Ila MNYAMAHODZO lazima nikunyang'anye CHARGER haiwezekani kabisa usinihusishe mdau mkubwa kama mimi.Nimejaribu kuanza kuandika visa habari kwa kutumia majina ya wana-JF. Tafadhali soma, angalia jina lako au la mwenzako lilivyitumika, furahi kisha nawe fanya mwendelezo.
Ni kama vile Sijali, na mimi nataka niwe MVUMBUZI. Ni baada ya kuwa Mfuatiliaji wa Jamiiforums, japo si MwanajamiiOne wala mkuuwakaya lakini ni Kiumbemwanadamu mtaratibuuuuuu.
Mimi mambo ya kumwagiana tindikalikali au kulishana MtamaMchungu na Mauza uza ya kuwa Invisible kama Jasusi, halafu Sometimes usiku wa Mbalamwezi anakuwa kama tototundu kuchukua inkosokaazi, UmkhontoweSizwe na ak47 kisha kupandia Kichuguu na kuwa Sniper sipendi. Sawa,ninaweza kufanya kama SILENT ACtOR au Msolopagazi na watu wakaniita Mndundu au Mtumishi Wetu lakini Wacha watu hatu kama ni watu8 wanione ni Mbangaizaji.
Najua sikubaliki katika Yakuza kwani si Mr. Politician kama companero au MWANAKIjiji, wala si Polisi kama Chris Lukosi (japo alifukuzwa huko).
Mimi ni Mwafrika Halisi, MTAnzania Haswa yaani Mtanzania1, JituParaTupu, mwenye nguvu zaidi ya Yombayomba, wala si mwoga kama kautipe mmependa mchuzi wa kuku na kitumbua.
woyowoyo!!
Mwenzenu ni Mwelimishaji nafanyakazi za Mentor, si Mwalimu wala Profesa, ni Mkulima WAKUNJOMBE, (si wa Mtu wa Pwani kama Maralia Sugu) nimelima Kinyungu na mashamba, najua Duduwasha na @NG'OTIMBEMBEDZU na msadapadasi.
Hivyo Son of Africa na daughter, Mzee Mzima, Mamndenyi, Kadada pamoja Sabry001 na kadhalika wote karibu kwa mwendelezo wa habari tusichoke.
Nyongeza:
Nimejaribu kuanza kuandika visa habari kwa kutumia majina ya wana-JF. Tafadhali soma, angalia jina lako au la mwenzako lilivyitumika, furahi kisha nawe fanya mwendelezo.
Ni kama vile Sijali, na mimi nataka niwe MVUMBUZI. Ni baada ya kuwa Mfuatiliaji wa Jamiiforums, japo si MwanajamiiOne wala mkuuwakaya lakini ni Kiumbemwanadamu mtaratibuuuuuu.
Mimi mambo ya kumwagiana tindikalikali au kulishana MtamaMchungu na Mauza uza ya kuwa Invisible kama Jasusi, halafu Sometimes usiku wa Mbalamwezi anakuwa kama tototundu kuchukua inkosokaazi, UmkhontoweSizwe na ak47 kisha kupandia Kichuguu na kuwa Sniper sipendi. Sawa,ninaweza kufanya kama SILENT ACtOR au Msolopagazi na watu wakaniita Mndundu au Mtumishi Wetu lakini Wacha watu hatu kama ni watu8 wanione ni Mbangaizaji.
Najua sikubaliki katika Yakuza kwani si Mr. Politician kama companero au MWANAKIjiji, wala si Polisi kama Chris Lukosi (japo alifukuzwa huko).
Mimi ni Mwafrika Halisi, MTAnzania Haswa yaani Mtanzania1, JituParaTupu, mwenye nguvu zaidi ya Yombayomba, wala si mwoga kama kautipe mmependa mchuzi wa kuku na kitumbua.
woyowoyo!!
Mwenzenu ni Mwelimishaji nafanyakazi za Mentor, si Mwalimu wala Profesa, ni Mkulima WAKUNJOMBE, (si wa Mtu wa Pwani kama Maralia Sugu) nimelima Kinyungu na mashamba, najua Duduwasha na @NG'OTIMBEMBEDZU na msadapadasi.
Hivyo Son of Africa na daughter, Mzee Mzima, Mamndenyi, Kadada pamoja Sabry001 na kadhalika wote karibu kwa mwendelezo wa habari tusichoke.
Nyongeza:
Ila MNYAMAHODZO lazima nikunyang'anye CHARGER haiwezekani kabisa usinihusishe mdau mkubwa kama mimi.
Ritz...Ritz..njoo mwone huyu, eti anataka kuninyang'nya Charger, sasa mimi nitasomaje Jamiiforums na Fes buku? Kipindi chenyewe hiki tunakaribia Mgao wa Umeme.
Kwanza ntakusemelea kwa Hamy-D asiwe anakupikia chakula cha mchana.
It's quite Phenomenal that even Heaven on Earth is inspired by your creativity!
hahahahahaha...rtz yupo kwenye birth day part mbeya.
hahaha Nimekumiss
Majina mengine ni magumu kutaja.
Majina mengine ni magumu kutaja.