Ona majina ya Wana-JF yanavyotengeneza habari

Mashabiki wa Simba huwa mnachekesha sana Simba inavyo cheza hamwendi uwanjani jana nimeshangaa mlivyo jaa Taifa kuishangilia Mbeya City na mkaambulia huzuni

Ha ha ha haaah!! Wale waliojaa jana wala sio mashabiki wa simba, walitoka na Mbeya city yao.
 
Nimejaribu kuanza kuandika visa habari kwa kutumia majina ya wana-JF. Tafadhali soma, angalia jina lako au la mwenzako lilivyitumika, furahi kisha nawe fanya mwendelezo.

Ni kama vile Sijali, na mimi nataka niwe MVUMBUZI. Ni baada ya kuwa Mfuatiliaji wa Jamiiforums, japo si MwanajamiiOne wala mkuuwakaya lakini ni Kiumbemwanadamu mtaratibuuuuuu.

Mimi mambo ya kumwagiana tindikalikali au kulishana MtamaMchungu na Mauza uza ya kuwa Invisible kama Jasusi, halafu Sometimes usiku wa Mbalamwezi anakuwa kama tototundu kuchukua inkosokaazi, UmkhontoweSizwe na ak47 kisha kupandia Kichuguu na kuwa Sniper sipendi. Sawa,ninaweza kufanya kama SILENT ACtOR au Msolopagazi na watu wakaniita Mndundu au Mtumishi Wetu lakini Wacha watu hatu kama ni watu8 wanione ni Mbangaizaji.

Najua Sikubaliki katika Yakuza kwani si Mr. Politician kama companero au MWANAKIjiji, wala si Polisi kama Chris Lukosi (japo alifukuzwa huko).

Mimi ni Mwafrika Halisi, MTAnzania Haswa yaani Mtanzania1, JituParaTupu, mwenye nguvu zaidi ya Yombayomba, wala si mwoga kama kautipe mpenda mchuzi wa kuku na kitumbua.

woyowoyo
!!
Mwenzenu ni mwelimishaji nafanyakazi za Mentor, si Mwalimu wala Profesa, ni Mkulima WAKUNJOMBE, (si wa Mtu wa Pwani kama maralia Sugu) nimelima Kinyungu na mashamba, najua Duduwasha na @NG'OTIMBEMBEDZU na msadapadasi.

Hivyo Son of Africa na daughter, Mzee Mzima, Mamndenyi, Kadada pamoja Sabry001 na kadhalika wote karibu kwa mwendelezo wa habari tusichoke.

Hii ni kama kucheza computer-words game.

Nyongeza:

@Rev Masanilo akiwa na Jipu mgongoni lilisababishwa Mbu Sugu, alitoka Kiguu na njia kwenda Igwachanya akiwa na ThinkPad yake. Njiani akakutana na The Boss, yule Mtafiti Makini rafikiye Researcher wa MORIA, akiwa na Tumaini Jipya la kupata ushauri toka kwa senetor huyu wa Kinyerezi. Loh! Kumbe amekosea The Boss (@KWELI ni Dr wa ukweli) lakini ni mtoto wa mjini mwenye kiingereza kama cha Mwita Maranya au Kiranga. Yaliyomkuta @Rev Masa, hatakagi kusimulia. Akiwa ni Mtumiabusara aliondoka kama Mwendabure au Mkulima wa kuku. Mbele kidogo kwenye mtaa kama wa kwamtoro, kando ya Zagazaga kadhaa alikutana na Mnyamahodzo (mwenye Mlengo wa Kati) na chief-mkwawa, yule mtaalamu wa Tekelinalokujia). Akawasalimia, kinehe Mwadila! . wakamjibu, Mwadila baba! chief-mkwawa, akauliza, The Priest mbona uko kama MkimbizwaMbio? Akamjibu, ni The Boss yule rafikiye Pdidy. Mnyamahodzo akauliza, Pdidy yule mnywa Tusker Bariiiidi? @Rev Masa akajibu, huyohuyo, mpenda Ngambo Ngali. Hao watu, basi tu.
Basi pakawa na maongezi marefu kidogo juu ya maswahibu yaliyomkuta.

Ilipotimu saa kenda alasiri, waliwaona @St Ivuga na Zing wakishuka kwenye magari wakiwa na vifaa kadhaa tayari kwa mkutano wa hadhara. Kwa mbali walikuwapo Watu wengi wakiwemo wakina faizafox, Preta na @Husinho wakinywa @supu ya SANGARA. Rev Masa akawafuata, kwa sauti ya chini aliwaambia @M'hodzo na Chief, sasa ni Babylon. Mnyamahodzo alijipiga kifua na kusema, The last don. Ndipo Rev Masa kwa sauti kavu kavu akaanza kuhutubia " Hii ni SaHaRa Voice, Voice of Reason yenye kuleta TUMAINI. Habari za goodgud ambaye ni invicible na @Yumwema.
....Niliye mbele yenu si MpitaNjia, naipenda tanzania,....hata kama mkitaka niwe raisi wa paka..." mara likasikika sauti ya mabomu booom!!
Mkuu Mnyamahodzo unastahili tuzo la kimataifa 2014 !! Well talented and Bravo .....!
 
Ha ha ha haaah!! Wale waliojaa jana wala sio mashabiki wa simba, walitoka na Mbeya city yao.
Mzee@ Mzima, wewe ni Simba d?

Eti, Wakwetu, niniyi ndiyo mliifanyia Ufisadi ile timu yetu ya Katavi Rangers? Ninaweza kukumbuka kipindi kile mgao wa umeme siyo mkali, vijana walipokuwa wanacheza vizuri kama Arsenal. Mtibwa walikiona Kimbunga cha Katavi Rangers kwenye uwanja wao wa Manumbu (natania ni Manungu). Nimemsahau jina yule shabiki wenu...siyo mmakonde...yule @Nkwesa MAKAMBO...yule mwenye ngozi kama Chatu dume, ambaye alikuwa akiingia uwanjani anaanza kukimbia Mchaka Mchaka. Nafikiri alikuwa Mundali. Si unakumbuka zamani zile walikuwa hawachezei Jabulani. Simba walipokwenda S'wanga walikiona Cha Moto. Wakina Amanyisye, PingPong, Semilong, wanaikumbuka ile mechi.
Ila usiseme, nasikia uliwasaliti wana-Katavi wenzako kwa kuleta UJANJAUJANJA wa Madenge ila ukakutana na pangalashaba akakudhibiti vilivyo; ila bahati yako Gang Chomba alikuokoa akakupeleka kule kwa shemeji yake dena Amsi. Nasikia jamaa walikuona bonge la REBEL!
 
mkuu kumbe uchumi unao ila umeukalia kwann usiende studio ukajaribu kuingiza vocal juu ya beat pengine ungekuwa star mkubwa kuliko wanaotamba leo

#Zitto ♡
 
Dah.. MIUNDOMBINU ya huku Simiyu Yetu ni tatizo, mwaka huu Kazitunayo bila utafiti wa watu8 tutafanana na watu wa Katavi ambao MpitaNjia alisema bila mabomu hawajatengenezewa MIUNDOMBINU....

Mwaka jana walimtuma Mzee Mtambuzi na Mzee MVUMBUZI kufanya utafiti wa Nyati walioko huku lakin hakuna Tumaini..... Baadaye MTAFITI akawaambia Tambikeni kwa kuchinja Mbuzimzee

Tukirudi kwenye suala la afya, Mbu, Nzi, mende wamezagaa kila kona... Hawajui kinga ni bora kuliko Tiba, wao wanataka kila mara waletewe tu madawa kama Asprin, klorokwini ili watibu Malaria Sugu??? Dr.Mo na Lady doctor wako kimyaa kama mchwa kwenye Kichuguu

Elimu... Mwalimu mmoja Sista alikuwa anamlalamikia Profesa kuwa Salaryslip yake haionekani, lakini kumbe tatizo ni TEKNOLOJIA iliyotumika....

Hahahaaa... Hiki ndio kilio changu leo!!!!!
 
Last edited by a moderator:

Umetisha mkuu
 
Du we mmmbaya...
 
Last edited by a moderator:
Watu kama nyie mnahitaji kuendelea kuhitwa maGT!! no wonder uko jamvini toka 2008
 
Dah.. MIUNDOMBINU ya huku Simiyu Yetu ni tatizo, mwaka huu Kazitunayo bila utafiti wa watu8 tutafanana na watu wa Katavi ambao MpitaNjia alisema bila mabomu hawajatengenezewa MIUNDOMBINU....

Mwaka jana walimtuma Mzee Mtambuzi na Mzee MVUMBUZI kufanya utafiti wa Nyati walioko huku lakin hakuna Tumaini..... Baadaye MTAFITI akawaambia Tambikeni kwa kuchinja Mbuzimzee

Tukirudi kwenye suala la afya, Mbu, Nzi, mende wamezagaa kila kona... Hawajui kinga ni bora kuliko Tiba, wao wanataka kila mara waletewe tu madawa kama Asprin, klorokwini ili watibu Malaria Sugu??? Dr.Mo na Lady doctor wako kimyaa kama mchwa kwenye Kichuguu

Elimu... Mwalimu mmoja Sista alikuwa anamlalamikia Profesa kuwa Salaryslip yake haionekani, lakini kumbe tatizo ni TEKNOLOJIA iliyotumika....

Hahahaaa... Hiki ndio kilio changu leo!!!!!

wow!! Sis, umetisha mama!!
 
Last edited by a moderator:
Uko juu!!!
Karibu sasa ujiunge na ccm, kuleta maendeleo ya nchi yako.
 
Back
Top Bottom