMAL
 
Aaggh,hapa shida ni kwamba,kwanini osama alipokufa kipindi hichoooo na ugonjwa wake taarifa rasmi/official hazikutoka??au kwasababu marekani hawataki kuweka picha ndo iwe kigezo chenu??hapa marekani mi naona wamelamba dume tu..hata kama Osama kafa miaka 10 iliyopita,wao ndio wametangaza officially.
 
kuwa mwelewa wewe na jaribu kufikiri mambo kwa kutumia akili yako na sio ushabiki. Tatizo sio kutangaza officially, suala ni kwamba, Marekani imeamua kutangaza kifo cha usama katika kipindi hiki ijkiwa na sababu nyingi tu, moja ni kwamba, Obama alianza kupoteza itibari yake, hivyo kwa sasa kutamnyua kisiasa na hata kumfanya aondoke katika hali ya kukalia kuti kavu.Hivi sasa karibu muongo mmoja umepita, lakini bado kuna maswali mengi ambayo bado hayajapatiwa majibu kuhusu jinsi tukio hilo lilivyopangwa na kutekelezwa, na uwezekano wa kushiriki duru za ndani za utawala wa Marekani katika tukio hilo. Hata hivyo, hakuna shaka kuwa, milipuko ya Septemba 11 na kukiri Bin Laden kuwa alishiriki katika mashambulizi hayo, kuliipa Marekani kisingizio tosha cha kuishambulia Afghanistan na kuikalia kwa mabavu, na kisha kuanzisha vita nchini Iraq. Kama Bin Laden analaumiwa kwa kusababisha vifo vya karibu watu elfu 3 katika tukio la Septemba 11, Wamarekani katika kulipiza kisasi cha tukio hilo, wamewaua moja kwa moja au katika matukio yasiyo ya moja kwa moja zaidi ya watu milioni 1 nchini Afghanistan, Iraq na hivi karibuni nchini Pakistan. Nchini Pakistan pekee, kwa kila muhanga mmoja wa tukio la Septemba 11, Wapakistan 17 wameuawa katika mashambulizi ya ndege zisizo na rubani za Marekani dhidi ya nchi hiyo. Kwa vyovyote vile, kuchelewa kuuawa Usama bin Laden ni jambo jingine lenye utata kuhusiana na kadhia hiyo. Licha ya Wamarekani kudai kuwa wana zana za kisasa kabisa za ujasusi na upelelezi, lakini imewachukua karibu miaka 10 kuweza kumuua mtu ambaye kama anavyoitwa ni 'adui hatari zaidi wa Marekani'. Ushahidi wa kuaminika unaonyesha kwamba, katika muda wote huo, makomandoo wa Marekani mara kadhaa walikaribia kumtia mbaroni kiongozi huyo wa mtandao wa al Qaida, ama katika dakika za mwisho White House na Pentagon zilitoa amri ya kusimamishwa operesheni hizo. Ni wazi kuwa Usama Bin Laden aliingia katika uwanja wa kisiasa kwa maslahi ya Marekani na hata katika kukabiliana kwake na Wamarekani mwishowe alipelekea kudhaminiwa maslahi haramu ya nchi hiyo duniani. Hivi sasa pia inaonekana kuwa hata habari za kuuawa kiongozi huyo wa al Qaida ni kwa faida ya Marekani au kwa uchache zitamsaidia Obama katika kampeni zake za uchaguzi ujao nchini humo.
 
Marekanin inavypenda sifa, haikubaliki kiakili hata kidogo wamuue Osama eti kisha maiti yake waitose baharini. Mjinga tu ndiye anayeyakubali maneno haya. Mtu ambaye wanadai wamemsaka kwa udi na uvumba tangu mwaka 2001, kisha wasitake kuzimbaza picha za video za mauaji yake. nadhani wenye akili timamu hawawezi kukubali hili. Waonyeshe picha za video basi, wanahofia nini? kama sio kuna agenda ya siri??????????
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom