Ooops naona mnakuja kasi wanaume Kunani tena.....

Bado naendelea kushangaa inakuwaje wanaume mnakuja kasi kiivi katika ulimwengu wa Taarabu.. zamani nilijua si fani yenu ukitizama kwenye majukwaa jinsi mnacheza taarabu..mmh waimbaji wa kiume kila kukicha wanaongezeka na upenzi wenu unashika kasi ya ajabu

Kulikoni???nashngaa
Zamani tulidhani taarab maana yake ni makalio makubwa kuyazungusha tratiiiiiibu huku ukimsema mwenzio umbeya. Afu tulidhani lazima uwe mswahili tu ndio taarabu, tena uwe mwislam au mwarabu. Kumbe siku hizi tumeelimika bwn, hata wajaluo wamo, fidodido wamo ngongingo wamo, wapagani na hata wakristo ruksa! Wanaume pia kumbe aah, weacha tu!

Kwa hiyo tutabanana hapahapa. Taarabu sio umbeya kumbe, tutaingia wote humo, bora unajua kusoma sentensi na kuzungusha kichwa chako ukanenua meno watakuja wapenzi kibao nawe utakula hela tu bila jasho.
 
Nimekugongea Senksi kwa hii yuzifuli posti.
Leo ntakuwa bize kujua nani ni he na nani ni she humu jamvini.
Naingia kazini. Subiri.......!
 
Fursa sawa kwa wote Vidole juu kwa wote pia.
Huyu dume huyu!

Tunaonesha kuwa na sisi tunaweza, sio nyie tu...
Njemba hii!

Usishangae FL1..........Ni mambo ya beijing ya kiume hayo............
Dume jenzangu hili.

Dah hii kitu inabidi ijumaa hii nikafanya utafiti hapo lango la jiji na Travertine naomba JS twende wote.
Hapa sina haja ya kufafanua. Mdumisha Mila huyu.

Ndio mambo kama ya Hawa the bus driver hayo
Hapa pado utata........ Upelelezi unaendelea.

Ndiko migoma ilipo na Nyuki hufuata asali.
Huyu naye bado kuna utata.

Ata wacheza show(stage show) wa katika Rusha Roho ni wanaume
He! Huyu naye? Ila jina linanitia mashaka. Inaelekea mhudhuriaji mzuri wa twaarab huyu. Uchunguzi unaendelea!

namba ya mashosti imeongezeka.
Hehehe! Kamanda nawe uko kwenye mchakato wa kuibua vipaji?

Zamani tulidhani taarab maana yake ni makalio makubwa kuyazungusha tratiiiiiibu huku ukimsema mwenzio umbeya. Afu tulidhani lazima uwe mswahili tu ndio taarabu, tena uwe mwislam au mwarabu. Kumbe siku hizi tumeelimika bwn, hata wajaluo wamo, fidodido wamo ngongingo wamo, wapagani na hata wakristo ruksa! Wanaume pia kumbe aah, weacha tu!

Kwa hiyo tutabanana hapahapa. Taarabu sio umbeya kumbe, tutaingia wote humo, bora unajua kusoma sentensi na kuzungusha kichwa chako ukanenua meno watakuja wapenzi kibao nawe utakula hela tu bila jasho.
Huyu ni mwanaume mwenzangu.

Uchunguzi unaendelea! Nitawatambua kwa maandishi yenu leo.
 
Bado naendelea kushangaa inakuwaje wanaume mnakuja kasi kiivi katika ulimwengu wa Taarabu.. zamani nilijua si fani yenu ukitizama kwenye majukwaa jinsi mnacheza taarabu..mmh waimbaji wa kiume kila kukicha wanaongezeka na upenzi wenu unashika kasi ya ajabu

Kulikoni???nashngaa

Mambo ya usawa yamejibu zaidi kwa jinsia dume.....imebaki kubeba mimba tu...na yenyewe inafanyiwa 'research'.....vinginevyo taarab, dady day care, kusuka, kupika, u-'Naomi Campbell' mambo ya mitindo, 'ushhhhh'.........NAKWAMBIA BADO KUJIFUNGUA TU. NA YALE MAMBO YETU YA TWO THINGS...EENH.... MATUMIZI YA TISSUE PAPER TWO SIDES..mambo ya ALWA....... OTHER WISE KUNA ASICHOWEZA KUFANYA MWANAUME DUNIANI SASA HIVI??????????????????????????
 
Ahsante dada!
Leo ndo nimejua wewe ni she!
Hili Sredi leo ni yuzifuli sana!
 
Zamani tulidhani taarab maana yake ni makalio makubwa kuyazungusha tratiiiiiibu huku ukimsema mwenzio umbeya. Afu tulidhani lazima uwe mswahili tu ndio taarabu, tena uwe mwislam au mwarabu. Kumbe siku hizi tumeelimika bwn, hata wajaluo wamo, fidodido wamo ngongingo wamo, wapagani na hata wakristo ruksa! Wanaume pia kumbe aah, weacha tu!

Kwa hiyo tutabanana hapahapa. Taarabu sio umbeya kumbe, tutaingia wote humo, bora unajua kusoma sentensi na kuzungusha kichwa chako ukanenua meno watakuja wapenzi kibao nawe utakula hela tu bila jasho.

TETETETETEH HILI NALO NENO UKISTAAJABU YA MUSA....
basi nakuzawadia "Mwanamke Hulka "ikuburusishe leo umenichekesha Lekanjobe
 
Hormonal imbalance. The feminization of the male of the human species.

Kama ambavyo ushoga nao unakua kwa kasi.

Sitanii. Ni hormones, siku hizi ziko kila mahali, kama si hormone halisi (kupitia kwa wazazi wao e.g. wakina mama kumeza/ choma dawa za kupanga uzazi) basi kemikali zinazofanana na hormone katika chakula na vinywaji.

Ukikaa vibaya watakufungia na khanga
 
Ahsante dada!
Leo ndo nimejua wewe ni she!
Hili Sredi leo ni yuzifuli sana!

Loh! laaziz.....yaani kwa sababu nimevaa khanga yako....kweli umenichoka!!!!
Nazima computer nikaugulie maumivu kwanza......nitapona baada ya wiki hivi.
 
Hormonal imbalance. The feminization of the male of the human species.

Kama ambavyo ushoga nao unakua kwa kasi.

Sitanii. Ni hormones, siku hizi ziko kila mahali, kama si hormone halisi (kupitia kwa wazazi wao e.g. wakina mama kumeza/ choma dawa za kupanga uzazi) basi kemikali zinazofanana na hormone katika chakula na vinywaji.

Ukikaa vibaya watakufungia na khanga

Injinia na wewe wapenda taarabu??;)
 
Loh! laaziz.....yaani kwa sababu nimevaa khanga yako....kweli umenichoka!!!!
Nazima computer nikaugulie maumivu kwanza......nitapona baada ya wiki hivi.

Pole Maandishi yako yamemchanganya akashube :D
 
Kaeni chonjo!, mtajikuta mmenyang'anywa fani yenu!. Mjini shule ambako kuna ulegevu watu ndo wanahamia upande huo kufanya mambo!.
 
Ha ha!! Simo!!
Ila mara moja moja, hasa zikitoka mpya na ile midundo ila nikishasikia maneno tu, huyoo narudi kwenye zangu za Roots

basi naomba na wewe nikudedicate song hii ya miaka ileeeeeeeeeee.
Fifty fifty by melody imetulia saaaaaaaaana ..
 
Kweli huo ndio usawa? mpaka taarabu jamani........
Huyu ni she. Lazima!

Ha ha!! Simo!!
Ila mara moja moja, hasa zikitoka mpya na ile midundo ila nikishasikia maneno tu, huyoo narudi kwenye zangu za Roots
Ahaaa! Dume hili! Confirmed!

Kaeni chonjo!, mtajikuta mmenyang'anywa fani yenu!. Mjini shule ambako kuna ulegevu watu ndo wanahamia upande huo kufanya mambo!.
Huyu ni mwanaume lazima.

Uchunguzi unaendelea!
Leo hili sredi linanifungua macho sana!
 
Taarab inakuwa na inabadilika pia, siku hizi sio mipasho tu bali wanatoa burudani ambayo si ya kukehebiana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom