Orodha ya Wakurugenzi Wakuu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) tangu Uhuru

Ndo majibu yako
Ulikiwaga unaelekezwa darasani hivyi???
Heri hata wewe ulikwenda darasani unakujua. Mie hata mlango wa darasa siufahamu.

Nilikataa shule walivyojaribu kunipeleka chekechea tu, kwahiyo sijawahi kuelekezwa darasa lolote mkuu
 
Nimesomaaa weeee ila nimeona MHAYA, MNYAKYUSA na mchagga barikiwa wasukuma
Uko addicted na ukabila.ndo wale mtu akiteuliwa ama alifanya kitu unataka uone Kama ni wa kwenu ili ujisikie kuwa ni Bora kuliko wengine.
Africa tutakuja kuendelea siku ukabila ukiiisha na utaisha tu even 10k yrs to come
 
Hivi watu sijui nani aliwaambia Mwang'onda alikua Kanali(Cheo cha jeshi)....yaan niliposoma hivyo tu nikajua huyu muandishi hata hajui anaowaandika

Cornel ni jina lake la kuzaliwa na Sio Colonel/Kanali
Kweli hajui lakini huyo alikuwa Commanding Officer wa JKT Ruvu akiwa na cheo cha jeshi Colonel pia jina lake kamili ni Cornellius Arpson Mwang'onda,watu wengi inawachanganya.
 
Inaelekea hujui kabisa,amekuwa sehemu ya intelligence kwa muda mrefu mpaka anateuliwa kuwa mkuu,wewe unamwita raia? huyo ni mtendaji mzuri kiasi cha wewe kutojua kuwa ni askari pia.
 
Kwa Sasa naibu Dg ni Nani?
 
Hizo abbreviations ungezifafanua ingekuwa poa sana
 
UWE NI UZI WA KUPEANA CONNECTION

NI PM KAMA UNA CONNECTION
YA TISS
NINA MIAKA 22
NIMETOKA JKT NACHINGWEA ALIPOKUWA CDF


NINAELIMU YA CHUO KIKUUUU

NIMESHIRIKI KUZIMA MOTO KILIMANJARO
Wewe inaonyesha umejaa utopolo kichwani kwanza umemtukana Kiranga mtu anayeheshimika Sana jf pili ka CV kako la kipuuzi ka kuzima Moto Mt knjaro ndio unaombea connection za tiss.
 
Walingozi maarufu Sana kitengo
 
Yule jamaa alikuwa mwamba sana wa mambo ya usalama wa taifa; usiombe kukutana naye katika mambo yanayohusu usalama wa taifa. Enzi hizo tulikuwa na watu wanaojua utaifa kutoka mioyoni mwao na Walingozi alikuwa mmoja wao.
Nani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…