Orodha ya Wakurugenzi Wakuu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) tangu Uhuru

Kati ya watu wanaoandika junks hapa JF wewe ndio wa kwanza. Unaandika mada za kufikirika ambazo ziko Hollywood kwenye movie, hapa watu wanataja historia wewe hutaki ila ukitoka utaenda kuanzisha mada kama SIRI YA COVID-19, UKIMWI NI UZUSHI, FREEMASONY. Yani uko YouTube channels uchwara za kibongo
Mada zangu ni beyond your thinking capacity,huwezi kuzielewa.Ni mtu mwenye IQ kubwa tu ndiye anayeweza kunielewa.I am not mainstream.
 
Tunaomba orodha ya makamu wa wakurugenzi hao pia yani DDGI Ambae namfahamu ni mmoja tu Jack Zoka aliyehudumu chini ya RO
 
Hata kama alishakuwa Afisa Mwandamizi kumbuka hajakulia ndani ya Idara, changamoto za idara na kukiendesha chombo kwake itakuwa ni changamoto tofouti na wale Maafisa waandamizi ambao wamo ndani ya Idara. Kuna maamuzi anaweza fanya kumbe anakosea pakubwa sana hivyo ni vyema hawa ma DG watoke ndani ya mfumo kuliko kuwatoa nje ya mfumo kuna watu wanavunjika mioyo kwelikweli.
Unavunjika moyo vipi tena! Umesahau kiapo?
 
Hata kama alishakuwa Afisa Mwandamizi kumbuka hajakulia ndani ya Idara, changamoto za idara na kukiendesha chombo kwake itakuwa ni changamoto tofouti na wale Maafisa waandamizi ambao wamo ndani ya Idara. Kuna maamuzi anaweza fanya kumbe anakosea pakubwa sana hivyo ni vyema hawa ma DG watoke ndani ya mfumo kuliko kuwatoa nje ya mfumo kuna watu wanavunjika mioyo kwelikweli.
Pole
 
Unataka kusema kipindi lissu ana miminiwa risasi, kipindi cha utekaji na mauaji nchini,idara ya usalama nchini ilikuwa chini ya MCHUNGAJI?

Seriously!
 
Back
Top Bottom