Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,133
- 122,589
Kawaida mbona.Naina umeshtuka kumoyo.
Week end njema
Na kwako pia
Kawaida mbona.Naina umeshtuka kumoyo.
Week end njema
Kama kweli sipati picha gem lako litakuwa sio la nchi hii!Zinaweza ongezeka kwani????
Au ndo mana nna nguvu nyingi???sababu nimeanza kula mika mingi sana
KuumbeeUsije ukala unaweza kubaka siku.
Itabidi nijaribu aisee. Huwa naishia tu kuangalia watu wakiwazunguka wauzaji
Hahahaaa!Kila la heri emmyta. Ukipenda kitoweo hiki basi nawe utakuwa ni mmoja wa wanaowazunguka wauzaji.
Jaribu umle!!! Ni mtamu haswaaa. Sema ununue alietengeneza mwingine... Kutengeneza mwenyewe ni majanga tupuDaah! Naona mi kitanipita kushoto mana kiukweli sijuagi ladha yake
Aah wapi?Ee bhana mm napiga maharage vibayaaa

Ntajaribu aiseeJaribu umle!!! Ni mtamu haswaaa. Sema ununue alietengeneza mwingine... Kutengeneza mwenyewe ni majanga tupu
Wee!!! Tena usipate picha kweliii!!! Utazini kimawazoKama kweli sip
Kama kweli sipati picha gem lako litakuwa sio la nchi hii!
Alafu upate na karanga mbichiiii weee!!!Ee bwana pweza ni mtamu sana
Ukipata na ile supu yake yenye pilipili na ndimu kwa mbaaaali