Ata sitaki kumjibu
Hongeraa!!!Mimi naweza kumtengeneza
BoraAta sitaki kumjibu
Hii yote kwa sababu mmesikia ni dawaEe bwana pweza ni mtamu sana
Ukipata na ile supu yake yenye pilipili na ndimu kwa mbaaaali
Hapana mkuu! Niko kwenye kuaresmaVipi unahitaji nikutengenezee?
Uandishi huu huwa unanipa shida sana. Sijui mi ndo old school?Inategemea na ladha na pia uxzan kla anaekula n MTU wa mambo yetuuu lahaxha ujue watu wa pwan. Hyo ndo mambo yao ila hta ktk mwil pweza nae n krutbixho bora kwa bnadam