Ona majina ya Wana-JF yanavyotengeneza habari

Ona majina ya Wana-JF yanavyotengeneza habari

Dah.. MIUNDOMBINU ya huku Simiyu Yetu ni tatizo, mwaka huu Kazitunayo bila utafiti wa watu8 tutafanana na watu wa Katavi ambao MpitaNjia alisema bila mabomu hawajatengenezewa MIUNDOMBINU....

Mwaka jana walimtuma Mzee Mtambuzi na Mzee MVUMBUZI kufanya utafiti wa Nyati walioko huku lakin hakuna Tumaini..... Baadaye MTAFITI akawaambia Tambikeni kwa kuchinja Mbuzimzee

Tukirudi kwenye suala la afya, Mbu, Nzi, mende wamezagaa kila kona... Hawajui kinga ni bora kuliko Tiba, wao wanataka kila mara waletewe tu madawa kama Asprin, klorokwini ili watibu Malaria Sugu??? Dr.Mo na Lady doctor wako kimyaa kama mchwa kwenye Kichuguu

Elimu... Mwalimu mmoja Sista alikuwa anamlalamikia Profesa kuwa Salaryslip yake haionekani, lakini kumbe tatizo ni TEKNOLOJIA iliyotumika....

Hahahaaa... Hiki ndio kilio changu leo!!!!!

Dada uko very innovative umekimbia kile kilichopo kuonyesha u-GT wako. Kufanya hivi wengine wangeimba fedha Kwa wahi dani haswa wenzetu wa jembe na hammer
 
Last edited by a moderator:
Dah.. MIUNDOMBINU ya huku Simiyu Yetu ni tatizo, mwaka huu Kazitunayo bila utafiti wa watu8 tutafanana na watu wa Katavi ambao MpitaNjia alisema bila mabomu hawajatengenezewa MIUNDOMBINU....

Mwaka jana walimtuma Mzee Mtambuzi na Mzee MVUMBUZI kufanya utafiti wa Nyati walioko huku lakin hakuna Tumaini..... Baadaye MTAFITI akawaambia Tambikeni kwa kuchinja Mbuzimzee

Tukirudi kwenye suala la afya, Mbu, Nzi, mende wamezagaa kila kona... Hawajui kinga ni bora kuliko Tiba, wao wanataka kila mara waletewe tu madawa kama Asprin, klorokwini ili watibu Malaria Sugu??? Dr.Mo na Lady doctor wako kimyaa kama mchwa kwenye Kichuguu

Elimu... Mwalimu mmoja Sista alikuwa anamlalamikia Profesa kuwa Salaryslip yake haionekani, lakini kumbe tatizo ni TEKNOLOJIA iliyotumika....

Hahahaaa... Hiki ndio kilio changu leo!!!!!
nenda pale marura wakupe nyama choma na kichuri kwani umetuwakilisha, ukitoka pita pale sisi kwa sisi wakupe chapati take away
 
Mzee@ Mzima, wewe ni Simba d?

Eti, Wakwetu, niniyi ndiyo mliifanyia Ufisadi ile timu yetu ya Katavi Rangers? Ninaweza kukumbuka kipindi kile mgao wa umeme siyo mkali, vijana walipokuwa wanacheza vizuri kama Arsenal. Mtibwa walikiona Kimbunga cha Katavi Rangers kwenye uwanja wao wa Manumbu (natania ni Manungu). Nimemsahau jina yule shabiki wenu...siyo mmakonde...yule @Nkwesa MAKAMBO...yule mwenye ngozi kama Chatu dume, ambaye alikuwa akiingia uwanjani anaanza kukimbia Mchaka Mchaka. Nafikiri alikuwa Mundali. Si unakumbuka zamani zile walikuwa hawachezei Jabulani. Simba walipokwenda S'wanga walikiona Cha Moto. Wakina Amanyisye, PingPong, Semilong, wanaikumbuka ile mechi.
Ila usiseme, nasikia uliwasaliti wana-Katavi wenzako kwa kuleta UJANJAUJANJA wa Madenge ila ukakutana na pangalashaba akakudhibiti vilivyo; ila bahati yako Gang Chomba alikuokoa akakupeleka kule kwa shemeji yake dena Amsi. Nasikia jamaa walikuona bonge la REBEL!

Hahahaaah!! Mnyamahodzo unatisha sana aisee kama yule mwanajeshi CHAI CHUNGU.
 
Last edited by a moderator:
Habari za masaa haya wanaJF,
Jana nilikuwa na sita sita kuwajibu baadhi ya watu waliochangia mada hii kwa kukejeli au kudharau. LEO nimeona niwajibu wazi, si kwa kutumia tungo Tata bali uandishii huuhuu. Sometimes mkiachwa huwa mnafikiri mnajua kumbe ovyo; jua wenzako tunakuona kama Mlugaluga. Kwanini kujifanya Kituko wakati akili UNAzo?

Jamiiforums si Jamiiforum, ndani yake kuna forums/ majukwaa mengi; ni kama bank. Humu ndani kuna @Certfied user na wale kama mpita njia, wote Tulimumu. Kama siyo Leftist au Mhafidhina ama vinginevyo,jua everybody is allowed to love more THAn100 forums. Siyo kuja kuleta chuki na vituko vya akina ASHA NGEDELE…..mtaja shambuliwa kwa maneno mtoke Manundu bure!

JF ilianza 2006, wakati huo ikiitwa Jamboforum kabla ya kuitwa Jamiiforums unayoijua leo. Ndiyo, kila kitu kina mwanzo, si hata kwenye medani za Siasa za Tanzania mageuzi1992? Sasa cha ajabu nini? Wakati ule JF majukwaa hayakuwa mengi kama sasa na mengine yametolewa mfano Jukwaa la Dini (si kila mtu anaingia huko). Hivyo mjue, JF si Gulioni kuwekeana mipaka ya kaeneo ka kuzunguka. Yetuwote. Kila jukwaa lina makusudi yake na lina wapenzi wake. Nao wapenzi wa jukwaa husika hufurahia. Ukitaka mambo serious nenda Great Thinkers’ forum, Jukwaa la Siasa (japo mmeliharibu siku hizi), Jamii Intelligence, jukwaa la Sheria na Business forum. Ukitaka kupata habari za mahusiano hata kama ni Bazazi nenda MMU; masuala ya Tekelinalokujia nenda Tech &Science forum. Cha msingi ni kuwa Mfwatiliaji wa nini kinahusu Jukwaa lipi. Mada hii ipo jukwaa sahihi kwa watu sahihi. Ukitaka kupunguza stress na kufurahi basi tembelea jukwaa la Utani, Jamii Photos na Habari Mchanganyiko. Mada hii ina Mchanganyiko wa kuweza kuwepo kwenye Jukwaa la Lugha, Jukwaa la Utani, Entertainment Sub-forum na hata Jukwaa la Elimu (kwa mbali); hivyo kuwepo hapa ni sahihi. Nyakati zile JF ikiongozwa na MTUMISHI Mkuu @Maxence melo ulikuwa ukienda MMU unamkuta Mama kubwa WomanOfSubstance, na wengine wanazunguka majukwaa yote kama vile wakina Mzee MWANAKIjiji, Invisible, Field MarshallES, steve Dii, Shy (kwenye Tekelinalokujia) na Mkandara (zaidi kwenye Siasa).

Najua wengi wenu wenye dharau ni wale wa baada ya mageuzi1992. Lakini vizuri mkajua kuwa humu ndani kuna Bonnie1974 and before. Ndiyo ninyi (yaani Bonnie1974 and after, Mageuzi1992 inclusive) mmekuwa na matusi, kiasi cha kunifikirisha kuwa sasa naingia kwenye Mapolomoko ya matusi river. Kuweni na heshima. Si Kweli, Ujana kaa @la Moto, kama mtajiheshimu na kuwa na nidhamu. Jivueni tabia hiyo kama gamba @la NYOKA, si gambagumu hilo. Ujio wa TEKNOLOJIA na uwepo wa MIUNDOMBINU usiwafanye kuwa hivyo. Mkipata i pad3, Nokia sijui zenye @Fes buku na internet basi tumieni vizuri. Msituletee humu kama zile zenu za kuvaa fulana za kubana za CK na kununua mikufu mikubwa kwa Sonara na kisha kuivaa katika Shingo na kutuimbia nyimbo zisizo na vina wa maana. Eti,
“This is SaHaRa Voice, swagazetu YES YES @Yo!
yoyo”
Au nyimbo zile za wakina bishoke mara prakatatumba. Jamani, oldisgold, waulizeni wakina Nyamayao kwanini walizipenda nyimbo za wakina Kasongo, masantula; kwanini waliacha hata kula waliposikia wimbo wa “@Bubu ATAka @Kusema”….Aaaah, Ngatelefijo.

Sasa kama haya hamuyaelewi tukijadili ya MKURABITA mtaweza? Tujiyazungumzia ya mwanaharakati che@guavara, Mwanamutapa au mtemi hugochavezi? Sipo.
Truly, uji mzuri wa mtoto! Mkikua jifunzeni kula vyakula vigumu au msivyovizoea, iwe ni WALIMWEUSI au Uduvi siyo kutupa Tabu. Muanze Maishamapya.
 
Last edited by a moderator:
Dah.. MIUNDOMBINU ya huku Simiyu Yetu ni tatizo, mwaka huu Kazitunayo bila utafiti wa watu8 tutafanana na watu wa Katavi ambao MpitaNjia alisema bila mabomu hawajatengenezewa MIUNDOMBINU....

Mwaka jana walimtuma Mzee Mtambuzi na Mzee MVUMBUZI kufanya utafiti wa Nyati walioko huku lakin hakuna Tumaini..... Baadaye MTAFITI akawaambia Tambikeni kwa kuchinja Mbuzimzee

Tukirudi kwenye suala la afya, Mbu, Nzi, mende wamezagaa kila kona... Hawajui kinga ni bora kuliko Tiba, wao wanataka kila mara waletewe tu madawa kama Asprin, klorokwini ili watibu Malaria Sugu??? Dr.Mo na Lady doctor wako kimyaa kama mchwa kwenye Kichuguu

Elimu... Mwalimu mmoja Sista alikuwa anamlalamikia Profesa kuwa Salaryslip yake haionekani, lakini kumbe tatizo ni TEKNOLOJIA iliyotumika....

Hahahaaa... Hiki ndio kilio changu leo!!!!!

daaah safi sana CHARMilady umejitahidi sana
 
Last edited by a moderator:
Habari za masaa haya wanaJF,

Sasa kama haya hamuyaelewi tukijadili ya MKURABITA mtaweza? Tujiyazungumzia ya mwanaharakati che@guavara, Mwanamutapa au mtemi hugochavezi? Sipo.
Truly, uji mzuri wa mtoto! Mkikua jifunzeni kula vyakula vigumu au msivyovizoea, iwe ni WALIMWEUSI au Uduvi siyo kutupa Tabu. Muanze Maishamapya.

Waw! Reading this was more than burudani! Halafu ukiisoma kama rap, ndo inakolea sana. Nakushauri uipange kwenye beti, kisha utafute mtu akuwekee beat na mwimbaji wa rap halafu ui-upload huku. Ha ha haaaa!
 
shosti @charminglady nashukuru kwa kunipaisha jukwaani i feel proud sina tofauti na kina jack pemba, papa msofe na chif kiumbe pale mango garden
 
Umetishaaaa hebu chukua makopa kama 500 hivi na ka'like' hako juu
Sista, let me give you a BREakingnews.
Do you Remember Iron Lady who was a neighbour of mango g at KUNANI PALE TGA? Today, she came into the office with @a Gift of Endangered @Specie from gombe,..not sokwe or chimpazee nor Nguchiro but was Mbuzi Mzee. When Zinduna saw them, she laughted amazingly "@Yo Yo". ....You know what, Rutashubanyuma immediately came and took a snap that he can keep in our office LIBRARY. At that time Indume Yene was Whispering with cheusimangala.
 
Back
Top Bottom