Ona majina ya Wana-JF yanavyotengeneza habari

Ona majina ya Wana-JF yanavyotengeneza habari

hongera kwa ubunifu

hongera kwa ubunifu
Sista, let me give you a BREakingnews.
Do you Remember Iron Lady who was a neighbour of mango g at KUNANI PALE TGA? Today, she came into the office with @a Gift of Endangered @Specie from gombe,..not sokwe or chimpazee nor Nguchiro but was Mbuzi Mzee. When Zinduna saw them, she laughted amazingly "@Yo Yo". ....You know what, Rutashubanyuma immediately came and took a snap that he can keep in our office LIBRARY. At that time Indume Yene was Whispering with cheusimangala.
 
Hebu cheki híi Mr.MTAMBUZI anakula mbuzi kama mbuza akila pilipili ya mbuzi
 
WanaJF sometime mnafurahisha sana sijui ndo kupunguza usongo wa mawazo!! Mbaya zaidi mnaniacha hoi jinsi mnavyopongezana kwa thread ya kitoto kama hii eti ''Aisee we mbunifu'' Hahahaha kila la kheri punguzeni stress bana!!
 
Fidel80 leo mtatoka kwa Mbeya city kweli maana wamekuja na mkwara.

Mashabiki wa Simba huwa mnachekesha sana Simba inavyo cheza hamwendi uwanjani jana nimeshangaa mlivyo jaa Taifa kuishangilia Mbeya City na mkaambulia huzuni
 
Mashabiki wa Simba huwa mnachekesha sana Simba inavyo cheza hamwendi uwanjani jana nimeshangaa mlivyo jaa Taifa kuishangilia Mbeya City na mkaambulia huzuni
Mkuu kumbe wewe ni mpenzi wa ile timu ya wakina Kaduguda, yaani mambo ya okwi Bobabi na sunzu
 
Last edited by a moderator:
Mwamba wenye imara kwako nitajifich
a majinayo na damu hunisafi kwa
 
Back
Top Bottom