Ongezeko la wanawake wanaopenda kula pweza

Ongezeko la wanawake wanaopenda kula pweza

Hongera kwa kuwa na nguvu nyingi, kitoweo cha pweza kimekuongezea nguvu nyingi lol! 🙂🙂

Zinaweza ongezeka kwani????
Au ndo mana nna nguvu nyingi??? [emoji32][emoji32] sababu nimeanza kula mika mingi sana
 
Inategemea na ladha na pia uxzan kla anaekula n MTU wa mambo yetuuu lahaxha ujue watu wa pwan. Hyo ndo mambo yao ila hta ktk mwil pweza nae n krutbixho bora kwa bnadam
 
Hongera kwa kuwa na nguvu nyingi, kitoweo cha pweza kimekuongezea nguvu nyingi lol! 🙂🙂
Acha uongo bwana!!! Mi nilidhani ulaji wa maharage!!! [emoji4][emoji4]
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom