Heheh mkuu vitatokea vi Osama wannabe na kulilia attention sidhani kama jamaa watapunguza hizi sheria zao.....afadhali. I hope sasa tutasafiri bila extra screening A'ports! :A S 39:
Obama girl lazima atoe single yake ya 2012 na atatumia huo mstari loolWanasema "Obama got Osama" lol...
The fight against terror goes on, but tonight America has sent an unmistakable message: No matter how long it takes, justice will be done. George W. Bush
Kumbe Osama alikuwa mwoga wa kifo..
Bin Laden killed a year before election...How convenient!
Mi naona mchezo ndo unaanza btw avatar yako ya zamani ilikuwa bomba zaidi.
J. Mushi, huyo mwanamke aliyeuwawa alikuwa ni human shield ya mmoja wa wanaume wawili waliokuwa na Osama, siye Osama ndiye aliyemtumia kama human shield. Wameuwa jumla ya watu 5 along side Osama, wamewauwa watu wengine wawili, wanaume, mtoto mmoja na huyo mwanamke. Tutazame na upande wa pili, hawa waliouwawa including mwanamke na mtoto, ni innocent victims ambao Americans must pay the price for in the law of the 'karma'!.Kuna mwanamke ambaye Bin Laden alimtumia ka shield naye ameuwawa,ama kweli huyu jamaa naye ana u coward flani hivi.
Vipi Bush aliyeweka groundwork? Yeye Dems hawatampongeza eeeh?
Kivipi sasa?
Yani jamaa alikuwa amejichimbia karibia na Kambi ya Jeshi la Pakistan umbali wa kilomita 50 kutoka Islamabad kwenye eneo ambalo wastaafu wa jeshi la Pakistan wanakaa. Kweli jamaa alikuwa muoga.
Heheh mkuu vitatokea vi Osama wannabe na kulilia attention sidhani kama jamaa watapunguza hizi sheria zao.