Osama bin Laden killed!

Osama bin Laden killed!

Status
Not open for further replies.
Kang nimezoea kukusoma kule kwenye jukwaa ka sayansi na teknolojia.
Hebu niambie kwa utaalamu wako yawezekana kweli nyumba yenye ungo (dish) ikaelezwa kwamba haina mawasiliano ya internet na ikashindikana kuwa na simu?.
Na jee kwa kutumia dish Osama angeweza kuongoza mtandao wa Alqaida na kuweka mafaili yake kwenye kabati pale Abbottabad?.

Kama kweli Osama alikuwa bado hai, na hii operation yao ilimfikia na kumuua basi bado maelezo wanayotoa yanakinzana.
Lakini tuchukulie alikuwa Osama waliyempata na kumuua. Ni wazi alijua anatafutwa na lazima alijua kuwa US wanashuku kuwa yuko Pakistan..vipi ataweka kumbukumbu "za operations zake" ambazo anajua zitawa-expose wapambe wake siku akikamatwa?
Kama alikuwa ni msiri, hakutumia simu wala internet, messeges zilitumwa hand to hand...hili haliingii akilini.

Lakini katika maelezo waliyotoa walisema alipigwa risasi ya kichwani,utosini na kifua ni...lakini katika account nyengine walisema alipotokewa na SEALS alikimbilia ndani na wao walihofia kuwa anaenda kuchukua silaha au bomu na wao ndio walimtwanga risasi..sasa mtu anaekimbia anakupa mgongo!!! sio kifua au uso...au alikuwa anakimbia reverse style!!??
 
WAMAREKANI WASHINDWA KUTHIBITISHA KIFO CHA OSAMA
Bin Laden videos fail to prove US claims
Sat May 7, 2011 6:4PM

A screen shot of the video released by the Pentagon on Saturday, May 07, 2011

Videos released by the Pentagon to allay uncertainty about circumstances of Osama bin Laden's death, fails to support US claim that the al-Qaeda leader was killed in Pakistan last week.

US President Barack Obama claimed that bin Laden was killed by US forces on May 1 in a hiding compound in Pakistan, resisting while unarmed.

Washington claims that during US raid last Monday, five videos were seized at the secret compound in Pakistan where bin Laden was hiding.

On Saturday the Pentagon released some of the videos in an attempt to quell doubts about bin Landen's death.

In the first home videos reportedly filmed in October or November 2010, bin Laden who is wearing a white skullcap and white robes, speaks to the camera in the style of his previous video messages.

There is no audio on the film, but Pentagon officials claim it was a message to the US
.

In another video, bin Laden is seen watching a program about himself on Arabic language television.

There are no indications in the videos to prove that they were filmed in the secret compound where bin Laden was killed. The footages also fail to prove that the notorious al-Qaeda leader was alive until May 1.

Following Obama's announcement, a US official said that bin Laden's body was abruptly buried at sea, falsely boasting that his hasty burial was in accordance with the Islamic law, requiring burial within 24 hours of death.

However, burial at sea is not an Islamic practice and Islam does not specify a timeframe for burial.

US officials also claimed that their decision to give bin Laden a sea burial was made because no country would accept his remains, without elaborating on which countries were actually contacted on the matter.

Analysts, however, have raised serious questions as to why US officials did not allow for the application of a DNA test to officially confirm the identity of the corpse before the quick sea burial. Although officials claimed that DNA obtained from the body confirmed that he was actually Osama bin Laden.

SOURCE>>>PressTV - Bin Laden videos fail to prove US claims
 
Jamani mbona wanatupwaga sana sie tusiojua kitu! Tumechoka kudanganywa na hawa USA
 
Hatuna muda wa kufanya chemsha bongo, au utoe tasiri ya hiyo image au Moderator aitoe hapa
 
je hizo video zina ushahidi wowote wa kwamba Osama alikufa May 2011?. Je zina ushahidi wowote kwamba SEAL NAVY ndo waliomuua?.
 
Kama kweli Osama alikuwa bado hai, na hii operation yao ilimfikia na kumuua basi bado maelezo wanayotoa yanakinzana.
Lakini tuchukulie alikuwa Osama waliyempata na kumuua. Ni wazi alijua anatafutwa na lazima alijua kuwa US wanashuku kuwa yuko Pakistan..vipi ataweka kumbukumbu "za operations zake" ambazo anajua zitawa-expose wapambe wake siku akikamatwa?
Kama alikuwa ni msiri, hakutumia simu wala internet, messeges zilitumwa hand to hand...hili haliingii akilini.

Lakini katika maelezo waliyotoa walisema alipigwa risasi ya kichwani,utosini na kifua ni...lakini katika account nyengine walisema alipotokewa na SEALS alikimbilia ndani na wao walihofia kuwa anaenda kuchukua silaha au bomu na wao ndio walimtwanga risasi..sasa mtu anaekimbia anakupa mgongo!!! sio kifua au uso...au alikuwa anakimbia reverse style!!??
Nonda usijali,kuna msemo usemao siku ya kufa nyani kila mti huteleza.
Kifo cha Marekani kimekaribia sana.
Kama kweli wanataka kuleta ushahidi wa kumuua Osama si walete picha!.Watu wanofanana na Osama au na yule anayeangalia video wako kwa maelfu Pakistan na kwengine duniani.

Osama kwishney utake usitake "he will never walk on this earth again"
 
halafu walivyo wasanii, hawatuoneshi paji la uso la Osama, wanatuonyesha upande upande, kwenye mashavu!.

Halafu jiulize, Osama ana Interest gani ya kujipiga video huku akiangalia Tv. hiyo video ingekuwa na impact gani kwenye propaganda za Alqaeda?. laiti angechukuliwa huku akiwa katika mkao wa kutoa hotuba, tungesema hiyo ni cut! katika rehearsal!. otherwise inawezekana huu ni usanii mtupu!

Jamaa inabidi wafanye homework yao tena, ili wautengeneze vizuri uwongo wao, otherwise bado hawajaniconvice.

Inawezekana hawa jamaa wamemuua mtu innocent kabisa, ambaye siyo Osama, kisha wanatupiga propaganda mara oooh, Alqaeda wamethibitisha!... wanajua fika Pakistani haiwezi kukanusha kuuawa kwa Osama hata kama inaujua ukweli, kwa sababu kwa kufanya hivyo kutaidondosha serikali ya Marekani, hivyo wanakubali kiutu uzima!. tena inawezekana ni mshirika katika kucover hiyo kitu, ndiyo maana wanapokea mabilioni ya dola kila mwaka kutoka marekani.!!

Serikali ya pakistani inaitia nchi yao na watu wake katika matatizo makubwa sana, hivi kwa mfano Marekani ikitengeneza Shambulizi la Kigaidi, kisha kuwasingizia Alqaeda wa Pakistani na hivyo kuingia katika vita na Pakistani ni nani hataamini?. Wamarekani wanataka kuidestabilize Pakistani polepole ili baadae wainyang'anye silaha za Nyuklia, kwa sababu Silaha za Nyuklia za Pakistani ni tishio la Ajenda ya Marekani kuikalia Middle-east na kukomba Mafuta yake!, wanahofia Pakistani inaweza kuziuzia Silaha hizo nchi pinzani na Marekani, au yenyewe ikawa upande wa Nchi zinazoipinga Marekani ktk vita, kwa hiyo wanajaribu kuidestabilize kwanza, then ikishadhoofu wainyang'anye Silaha hizo, kwani ukiwa na njaa utakula hizo silaha?, utazisalimisha tu in exchange to economic aid na incentive mbali mbali. hii ni long term plan ya West, ila naona sasa Pakistani imeanza kutambua hili polepole
 
Katika operation iliyomuua Osama makomando wa USA pia wamebeba data za kiinteligensia zikiwemo hard drive, CD, flash drives na mikanda ya video.

Mikanda inayomwonyesha Osama akizunguka kwenye nyumba yake na mikanda ya propaganda inategmemewa kutolewa leo.

Hahahaha

Soon and very soon we are going to see the..........
yes we are going to see the New propagand??, American Conspiracy theory

TV ya MSNBC inaonyesha muda huu Osama akiwa sebuleni kwake anaangalia TV. Ana search channels kwa raha zake. Ni mojawapo ya mikanda ambayo SEALS waliikuta nyumbani kwake.

Ni waongo mbaya Kabisa

Skeletoni ya CIA inawataalam wa lugha 600! Leo hii lugha ya kiarabu inatangazwa tenda! Dick Cheny anajua lugha 35,Paul Wolfowitz 59,George Tenet 58,Bush fr pr 52,Jay Carney 34 nk. Hizo picha kuna walakini nazifuatilia kwakaribu sasa hivi kupitia MSNBC Tv lakini bado sio Osama waleo au juzi bali ni wamiaka kumi nyuma na kama kweli basi aliweka super black ndevu zake!!!!!

Inashangaza sana Wamarekani kudanganya mataifa

Sauti imefutwa makusudi ili isitumike kama propaganda na Al-Qaida sio kwamba CIA haina watafsiri.

Sidhani ....

Afadhali usa walibeba hio mikanda,hard drive n.k la sivyo naamini zingetumika kupinga kuwa osama kafa-na nina imani zingekuwa zinatolewa kwa interval flani ili watu waamini kweli osama yupo-na wangeweza kuzitoa for qiute long time-may be hata zaid ya miaka 5

Ile mikanda ni ngumu sana kupatikana kwa OSM, Americans Know what they are doing!

tayari pentangon wame-Release baadhi ya video zikimuonyesha Osama akiwa nyumbani kwake akitazama TV

[video]http://news.yahoo.com/video/world-15749633/25155627[/video]

Inashangaza sna Huyu sio OSM
Pentagon releases bin Laden video

American Made Tapes

MH.

The shocking image here, Osama had gray hair here and he look grumpy and old. Those videos he dye his hair, this guy was bothered with America and news of himself.

Haya radicals mnamwona kiongozi wenu alivyo akiwa home?

Well Noted Osama Hana mwili mkubwa kama wa Huyo jamaa anaeangalia TV

FULL Magumashi!
 
Last edited by a moderator:
Gamba la nyoka Osama aliyekufa hana manufaa yoyote kwa serikali na jeshi la Pakistan kwa sababu misaada ya kijeshi itapungua kama sio kusitishwa pindi hii War on Terror itakapoisha. Nina uhakika serikali ya Pakistan ilikuwa inajua alipo na labda walikuwa wanampa nyeti maana kila siku walikuwa wanakanusha kuwa yuko Pakistan ili marekani iendelee kuwapa misaada.
 
Hahahaha

yes we are going to see the New propagand??, American Conspiracy theory

Ni waongo mbaya Kabisa

Inashangaza sana Wamarekani kudanganya mataifa

Sidhani ....

Ile mikanda ni ngumu sana kupatikana kwa OSM, Americans Know what they are doing!

Inashangaza sna Huyu sio OSM

MH.

Well Noted Osama Hana mwili mkubwa kama wa Huyo jamaa anaeangalia TV

FULL Magumashi!

Live ur life, osama is gone, won't come back buddy
 
The problem is the man who was last seen alive on November 30, 2001 was reported dead, again, and again, and again. A Taliban leader said it happened in mid-December 2001, near Tora Bora (he claimed to have attended the funeral); Osama had not been able to survive a serious lung problem.

By late 2002, everyone from then Pakistani president Pervez Musharraf to Afghanistan's Hamid Karzai, Israeli intelligence and the FBI's Dale Watson was sure of it. Yet it took Saudi intelligence years to come up with a definitive date: August 23, 2006. Throughout the 2000s, all Osama videotapes were revealed to be crass fakes.

Beyond the fact that Obama's chief counterterrorism adviser John Brennan insists that Pakistan was not in the loop about the target assassination; beyond the fact that Osama was sold out by the Pakistani ISI and the military; beyond the fact that "justice" means capturing and trying someone in a court of law - not a targeted killing; beyond the suspicious fact that Washington did not profit from exhibiting Osama's body, Che Guevara-style (after all, Osama reveled in selling his myth as a sort of Sheikh Guevara); beyond the fact that al-Qaeda had already been strategically defeated by the Great 2011 Arab Revolt, and thus Osama was already irrelevant – a nagging question remains.
That body now slowly disintegrating in the waters of the Arabian Sea – is it the real shaheed who chose, as promised, not to surrender and die in a "firefight" this past Monday? Or is it a replicate?

The day bin Laden vanished forever - Opinion - Al Jazeera English
 
halafu walivyo wasanii, hawatuoneshi paji la uso la Osama, wanatuonyesha upande upande, kwenye mashavu!.

Halafu jiulize, Osama ana Interest gani ya kujipiga video huku akiangalia Tv. hiyo video ingekuwa na impact gani kwenye propaganda za Alqaeda?. laiti angechukuliwa huku akiwa katika mkao wa kutoa hotuba, tungesema hiyo ni cut! katika rehearsal!. otherwise inawezekana huu ni usanii mtupu!

Jamaa inabidi wafanye homework yao tena, ili wautengeneze vizuri uwongo wao, otherwise bado hawajaniconvice.

Inawezekana hawa jamaa wamemuua mtu innocent kabisa, ambaye siyo Osama, kisha wanatupiga propaganda mara oooh, Alqaeda wamethibitisha!... wanajua fika Pakistani haiwezi kukanusha kuuawa kwa Osama hata kama inaujua ukweli, kwa sababu kwa kufanya hivyo kutaidondosha serikali ya Marekani, hivyo wanakubali kiutu uzima!. tena inawezekana ni mshirika katika kucover hiyo kitu, ndiyo maana wanapokea mabilioni ya dola kila mwaka kutoka marekani.!!

Serikali ya pakistani inaitia nchi yao na watu wake katika matatizo makubwa sana, hivi kwa mfano Marekani ikitengeneza Shambulizi la Kigaidi, kisha kuwasingizia Alqaeda wa Pakistani na hivyo kuingia katika vita na Pakistani ni nani hataamini?. Wamarekani wanataka kuidestabilize Pakistani polepole ili baadae wainyang'anye silaha za Nyuklia, kwa sababu Silaha za Nyuklia za Pakistani ni tishio la Ajenda ya Marekani kuikalia Middle-east na kukomba Mafuta yake!, wanahofia Pakistani inaweza kuziuzia Silaha hizo nchi pinzani na Marekani, au yenyewe ikawa upande wa Nchi zinazoipinga Marekani ktk vita, kwa hiyo wanajaribu kuidestabilize kwanza, then ikishadhoofu wainyang'anye Silaha hizo, kwani ukiwa na njaa utakula hizo silaha?, utazisalimisha tu in exchange to economic aid na incentive mbali mbali. hii ni long term plan ya West, ila naona sasa Pakistani imeanza kutambua hili polepole

Valid points. Mpaka sasa hakujawa na independent investigation ambayo pia ingeihoji hiyo 'familia yake'. Watu wanaotetea jinsi hili tukio lilivyofanyika hawajui jinsi dunia hii ilivyo chafu.....wakati huohuo, huko Libya, wanapanga kurelease mabilioni ya nchi yanayoshikiliwa ili kuwapa rebels. F'n amazing!!
 
The problem is the man who was last seen alive on November 30, 2001 was reported dead, again, and again, and again. A Taliban leader said it happened in mid-December 2001, near Tora Bora (he claimed to have attended the funeral); Osama had not been able to survive a serious lung problem.

By late 2002, everyone from then Pakistani president Pervez Musharraf to Afghanistan's Hamid Karzai, Israeli intelligence and the FBI's Dale Watson was sure of it. Yet it took Saudi intelligence years to come up with a definitive date: August 23, 2006. Throughout the 2000s, all Osama videotapes were revealed to be crass fakes.

Beyond the fact that Obama's chief counterterrorism adviser John Brennan insists that Pakistan was not in the loop about the target assassination; beyond the fact that Osama was sold out by the Pakistani ISI and the military; beyond the fact that "justice" means capturing and trying someone in a court of law - not a targeted killing; beyond the suspicious fact that Washington did not profit from exhibiting Osama's body, Che Guevara-style (after all, Osama reveled in selling his myth as a sort of Sheikh Guevara); beyond the fact that al-Qaeda had already been strategically defeated by the Great 2011 Arab Revolt, and thus Osama was already irrelevant – a nagging question remains.
That body now slowly disintegrating in the waters of the Arabian Sea – is it the real shaheed who chose, as promised, not to surrender and die in a "firefight" this past Monday? Or is it a replicate?

The day bin Laden vanished forever - Opinion - Al Jazeera English

I heard 'his' daughter was asked, 'Is this your father'? and when she said yes, that was enough to positively identify OBL, lol!
 
Hahahaha

yes we are going to see the New propagand??, American Conspiracy theory

Ni waongo mbaya Kabisa

Inashangaza sana Wamarekani kudanganya mataifa

Sidhani ....

Ile mikanda ni ngumu sana kupatikana kwa OSM, Americans Know what they are doing!

Inashangaza sna Huyu sio OSM

MH.

Well Noted Osama Hana mwili mkubwa kama wa Huyo jamaa anaeangalia TV

FULL Magumashi!
jaribu kusoma tena na tena-ili nawe uelewe
 
Kang nimezoea kukusoma kule kwenye jukwaa ka sayansi na teknolojia.
Hebu niambie kwa utaalamu wako yawezekana kweli nyumba yenye ungo (dish) ikaelezwa kwamba haina mawasiliano ya internet na ikashindikana kuwa na simu?.
Na jee kwa kutumia dish Osama angeweza kuongoza mtandao wa Alqaida na kuweka mafaili yake kwenye kabati pale Abbottabad?.

Osama alikuwa hatumii Internet wala simu kwa sababu alikuwa anaogopa communications kuwa intercepted sio kwamba alikuwa hawezi kufunga simu.
Dish ya TV na Internet ni kitu tofauti, TV ni one way, Internet inabidi iweze kutuma pia.

Mawasiliano yote yalikuwa yanafanywa kwa messenger anayemwamini anamwambia jamaa anaenda kusambaza, na ndo messenger huyu wamarekani walimtrack mpaka kwenye compund hiyo ya Osama. na kama sikosei alikufa kwenye operation, mmoja wa hawa jamaa:
Osama dead: New photos inside the compound [GRAPHIC]
I2ktH.jpg
 
In an interview being broadcast on Sunday, President Obama told CBS the al-Qaeda leader must have had "some sort of support network" in Pakistan, but he did not know whether it included government officials.

"We don't know whether there might have been some people inside of [Pakistan's] government, people outside of government, and that's something that we have to investigate and, more importantly, the Pakistani government has to investigate," the US president said in the interview, which was conducted on Wednesday.
BBC News - Obama presses Pakistan over Bin Laden's support network

Ilipotokea 911 pia masuali kama haya au madai kama haya yalipotolewa na familia za waathirika au nchi nyengine duniani ambazo hazikuamini US gvt version,,US gvt walitolea nje!

Sasa fikiri kumficha mtu mmoja inahitaji investigation ambayo pia itachunguza kama kuna watu ndani ya Pakistan au hata maafisa wa serikali kama walihusika...je ile massive scale ya ku-train, kuplan 911 haikuwa na support network in US,katika serikali ya US na hata CIA? Nani katika US amepatikana na hatia? NONE.
Google 911 coincedences on youtube or google video.
Propaganda mchezo mchafu!
 
You are kidding, right?

............. am not, for sure! ................. have you asked yourself that, between these two books, which book was brought by JESUS ? is that the BIBLE or INJIL (Gospel) ? how did the world acquire these Books ? think before you answer these Qns ........... ndo hivyo !:happy:
 
Valid points. Mpaka sasa hakujawa na independent investigation ambayo pia ingeihoji hiyo 'familia yake'. Watu wanaotetea jinsi hili tukio lilivyofanyika hawajui jinsi dunia hii ilivyo chafu.....wakati huohuo, huko Libya, wanapanga kurelease mabilioni ya nchi yanayoshikiliwa ili kuwapa rebels. F'n amazing!!
Wanafamilia wako mikononi mwa serikali ya Pakistan sasa kama kuna mtu anataka kuwahoji its a matter of asking Pakistani government. So far mpaka sasa hivi hakuna aliyeleta ushahidi wa Osama alikufa 2001, 2004 and blah blah au yuko hai tunaishia kupost video za watu wanatoa mawazo yao tu. We need something to counter US gov, i.e. video za Osama akishikilia gazeti la jana.
 
Ulimbukeni tu.............waislamu wanaona km osama ni mungu vile hawezi kuuawa........kvipi?

.................. Waislaam hatujawahi "KUABUDU MTU" wala MUNGU WETU hakuwahi kuja DUNIANI na kuhubiri masokoni ! MUNGU wetu hakuwahi kukamatwa na ASKARI wala KUDAI KODI !! futa usemi wako !
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom