tanga kwetu
JF-Expert Member
- May 12, 2010
- 2,193
- 1,440
nilichoelewa mimi ni kwamba hawakuona tukio zima kama lilivyokuwa ila kuna baadhi ya matukio hawakuyaona LIVE!!
kuwa mwelewa wewe na jaribu kufikiri mambo kwa kutumia akili yako na sio ushabiki. Tatizo sio kutangaza officially, suala ni kwamba, marekani imeamua kutangaza kifo cha usama katika kipindi hiki ijkiwa na sababu nyingi tu, moja ni kwamba, obama alianza kupoteza itibari yake, hivyo kwa sasa kutamnyua kisiasa na hata kumfanya aondoke katika hali ya kukalia kuti kavu.hivi sasa karibu muongo mmoja umepita, lakini bado kuna maswali mengi ambayo bado hayajapatiwa majibu kuhusu jinsi tukio hilo lilivyopangwa na kutekelezwa, na uwezekano wa kushiriki duru za ndani za utawala wa marekani katika tukio hilo. Hata hivyo, hakuna shaka kuwa, milipuko ya septemba 11 na kukiri bin laden kuwa alishiriki katika mashambulizi hayo, kuliipa marekani kisingizio tosha cha kuishambulia afghanistan na kuikalia kwa mabavu, na kisha kuanzisha vita nchini iraq. Kama bin laden analaumiwa kwa kusababisha vifo vya karibu watu elfu 3 katika tukio la septemba 11, wamarekani katika kulipiza kisasi cha tukio hilo, wamewaua moja kwa moja au katika matukio yasiyo ya moja kwa moja zaidi ya watu milioni 1 nchini afghanistan, iraq na hivi karibuni nchini pakistan. Nchini pakistan pekee, kwa kila muhanga mmoja wa tukio la septemba 11, wapakistan 17 wameuawa katika mashambulizi ya ndege zisizo na rubani za marekani dhidi ya nchi hiyo. Kwa vyovyote vile, kuchelewa kuuawa usama bin laden ni jambo jingine lenye utata kuhusiana na kadhia hiyo. Licha ya wamarekani kudai kuwa wana zana za kisasa kabisa za ujasusi na upelelezi, lakini imewachukua karibu miaka 10 kuweza kumuua mtu ambaye kama anavyoitwa ni 'adui hatari zaidi wa marekani'. ushahidi wa kuaminika unaonyesha kwamba, katika muda wote huo, makomandoo wa marekani mara kadhaa walikaribia kumtia mbaroni kiongozi huyo wa mtandao wa al qaida, ama katika dakika za mwisho white house na pentagon zilitoa amri ya kusimamishwa operesheni hizo. Ni wazi kuwa usama bin laden aliingia katika uwanja wa kisiasa kwa maslahi ya marekani na hata katika kukabiliana kwake na wamarekani mwishowe alipelekea kudhaminiwa maslahi haramu ya nchi hiyo duniani. Hivi sasa pia inaonekana kuwa hata habari za kuuawa kiongozi huyo wa al qaida ni kwa faida ya marekani au kwa uchache zitamsaidia obama katika kampeni zake za uchaguzi ujao nchini humo.
wishful thinking!.
.
![]()
Umeona eehh!!??Kweli ndugu yangu yaani chumba kilikuwa na mwanga mwanzoni then ikaja picha ya osama kwenye runinga ikawa so dark kama usiku at the same minutes mwanga unarudi tena chai hizi sasa, mie Im tired
Du! Dua la kuku....Mwishowe watasema na picha pia za maiti ya Osama hakupelekewa!.
Nimesema kabla vita ya Osama akiwa maiti ni kali kuliko ile ya uhai wake na ndio itakayomwangusha Obama na USA yenyewe.
![]()
Mwishowe watasema na picha pia za maiti ya Osama hakupelekewa!.
Nimesema kabla vita ya Osama akiwa maiti ni kali kuliko ile ya uhai wake na ndio itakayomwangusha Obama na USA yenyewe.
![]()
Abbottabad, Pakistan (CNN) -- Children in the Abbottabad neighborhood where Osama bin Laden lived said they noticed oddities at bin Laden's massive compound but were oblivious that the world's most wanted terror leader was hiding in the quiet city.
Twelve-year-old Zarar Amjed Turk is one of the children who played with the eight or nine kids from bin Laden's house -- some of whom may have been the al Qaeda leader's grandchildren.
"I don't know why they had security cameras installed outside the house," Zarar said. "We used to knock the door for 10 or 20 minutes then someone used to come to talk. That was strange for us."
He said he didn't know the names of the kids he played with.
"We used to play cricket next to their house. Whenever our cricket ball went into the compound, we knocked on the door and asked for the ball. But the guy always said our ball was lost, and gave us 50 rupees (59 cents) and asked us to buy a new one."
Zarar had never heard the name Osama bin Laden before the terror leader's death last week.
![]()
With all the strange inconsistencies the media has relayed reported since news of bin Ladens death first broke, this latest flap is par for the course. This photo of the president and his team in the White House Situation Room was widely circulated along with several accounts of them watching the compound raid in real time, a claim the CIA is now refuting.
CIA Director Leon Panetta said the commander in chief never witnessed the actual killing of Osama bin Laden and thats partly because the high tech cams worn by Seal Team 6 blacked out during parts of the 40 minute operation:
Once those teams went into the compound I can tell you that there was a time period of almost 20 or 25 minutes where we really didnt know just exactly what was going on. And there were some very tense moments as we were waiting for information.
We had some observation of the approach there, but we did not have direct flow of information as to the actual conduct of the operation itself as they were going through the compound.
SOURCE: CIA Says Obama Didnt Watch Osama Snuff Live ANIMAL
Kile kinachodaiwa kuwa ni mauaji ya mtuhumiwa wa kwanza kwenye orodha ndefu ya wale maadui wa USA ni kielelezo tosha kwamba utawala wa Rais Obama unataka kujikita zaidi kwenye maamuzi ya kuongoza nchi hio na labda kumtafutia ushindi kwenye uchaguzi ujao.
Lakini pia kwa wale wafatiliaji ni kwamba hii ni namna ya kuepuka hasira na mawazo ya jamii nzima ya marakani juu ya hali ya uchumi wa nchi hio ambayo bado haijatengemaa.
Kitendo cha Marekani kuweza kutuma makomandoo wake wakaingia nchini Pakistan bila kugundulika kimedhihirisha kwamba nchi zinazotegemea misaada kutoka Marekani hazina cha kusema juu ya uendeshaji wa nchi zao na hazina uhuru wowote na ndo kukafanyika mauaji ya kisiasa ndani ya ardhi ya Pakistan.
Kama Osama ameuawa au hajauawa hakuna ataefahamu hadi hapo picha za sura yake akiwa maiti zitakapooneshwa.
Lakini wamarekani wote wamefurahia taarifa za mauaji ya Osama na wakakesha mitaani usiku kucha wakishangilia sasa je sisi tusio wamarekani tunataka iweje?
Wewe hujuwi chochote.
Hivi unajuwa maana ya neno INJILI? Hivi Injili ipo ndani ya BIBLIA au Biblia ndani ya INJILI? Wewe umeshindwa hata kujuwa INJILI ni nini kiasi cha kuitoa ndani ya BIBLIA. YAACK. Maislam bana, ni kaazi kweli kweli, wao ni kufuata MKUMBO TUU.
Nilikwambia acha kukimbia weye.