Ooops naona mnakuja kasi wanaume Kunani tena.....

Na kweli naona fulsa sawa kwa wote hapa ..:)

Nyie subirini tu/watakapoanza kupeana vijembe, nimemchukuwa demu wako mie kwasababu huyawezi weye, kila kukicha wewe walea kitambi chako wewe wenzio twawalisha nyama ya ulimi siye...........

huna lolote bwana wewe walingia nguvu za MUYATI wewe, kila kukicha kwa waganga kufukuzia SUPER SHAFT.
 
ha ha ha Madhara ya Vipindi vya Mcharuko!!
 
Ndo mnakoelekea nyie inakuwaje mko busy kiivyo ...kina Isha mashauzi wafanye nini kama kila sekta mnaingia ??
Why!?
Waanze kuandaa tu mkutano mapema wa wanaume.Kama wa wanawake ulikuwa Beijing sijui wa wanaume utafanyikia wapi!
mie naproposi Hongkong.
FL1hebu proposi
 
Tupo mbioni cheki hii hapa chini.....
kpleo.jpg
 
Kwani asili ya taarab inasema ni ya wanawake jamani au mnataka kutubagua tu? Halafu manyimbo ya wanaume si huwa yanawasifia wanawake au? Wacheni huko uchoyo tu? Ebo, hebu nipeni nyimbo mpya zilizotoka Bongo lol!
 
ha ha ha Madhara ya Vipindi vya Mcharuko!!
Huyu lazima ahatkuwa Hommie. Yaani Home boy.

Waanze kuandaa tu mkutano mapema wa wanaume.Kama wa wanawake ulikuwa Beijing sijui wa wanaume utafanyikia wapi!
mie naproposi Hongkong.
FL1hebu proposi
Huyu sina sababu ya kusema. Huyu lazima mwanamke. Tena mwanamke bora kabisa.

kumbe wee ni SHE? ndo maana.........!!!!
Mamushka senksi kwa kunisaidia kukamata jinsia za watu. Hili Sredi ni veri yuzifuli.

Kwani asili ya taarab inasema ni ya wanawake jamani au mnataka kutubagua tu? Halafu manyimbo ya wanaume si huwa yanawasifia wanawake au? Wacheni huko uchoyo tu? Ebo, hebu nipeni nyimbo mpya zilizotoka Bongo lol!
Naam! Kamanda mwenzetu huyu. Dume la mbegu kabisa.

Mchakato unaendelea. Leo ni kazi moja tu. Kutambua jinsia.
 
Waanze kuandaa tu mkutano mapema wa wanaume.Kama wa wanawake ulikuwa Beijing sijui wa wanaume utafanyikia wapi!
mie naproposi Hongkong.
FL1hebu proposi

Wanaume inabidi wafanyie Baghdad hawa ..;)
 
Hormonal imbalance. The feminization of the male of the human species.

Kama ambavyo ushoga nao unakua kwa kasi.

Sitanii. Ni hormones, siku hizi ziko kila mahali, kama si hormone halisi (kupitia kwa wazazi wao e.g. wakina mama kumeza/ choma dawa za kupanga uzazi) basi kemikali zinazofanana na hormone katika chakula na vinywaji.

Ukikaa vibaya watakufungia na khanga
Mkuu, hormone ndo zinafanya watu wapende myuzik SHE na myuzik HE.
Is there such thing as Music SHE, na Music HE?

Kama football ni mchezo wa wanaume, wanawake wanaocheza au kushabikia football wana hormon inbalance? or rather hormone za kiume zimezidi mwilini mwao?
 
Huyu lazima ahatkuwa Hommie. Yaani Home boy.

Huyu sina sababu ya kusema. Huyu lazima mwanamke. Tena mwanamke bora kabisa.

Mamushka senksi kwa kunisaidia kukamata jinsia za watu. Hili Sredi ni veri yuzifuli.

Naam! Kamanda mwenzetu huyu. Dume la mbegu kabisa.

Mchakato unaendelea. Leo ni kazi moja tu. Kutambua jinsia.

Xpin tatizo umewahi mnoo kutoa siri watashtuka na utaratibu wako huu mapema wengi bado hawajajua kuwa JF imerudi wako njiani wanakuja kwa mguu
 
Jamani nimeomba nyimbo mpya za taarabu Bongo mbona hamnipi?
 
Xpin tatizo umewahi mnoo kutoa siri watashtuka na utaratibu wako huu mapema wengi bado hawajajua kuwa JF imerudi wako njiani wanakuja kwa mguu
Mkuu nimekutwanga na kale ka fevareti batani ketu kwa hii yuziful posti. :D:D:D
 
Mnajua wanawake wa kaskazini, Moshi, Arusha ndo wamachinga? wanatembeza nguo za aina zote, viatu nk.
Mbona Dar ni tofauti.
 
Mamushka senksi kwa kunisaidia kukamata jinsia za watu. Hili Sredi ni veri yuzifuli.

Mchakato unaendelea. Leo ni kazi moja tu. Kutambua jinsia.

hehee kweli huu uzi ni uzifulu.....mpaka siku iishe mbivu na mbichi tutazijua hapa
sijui wale ambao ni chaja ya kobe itakuwaje.......
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom