Hizi habari wanazitoa nusunusu na inaharibu ile flow of information kwasababu wanazingatia propaganda zaidi kuliko ku provide ukweli wa tukio na the whole mission.Wanadai sasa Bin Laden did not try to resist,before walisema he did try to resist,halafu kuna wakati walisema mission ilikuwa ni kumwua na si kumkamata akiwa hai.Huku tukijua kuanzia awali tokea Bush kuwa policy ilikuwa to capture him dead or alive,sasa walimpiga risasi ya nini kama hakukuwepo na resistance?,Wakati huo huo,chini ya Obama wanadai kuwa hiyo code name "Geranimo" means kill or capture Bin Laden...Hakuna kinachoeeleweka smoothly,too much contradiction,inawezekana aliresist lakini mambo ya propaganda hawataki kusema ili asiwe revered aonekane coward.
Badala ya kutoa habari naona wako busy kuipangilia namna ya kuitoa na kupanga kuwa ni habari ipi itolewe na kivipi,sasa huu ndo upuuzi wenyewe.Hata hivyo ndo kawaida hiyo,mshindi huandika historia,na tutaendelea kulishwa propaganda za washindi taka tusitake.