Ooops naona mnakuja kasi wanaume Kunani tena.....

Dah! Sore sikujua kama niliingia choo cha kike nikasahau kuchuchumaa.

Nimeona hommie, ngoja nika do the needful ya kuirimuvu!

Hehehehe! Ngoja nami nika-do kwa kindengereko.
ha ha ha mi nime do kwa kizigua hapo...Mgosi ongizeni!!
 
Kweli watu na fani zenu ...asante sana M-handsome kumbe unaziweza fani
KARIBU FirstLady lakini hiyo siyo MCHARUKO bin MCHIRIKU hiyo ni TWAARAB hakuna kidole juu wala kukata mauno, ukimsikiza Juma Bhalo aghani lazima usinzie.
 
N-handsome
user_online.gif

N-handsome Opps Glory to God
JF Senior Expert Member
red_left.png
red.png
red_right.png
green_left.png
green.png
green_right.png
Join Date: Wed Jan 2008
Location: Dar es Salaam
Posts: 317
Thanks: 0
Thanked 28 Times in 17 Posts
Rep Power: 23
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif





Nadhani mmeelewa kwanini nimeamua ku-do the niidiful ya kuirimuvu! Mchoyo sana asee:D:D:D
 
MAPENZIKupendwa si unadhifu, wala si ukabaila
Hupendwa uli mchafu, na jamii zote ila
Mtu ha'ndami ulufu, ni matumizi na kula
Uzani waloyaola

Kemu kemu mabanati, wema katika kabila
Wazikosapo bahati, hutumiya shalubela
Kunena mangi sipati, apendwaye hana ila
Uzani waloyaola

By Juma Bhalo
 
Mimi huwa najishangalia tu. FL1, hawaji juu kwenye taarabu tu, kuna kile kipindi cha umbeya cha Nyumbani leo (kama sijakosea) cha Clouds (Dina Marios et al). ukisikiliza huko wachangiaji wakuu pia huwa ni wanaume.[/QUOTE]

Fixed P mbona umepotea kiasi hiki ulikuwa wapi Mamy vibaya hivyo

Mambo ya hawa kaka zetu siku hizi yamekuwa sivyo ndivyo..wamesema haki sawa majukumu kwa wote kauli mbiu hiyo
 
kheeee theory kwisha mmeingia kwenye praktikoz sasa.......................
 
n-handsome
user_online.gif

n-handsome opps glory to god
jf senior expert member
red_left.png
red.png
red_right.png
green_left.png
green.png
green_right.png
join date: Wed jan 2008
location: Dar es salaam
posts: 317
thanks: 0
thanked 28 times in 17 posts
rep power: 23
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif





nadhani mmeelewa kwanini nimeamua ku-do the niidiful ya kuirimuvu! mchoyo sana asee:d:d:d

binamu huyu inavyoonekana hajui wapi pa kugongea hebu mpe twisheni sidhani kama ni kosa lake
 
N-handsome
user_online.gif

N-handsome Opps Glory to God
JF Senior Expert Member
red_left.png
red.png
red_right.png
green_left.png
green.png
green_right.png
Join Date: Wed Jan 2008
Location: Dar es Salaam
Posts: 317
Thanks: 0
Thanked 28 Times in 17 Posts
Rep Power: 23
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif





Nadhani mmeelewa kwanini nimeamua ku-do the niidiful ya kuirimuvu! Mchoyo sana asee:D:D:D
Thanks Wapwa, nilipata kathenks lkn kuhakiki si unajua gumbalu mie :D :D
 
Daaaa..............Thank you................ unajuwa kuna watu wana midhana yao vijwani wanataka kutushirikisha kushabikia hiyo midhana yao...........

Wewe ndio unayesema ni dhana.

There is science behind what I am saying. Don't just jump onto the bandwagon without knowing your facts
 
Ni sekta ambayo wameamua kijikita zaidi Bestlady wala usishangae

Wanaume wengi wanakwenda kwenye taarabu kufuata wanawake! Hakuna kingine!
icon10.gif
Halafu wakongwe wa taarabu wa kiume wapo mbona, mfano Issa Matona!
 
Wanaume wengi wanakwenda kwenye taarabu kufuata wanawake! Hakuna kingine!
icon10.gif
Halafu wakongwe wa taarabu wa kiume wapo mbona, mfano Issa Matona!

una maana gani? ni rahis kuwapata huko au ndo warembo au........au.....
aaah au zipi nyingi hebu jibu kwanza

hiv style ya huyo mzee na akina Mzee Yusuf inafanana?
 
una maana gani? ni rahis kuwapata huko au ndo warembo au........au.....
aaah au zipi nyingi hebu jibu kwanza

hiv style ya huyo mzee na akina Mzee Yusuf inafanana?

Inasemekana ni rahisi zaidi kuwapata wanawake huko kwenye taarabu kwa sababu wengi wa wanawake wapenzi wa taarabu wa asili ya mwambao wa Pwani. Na mafundisho ya maadili ya mwambao wa Pwani kwa mwanamke ni ''chungu hakikai kwenye figa moja, lazima yawe mafiga matatu''!!

Kwenye suala la kama ni warembo au la sifahamu kabisa kwa kuwa sijawahi kwenda huko!
 
Inasemekana ni rahisi zaidi kuwapata wanawake huko kwenye taarabu kwa sababu wengi wa wanawake wapenzi wa taarabu wa asili ya mwambao wa Pwani. Na mafundisho ya maadili ya mwambao wa Pwani kwa mwanamke ni ''chungu hakikai kwenye figa moja, lazima yawe mafiga matatu''!!

Kwenye suala la kama ni warembo au la sifahamu kabisa kwa kuwa sijawahi kwenda huko!

'mafiga matatu'.....hii kitu huwa siielewi, nahisi tu not sure maana yake nini

kwenye 'ITV' wewe huonagi hizo nyimbo?
ukashindwa kunipa na jibu la swali langu la mwisho.....
 
'mafiga matatu'.....hii kitu huwa siielewi, nahisi tu not sure maana yake nini

kwenye 'ITV' wewe huonagi hizo nyimbo?
ukashindwa kunipa na jibu la swali langu la mwisho.....

''Mafiga matatu'' maana yake ni kwamba, mwanamke hatakiwi kuwa na mwanaume mmoja! Maana ipo siku anaweza kuachwa ghafla halafu ukakosa pa kukimbilia au wa kumtegemea! Kumbuka hapa tunazungumizia hawa wanawake wa Pwani ambao wengi wao ni ''house wives'' wasio na kipato chochote!

Kuhusu Issa Matona, nyimbo zake zinatofautina na hawa wa sasa, ila sasa za Issa tuziiteje? Au zina jina lingine? Ila yule aliyeimba ''halifichiki pembe la ng'ombe'' ana mfumo kama wa Issa Matona!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom