Ongezeko la wanawake wanaopenda kula pweza

Ongezeko la wanawake wanaopenda kula pweza

Mtu inabidi aje na hii kitu bwana!!! Ukisema maharage yanaongeza nguvu za kiume basi soko la maharage litatanuka zaidi.
Maharage yanaongeza nguvu za kiume tena?
Za kubeba matofali ?
 
lol! Jaribisha kidogo kidogo huwezi jua unaweza kuona ni kitoweo kitamu. Kama bado ladha huipendi basi tia ndimu nyingiii hahahahahah 🙂🙂
Itabidi nijaribu aisee. Huwa naishia tu kuangalia watu wakiwazunguka wauzaji
 
Back
Top Bottom