Orodha ya Wakurugenzi Wakuu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) tangu Uhuru

Wahehe hujawaona? Kimsingi kati ya Wakurugenzi 9; Mkoa wa Iringa ulitoa theluthi. Mzena, Kitine na Mahiga. Iringa(3), Kilimanjaro (2), Ruvuma(1), Songwe(1), Morogoro(1) na Tanga(1).
Kilimanjaro nani na nani
 
UWE NI UZI WA KUPEANA CONNECTION

NI PM KAMA UNA CONNECTION
YA TISS
NINA MIAKA 22
NIMETOKA JKT NACHINGWEA ALIPOKUWA CDF

NINAELIMU YA CHUO KIKUUUU

NIMESHIRIKI KUZIMA MOTO KILIMANJARO
 
KUNA WATU WAMEPATA CONNECTION KWA UTELEZI NA MTEREMKO HADI RAHA.

KIPINDI CHA NYUMA WAMUJIBU JKT WALIKUWA WANACHAGULIWA NA KUCHUKULIWA JAPO SASA NI
WA KUJITOLEA,BASI KUNA INTAKE WALIKUWA NA MTOTO WA TISS.

AKAWATONYA HANGA ZIMA KWAMBA WATAKAOKUJA KESHO KUFANYISHA INTERVIEW NI TISS.
JAMAA KAMA 30 WAKAENDANA TS WALITAKA WATU WANAOTAKA KUFANYA USAFI MBANDARINI.
KWANI JAWATANGAZAGI MOJA KWA MOJA NA SASA NI TS WAKUBWA TUUU
 
Kuna wengine niTS kwa kuungwa na ndugu,walimu wakarate n.k

Japo connection ni Kazi kweli kweli japo
 
TISS Ilikuwepo muda mrefu sana inawezekana kulikuwa hakuna sheria, lakini mimi nimeelewa uwapo wa TISS tangu miaka hiyo ya sabini. Kuna ndugu yangu mmoja alikuwa ofisa wa TISS wakati wa Nyerere, na alikuwa anaishi maisha kama yuko mbinguni. Kama uliwahi kumfahamu jamaa anaitwa Walingozi, basi huyo ndiye aliyekuwa chuma cha pua wa TISS.

Mwanozni mwa miaka ya themanini ilikuwa ni almanusra tu na mimi ningeinga TISS ila nadhani hawakupenda maisha yangu ya ujana wakati huo kutokana purukushani zangu nyingi sana za wakati huo. Ila Takuru walinifanya kuwa ripota wao kwa kipindi fulani ingawa bila malipo yoyote bali malupululupu tu- ambayo yalikuwa yananitosheleza haja zangu wakati huo.
Msiba wake kule Kate,Nkasi_Rukwa nilikuwepo, Mwezi uliopita nilikutana na mtto wake mmoja ni konda wa hiace tukapiga story nikabaki nimechoka..
 
Rais hataki kuvaa barakoa in the middle of a pandemic wakati ana matatizo ya moyo na mpaka wasaidizi wake wa karibu wanafariki kwa Covid-19.

Anawashushua wanaovaa barakoa, mpaka kanisani, hataki chanjo, hataki watu wapimwe. Hataki isolation.

Kapigwa daflao unamlaumu Msuya?

Hapa ni case ya "Mwana kulitafuta, mwana kulipata" tu.

Msuya anaweza kuwa na matatizo mengi, lakini kifo cha rais Magufuli alijitakia Magufuli mwenyewe kwa uzembe wake na ubishi wake wa kukataa sayansi, licha ya kuwa na Ph.D ya Chemistry, na kuendekeza propaganda za siasa.

Kwa kweli ukiangalia matatizo yake ya moyo, Magufuli hakutakiwa hata kugombea kazi yenye mikiki kama urais, kagombea urais kwa sababu ya uroho wake wa madaraka tu.

Sasa mtu kama huyo ambaye hashauriki wala hapangiwi, akifa, utamlaumu vipi Msuya?
Kwani ni uongo ndugu zangu????? Hahaha
 
Lao hao wanaovaa Barakoa,wangekuwa hawafi,tungesema sawa

Wanafanya kila namna,ili waweze kumudu maisha.
Bahati mbaya....wanagonga mwamba

Kutovaa Barakoa,isiwe sababu kwenu enye viumbe
Kutokubali chanjo,isiwe sababu

Rais Magufuli,alikuwa sawa sana katika jambo hili

Tusitishane...
 
Unachosema hapa ni sawa na kusema kwamba, ukiwa unavuka barabara yenye magari mengi sana, usiangalie kulia na kushoto kuhakikisha hakuna magari kabla ya kuvuka.

Uvuke tu barabara bila kuangalia pande zote.

Kwa sababu, hata ukiangalia kulia na kushoto kabla ya kuvuka barabara, siku moja utakufa tu.
 
Hujanielewa Chief Kiranga
Soma tena maelezo yangu,huenda ukanielewa
 
Hujanielewa Chief Kiranga
Soma tena maelezo yangu,huenda ukanielewa
Sijakuelewa nini, wapi na kwa sababu gani?

Toa sababu za kiantiki zenye mifano inayoweza kuelezewa kwa truth table kutoka kwenye post yangu moja kwa moja.

Wewe umeuliza, wakivaa barakoa hawafi?

Mimi nimekwambia hapo ni sawa na kuuliza, wanaoangalia magari kulia na kushoto kabla ya kuvuka barabara hawafi?

Nimekuonesha kwamba kukejeli kuvaa barakoa kwa sababu wanaovaa barakoa watakufa tu ni sawa na kukejeli kuangalia magari kabla ya kuvuka barabara kwa sababu wanaoangalia magari watakufa tu.

Sasa hapo ambapo sijakuelewa ni wapi?
 
Back
Top Bottom