FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,792
- 5,375
- Thread starter
- #81
ajira zimekuwa ngumu shem langu!...mjini watu hawataki kuhama, hela ngumu, familia zinadai, basi ni shida tupu, na matokeo yake ndo hayo!
hapa imebidi ni smile tu pj
ajira zimekuwa ngumu shem langu!...mjini watu hawataki kuhama, hela ngumu, familia zinadai, basi ni shida tupu, na matokeo yake ndo hayo!
Naona hata FL1 anadhibitisha hapo juu!!
Dada maybe nitaonekana mbaya but let me speak my mind. I hate it mwanaume kuimba taarabu. Naona inawafanya wawe na tabia za kike. I could be wrong but to me it just doesn't seem right.
Watake radhi watakufungulia file.mabwabwa hao, sio wanaume lijali
Bado naendelea kushangaa inakuwaje wanaume mnakuja kasi kiivi katika ulimwengu wa Taarabu.. zamani nilijua si fani yenu ukitizama kwenye majukwaa jinsi mnacheza taarabu..mmh waimbaji wa kiume kila kukicha wanaongezeka na upenzi wenu unashika kasi ya ajabu
Kulikoni???nashngaa
Daaaaaaaaa..................wape wape enheeeeeeeee vidonge vyaoooooooooo,.... wakimeza wakitema shauri yaoooooooooooooo............Angalizo
"Taarabu Music is a fusion of Swahili tunes sung in rhythmic poem spiced with Arabic or at times Indian melodies. wherever the Swahili speaking people travelled. Taarabu culture moved with them. No wonder it has penetrated to as far as Uganda. Rwanda and Burundi in the interior of East Africa. In the Persian Gulf, Dubai and Muscat play host to many groups of Taarabu who perform in these capitals frequently.
Traditionally, Taarabu used to be performed at weddings and social gatherings like circumcision rites for infant boys or during the attainment of maiden hood for girls or during Eid celebrations. In recent times, politicians have taken advantage of Taarabu's popularity among the masses to effectively use it as a tool for political campaigning.
The Swahili language which is a medium for Taarabu poetic singing has two equally important roots, Arabic and Eastern Bantu Langauge. The Swahilis have made a strongly individual culture out of other people. Taarabu reflects the cosmopolitan qualities of a multiracial people. It is different from the main stream of African Music, in that at a later stage, its melody lines are long and the vocal style is like Arab or at times Indian singing. An American Taarabu researcher, John S. Roberts in his commentary on original music summed up this way "Like most complex and living things, in fact, Taarabu refuses to be thrust into neat bags. It is an extremely lively art form springs from a classical culture, still immensely popular drawing all the time from old and new sources, a major part of social life of the Swahili people".
Jamani FirstLady ni wapi Taarab imesemwa ni music wa kike, kumbuka East Africa Taarab Legends kama Juma Bhalo, Issa Matona, Abdalah Issa, Zein n.k. hao ni wanaume ambao walikua wanawafunika kina Malika, Sitti Bint Saad na Bi Kidude hawa walikua waimba Culture Taarab, labda FirstLady ulikua wazungumuzia Mipasho aka Micharuko alias Modern Taarab huko ndio utawakuta njaa kumimi Mzee Ayub na wakora wenzake, lkn Mzee wa Alamba bora yesheee!
Hii makala imekuzawadia senksi. Nenda kahakiki!Angalizo

Hahaha! Mazee napata picha wakati unaandika lazima ulikuwa unazungusha! LOLZ!Daaaaaaaaa..................wape wape enheeeeeeeee vidonge vyaoooooooooo,.... wakimeza wakitema shauri yaoooooooooooooo............
Kipi cha kuhakiki, au niilete kwa kimatumbi?Hii makala imekuzawadia senksi. Nenda kahakiki!
Daaaaaaaaa..................wape wape enheeeeeeeee vidonge vyaoooooooooo,.... wakimeza wakitema shauri yaoooooooooooooo............
Isikusumbue kichwa FL1.........ni vijimambo tuuTaratibu tu unaanza kusogea kunako ukweli Brother
Mimi Si Wewe
by Ahmad Nassir bin Juma Bhalo
Mtambi nakutamiya mlumbi tuza sikio
nna mambo takawambiya ya akili na kituo
iwapo hutosikiya basi tena ni weleo
na kwamba wamba u sao si kwanma ndimi na wewe.
Wakewelakwela si kwako kukwela wakwelao
na huko ukukwelako hutokweza wakwezeo
wenye kukwela hawako na wakiwako ni hao
na kwamba wamba u sao si kwamba ndimi na wewe.
ugambi mbwa wenye nduma nguli watambiano
na kupijana misamba katika vigambo vyao
ikawa kukaza kamba pasiwe alegezao
na kwamba wamba u sao si kwamba ndimi na wewe.
Tetela tetelewapo na pepelezi ja sao
penye miuya na pepo zingacho chombo kwa mbio
sifuze kutaka papo ukapa wendo kilio
na kwamba wamba u sao si kwamba ndimi na wewe.
Legeza matitimati msambanyo sende nao
utafakuri wakati juzi na jana si leo
yadhihiripo mauti furahaye ni kilio
na kwamba wamba u sao si kwambo ndimi na wewe
Homeboy maneno haya tunayajua wapwa tu ona sasa alichokujibu...Hii makala imekuzawadia senksi. Nenda kahakiki!
Kipi cha kuhakiki, au niilete kwa kimatumbi?
Na wewe kahakiki...........nimedo ze nidful kwa kizaramoHomeboy maneno haya tunayajua wapwa tu ona sasa alichokujibu...
Dah! Sore sikujua kama niliingia choo cha kike nikasahau kuchuchumaa.Kipi cha kuhakiki, au niilete kwa kimatumbi?
Nimeona hommie, ngoja nika do the needful ya kuirimuvu!Homeboy maneno haya tunayajua wapwa tu ona sasa alichokujibu...
Hehehehe! Ngoja nami nika-do kwa kindengereko.Na wewe kahakiki...........nimedo ze nidful kwa kizaramo
tehe tehe