Ooops naona mnakuja kasi wanaume Kunani tena.....

mbandikie na ile ya aramba .....

Hii ya aramba ndo naitaka sana manake kila nikitembelea kule kwa ankal misupu na mdogo wake wanaitumia sana hii lol namiss uswahili kukamatia viuno vya bure kwenye mikesha-kile uswahilini kipindi cha christmas niliikuta hii chaja ya kobe na mikesha hii walikuwa wanaita vigodoro bongo rahaa
 
hehee kweli huu uzi ni uzifulu.....mpaka siku iishe mbivu na mbichi tutazijua hapa
sijui wale ambao ni chaja ya kobe itakuwaje.......

Aramba aramba ammmmm ammmmm!
Aramba aramba tena ammmm ammmm!
Baridiii baridiiii

Aaaah! Wapi kaizer muzee ya arambaaa?
 
Mkuu, hormone ndo zinafanya watu wapende myuzik SHE na myuzik HE.
Is there such thing as Music SHE, na Music HE?

Kama football ni mchezo wa wanaume, wanawake wanaocheza au kushabikia football wana hormon inbalance? or rather hormone za kiume zimezidi mwilini mwao?
Daaaa..............Thank you................ unajuwa kuna watu wana midhana yao vijwani wanataka kutushirikisha kushabikia hiyo midhana yao...........
 
Ajira zimekuwa ngumu shem langu!...Mjini watu hawataki kuhama, hela ngumu, familia zinadai, basi ni shida tupu, na matokeo yake ndo hayo!
 
Bado naendelea kushangaa inakuwaje wanaume mnakuja kasi kiivi katika ulimwengu wa Taarabu.. zamani nilijua si fani yenu ukitizama kwenye majukwaa jinsi mnacheza taarabu..mmh waimbaji wa kiume kila kukicha wanaongezeka na upenzi wenu unashika kasi ya ajabu

Kulikoni???nashngaa

Dada maybe nitaonekana mbaya but let me speak my mind. I hate it mwanaume kuimba taarabu. Naona inawafanya wawe na tabia za kike. I could be wrong but to me it just doesn't seem right.
 
ha ha ha wapenzi wa hii kitu wengi!!
Nadhani hata wewe ni mmoja wapo............WANACHAMA WA NYIMBO HIZO NI WENGI LAKINI HUWA WANAJIFICHA KWA KUOGOPA DHANA ZILIZOPO VIJWANI MWA WATU JUU YA MUZIKI HUU.................kwamba ni wa kike............
 
Hii ya aramba ndo naitaka sana manake kila nikitembelea kule kwa ankal misupu na mdogo wake wanaitumia sana hii lol namiss uswahili kukamatia viuno vya bure kwenye mikesha-kile uswahilini kipindi cha christmas niliikuta hii chaja ya kobe na mikesha hii walikuwa wanaita vigodoro bongo rahaa

Hahahahahaha ile halidiii halidiii aramba ham ham

Aramba aramba ammmmm ammmmm!
Aramba aramba tena ammmm ammmm!
Baridiii baridiiii

Aaaah! Wapi kaizer muzee ya arambaaa?

hii nyimbo ni ya Kaizer (ndo aliandika mashairi) subiri aje hapa atakuwekea Ray B!!!
 
Dada maybe nitaonekana mbaya but let me speak my mind. I hate it mwanaume kuimba taarabu. Naona inawafanya wawe na tabia za kike. I could be wrong but to me it just doesn't seem right.
Vipi kuhusu hawa unawafikiriaje............????
1. Wanawake wacheza football....e.g ESTA CHABURUMA
2. Wanaume wacheza netball............
3. wanaume manesi..............
4. wanaume wanaohudumia kwenye mabaa............
5. wanawake wachimba madini.................
6......................
 
Dada maybe nitaonekana mbaya but let me speak my mind. I hate it mwanaume kuimba taarabu. Naona inawafanya wawe na tabia za kike. I could be wrong but to me it just doesn't seem right.
Kwenye redi nafikiri unabidi utuambie tabia za kike ni zipi? na ni zipi kati ya hizo hawa waimbaji wanakuwa nazo mara baada ya kuimba taarabu.

Ninachoona hapa ni mtazamo, kama ilivyo kwenye blue......sema ninaona/wanaonekana kwa mtazamo wako........Ni sawa na kusema mi nikiona dume linaendesha Toyota Vitz, au Mitsubishi RVR, naona kama anakuwa hapendezei.....sio anakuwa na tabia za wanawake, just because unafikiri kwa mtazamo wako kuwa RVR ni gari inayotakiwa kuendeshwa na wanawake tu.
 
Ameen to this...............
 
Hii aramba imeimbwa na mwanaume au mwanamke nataka nijue hapo kama ni mwanaume basi wanastahili kuwepo katika game
 
Hii aramba imeimbwa na mwanaume au mwanamke nataka nijue hapo kama ni mwanaume basi wanastahili kuwepo katika game

verse kaimba kidume
kiitikio wadada
usiniulize aloimba maana I have no idea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom