Weka evidence ya kauli yako hapo juu. Vinginevyo, ni wazi kale ka TV ka Sheikh Osama jinsi kalivyokaa kanatumia analog technology, na ingebidi awe na angalau converter box ili kupata digital signals. Lakini la msingi ni kwamba uwezekano ni mdogo kwa "Sheikh" Osama (jinsi alivyokuwa almost completely isolated in every significant sense from the outside world), ajikalie nyumbani kwake kwenye sofa (just like any average Joe) halafu aanze ku-surf TV channels zinazorusha Programs mbalimbali, na hatimaye ainase some satellite-relayed TV Program moja inayomhusu yeye mahsusi kati ya miaka ile ya kuanzia mwaka 2006 alipohamia yale maskani hadi 2011 alipouawa. This kind of scenario, to be honest with you, is just too far-fetched in my eyes ukilinganisha na ile ya kuangalia pre-recorded videos.